kusaga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Eneo la kuweka mashine ya kusaga na kukoboa

    Habarini wakuu, Katika kujitafuta nimefanikiwa kununua mashine ya kusaga na kukoboa mahindi.Nilikua naomba kama kuna mtu ana eneo sehem yenye mzunguko wa watu wengi au kama kulikua na mashine halaf ikatolewa anijuze ili niweze kuweka hii ya kwangu. Napendelea maeneo ya Morogoro road kuanzia...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mashine ya kusaga na kukoboa unga wa sembe

    Nahitaji mashine ya kusaga na KUKOBOA UNGA WA SEMBE , mashine iwe na uwezo wa kusaga na KUKOBOA Tani 30 Kwa Siku.
  3. Biashara2000

    JamiiForums Tanzania Mota ya kusaga mahindi inauzwa

    Habari Mota ya kuzungusha machine ya kusaga mahindi inauzwa. Mota hii ipo kibaha mkpa wa pwani. Ina Hz 50. Bei sh 1..8m. Anayehitaji karibu. 0758308193
  4. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Watanganyika fanyeni utafiti watu wanaosema Mitano Tena! Wapuuzeni haraka 2030 mtalia na kusaga meno

    Wanapiga kelele na kusema mitano Tena Hawa hapa. Wapuuzeni na mwaepuke kama ukoma.
  5. Job Richard

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Mashine za kusaga na kukoboa Dar es Salaam

    Unahitaji mashine ya kusaga na kukoboa nikukaribishe utazipata kwetu Pia utapewa ushauri mashine ipi itakufaa kutokana na mazingira yako Tunapatikana tabata Namba zetu 0717209569
  6. G

    JamiiForums Tanzania Vilio na kusaga meno kwa mawakala kupigwa vimezidi, Hapa nimeorodhesha baadhi ya tahadhari za kuchukua ili kupunguza utapeli

    Mbinu hizi zinapunguza utapeli sio full proof guarantee, kila muda zinagunduliwa mpya Hapa niameorodhesha baadhi ya tahadhari za kuchukua ili kuliepuka hilo:- 01. Usiwe na haraka kwenye kufanya muamala, haijalishi mteja atakuwa na haraka gani. Mruhusu aondoke kama anaonekana ana haraka, kwa...
  7. Nifah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Joseph Kusaga na ujio wa ‘Netflix’ ya Bongo

    Ni Joe Kusaga tena… Waswahili husema mwenye nacho huongezwa, sio sahihi. Mwenye nacho hujiongeza ndipo huongezwa. Mfanyabiashara na mwekezaji mkubwa nchini aliyejikita zaidi kwenye tasnia ya burudani, Joseph 'Joe' Kusaga yuko mbioni kuja na App itakayokuwa katika mtindo unaoshabihiana na App...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Nakodisha Mashine ya kusaga nafaka

    Nakodisha mashine ya kusaga, ina vinu viwili cha kusaga na kukoboa pamoja na mizani Stoo yaani biashara yote, mahali Kitunda Magole DSM. Sehemu haina mashine jirani. Bei 200.000 kwa mwezi. Nipigie 0754 279035 kwa maelezo zaidi.
  9. S

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Inauzwa Mashine ya biashara kusaga na kuchuja juis ya miwa N mpya inatumia umeme Motor ya 3HP 📞📞0757687358

  10. Nifah

    JamiiForums Tanzania Wasafi Media Mtegoni. Diamond, Kusaga wavurugana

    Wakurugenzi wa Wasafi Media, Joseph Kusaga na Naseeb Abdul ‘Diamond Platinumz’ wanaripotiwa kukosa maelewano kati yao juu ya uendeshaji wa media hiyo inayomilikiwa na wawili hao. Chanzo ni TRA Diamond ambaye amekuwa akitafutwa na maafisa kodi kwa muda mrefu, huku yeye akitumia 'janja janja'...
  11. S

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Mashine ya miwa mpya na ya kisasa zaidi

