Bima ya NHIF inasababisha Hospitali kushindwa kujiendesha kwa kutolipa madeni. Rais Samia angazia macho huko

Ndokeji

JF-Expert Member
Jun 9, 2011
698
475
Hospital kubwa kama Muhimbili, Bugando, KCMC, MBEYA, DODOMA Ziko katika Hali mbaya Kwa kutoa Huduma na kushindwa kuwalipa wazabuni Kwa mda wanaoleta vifaa Tiba mahospitalini.

Hali hii inapelekea Hospital KUJIENDESHA Kwa mapato ya ndani, Mfuko wa BIMA NHIF umeshindwa kulipa hizi Hospitali zaidi ya Miez 5,

Hospitali Moja kama Muhimbili inadai zaidi ya Bil 15 kwenye mfuko Huu, na Hajalipwa na mkataba wao ni siku 60.

Mama Samia Raisi wetu Mpendwa huo Mfuko wa BIMA uangaziwe, ikiwezekana vunja Uongozi, unaua Huduma za afya.
 
Hospital kubwa kama Muhimbili, Bugando, KCMC, MBEYA, DODOMA Ziko katika Hali mbaya Kwa kutoa Huduma na kushindwa kuwalipa wazabuni Kwa mda wanaoleta vifaa Tiba mahospitalini.

Hali hii inapelekea Hospital KUJIENDESHA Kwa mapato ya ndani, Mfuko wa BIMA NHIF umeshindwa kulipa hizi Hospitali zaidi ya Miez 5, Hospitali Moja kama Muhimbili inadai zaidi ya Bil 15 kwenye mfuko Huu, na Hajalipwa na mkataba wao ni siku 60.

Mama Samia Raisi wetu Mpendwa huo Mfuko wa BIMA uangaziwe, ikiwezekana vunja Uongozi, unaua Huduma za afya.
Hii habari sio kweli nhif ni walipaji wazuri
 
Sijui Hizo Hela wanapeleka wapi?
Siasa zinapoingia kwenye biashara matatizo lazima yatokee.

Biashara ya afya ni sayansi, kuna namna ya kuipeleka; kuna kipindi walikuwa wanaweka bei za chini (50,000 kwa mwaka) mpaka unashangaa, wamefanya actuarial study ipi hawa jamaa!!

Ukizingatia wateja wake wengi ni wafanyakazi wa umma ambao mishahara yao sio mikubwa na wanachangia kwa asilimia ya mshahara, lazima wapate tabu.

Halafu akaja Jiwe, serikali yake ilichota pesa nyingi sana huko. Unahitajika muujiza kuuokoa huo mfuko.

Kusuasua kwa malipo kumefanya hospitali nyingi kukataa kutoa huduma kwa members wa NHIF.
 
Hospital kubwa kama Muhimbili, Bugando, KCMC, MBEYA, DODOMA Ziko katika Hali mbaya Kwa kutoa Huduma na kushindwa kuwalipa wazabuni Kwa mda wanaoleta vifaa Tiba mahospitali...
Mama mnamuonea Bure haya yooote jiwe wenu huyo sasa athali zake ziko wazi na badoooo!!

Si mlikuwa mnamshangilia nyie mbwa sasa wacha muonje jotolake!! Mama wala usisumbuke na misukule ya kibongo usije ukafa Mapema bureeee!

weye Mama yapeleke peleke tu!! yamezoe shida hayo majitu! hayana hata shukrani!! yanashangilia ujinga ujinga sasa wacha wale jeuri yao!! hasa chato kaza uzi!! tuliyaambia yakaona sie walevi!

Jiwe alijua huu ugumu ulio mbele yake alivo kuwa muoga Akapandisha perssure akafa!! sijawahi ona Rais muoga km Jiwe!! Uoga ulimfanya aweke Risasi mbele!
 
Mama mnamuonea Bure haya yooote jiwe wenu huyo sasa athali zake ziko wazi na badoooo!! si mlikuwa mnamshangilia nyie mbwa sasa wacha muonje jotolake!! Mama wala usisumbuke na misukule ya kibongo usije ukafa Mapema bureeee!

ridiculous
 
Taarifa za Uhakika Jiwe alichota huko pesa nyingi mno na ndiye alisababisha vifurudhi vipae juu kwa bei kubwa na kuondoa huduma nyingi mno kwenye vifurudhi.

Yaani vifurudhi ni kifo maana hata dawa ni zile za hovyo tu. Ukihitaji dawa nzuri utanunua. Vipimo vingi vya bei kubwa vimeondolewa na vilivyobaki kuna vya kuchangia pesa nyingi tu.

Magufuli naomba ufe tena mara tatu ili hata siku ya ufufuo na uzima usiwepo kabisa. Umetutesa watanzania kisiri Ila ukiwa jukwaani inaeleza tofauti kabisa.
 
Wewe ni mfanyabiashara itawezekanaje kufanya biashara Kwa Mkopo Zaid ya Miez 5 harafu ukizingatia wetaja wengi wa BIMA
Matokeo Yake ni kupunguza na kutohuduma hao wateja

Madhara ya Mfuko Huu ni kufanya Huduma za afya kuwa mbovu zaidi
 
Back
Top Bottom