    Mashine ya kukamua na kuchuja juisi ya miwa inauzwa Ipo Mbeya Mjini popote inatumwa Bei yake: 1.6 M. 📞📞 & Whasap 0757687358 Whasap & call 0757687358 Specification zake 1.size 48*38*78 2 voltage 220/50hz 3. Three crushing rollers (Stainless) 4. Ipo na 3HP electric...
  12. Trubarg

    JamiiForums Tanzania Harufu ya utapeli, kuna watu watalia na kusaga meno soon

    Kuna mchezo wa watu wanajiita Jumia, wao wanasema wanafanyankazi ya matangazo online. Wanakupa task ya kuweka like kwemye video za youtube then wanakulipa buku (1k). Unatakiwa kufanya task zote, na wanalipa in lumpsum of 10 tasks. Sasa trend nayoiona kila baada ya task mbili kuna task moja ya...
  13. Sundii

    JamiiForums Tanzania Mashine ya kusaga mahindi na kukoboa

    Samahani wanajanvi. Naomba ufafanuzi nataka kuanzisha biashara ya kusaga na kukoboa mahindi. Hii biashara imesimamaje? Gharama za kuanzisha mashine zikoje? Kuna faida au hasara?
  14. M

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu biashar ya mashine ya kusaga na kukoboa (mahindi)

    Wadau, Ninataka kufungua biashara ya kusaga na kukoboa bagamoyo vijijini. Hapo kijijini kuna mashine moja tu na naona hii ni fursa. Naomba ushauri wapi naweza kununua mashine zenye ubora na pia kama biashara hii inafanida. Shukurani.
  15. Nsanzagee

    JamiiForums Tanzania Kale ka nchi kanaweza kuvamiwa na kushambuliwa, lakini mwisho wa siku, mvamizi ataambulia kujuta na kusaga meno

    Sjawahi kujua ni kivipi Israel huwa ni vigumu kupigika. Ukiondoa hiyo Imani ya kusema ni taifa la Mungu, lakini Je, Mungu hachukii kisirani? Mbona hicho kitaifa kina watu na viongozi wenye kisrani sana. Ni kagomvi mpaka nachukia, hakaogopi nchi kubwa wala mhuni kama Iran. Naomba kujua...
  16. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Turudi nyuma kidogo tujikumbushe waraka mzito alioutoa Lady Jaydee kwa Marehemu Ruge na Kusaga

    Iliandikwa jumatano ya tarehe 1, mwaka 2013 ............................ WOSIA WANGU KAMA IKITOKEA NIMETANGULIA KUFA KABLA YA RUGE AU JOE KUSAGA Watu wanashtuka mtu akiongelea kifo, Utafikiri hawafahamu fika kuwa kila nafsi itakionja, Kwenye maisha yangu nimepitia mambo...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Nani hasa ana utajiri mkubwa kati ya Joseph Kusaga DSM na Vicent Laswai Moshi? Nani Fogo

    Imenibidi nilete ubishani huu huku jukwaani kwani hii inaweza kuwafanya vijana wafanye kazi na kujituma na kuweza kujipatia Fedha nyingi nao wakatambulika na kuheshimika kama watu Hawa. Tulikuwa tumekaa kijiwe kimoja na moja ya wadau wa tasnia mbalimbali za entertainment na ukazuka ubishi juu...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Ushauri unahitajika kuhusu Mashine ya kusaga na kukoboa

    Wakuu habari, Ningependa kuomba ushauri na mawazo ya kibunifu kutoka kwenu nifanyeje ili niweze kuongeza uzalishaji kwenye mashine ya kusaga na kukoboa? Mashine hii mwanzoni ilikuwa ikiingiza walau chochote kitu lakini location iliyopo zimeongezeka mashine zingine mbili hivyo hali imekuwa...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Kero gani nitapata nikijenga karibu na mashine ya kusaga?

    Wakuu habari. Nimebahatika kununua kiwanja, viwanja vyetu vya skwata, Ila niliyepakana naye anaweka mashine ya kusaga. Je niendelee na ujenzi wa nyumba ya kuishi, au ni kero gani naweza kupata nikijenga Naomba mawazo yenu
Back
Top Bottom