Harufu ya utapeli, kuna watu watalia na kusaga meno soon

Trubarg

JF-Expert Member
Jan 8, 2020
4,261
6,908
Kuna mchezo wa watu wanajiita Jumia, wao wanasema wanafanyankazi ya matangazo online. Wanakupa task ya kuweka like kwemye video za youtube then wanakulipa buku (1k). Unatakiwa kufanya task zote, na wanalipa in lumpsum of 10 tasks.

Sasa trend nayoiona kila baada ya task mbili kuna task moja ya deposit pesa alafu wanakulipa faida ya 30% kila baada ya dakika kumi.

Naona kuna watu wanachangamkia fursa ya kudeposit sasa sijajua ni kweli wanadeposit au ni wale wale wanaedit miamala.

Maono yangu jinsi watu watakavyoliwa.
Kwanza wanawesa kuwa wanamminya mmoja mmoja. Mfano wakiwaminya watatu ambao wameshadeposit kwenye group la watu 3000 siyo rahisi kuguundua.

Pili huenda wanasubiria timming ya kuzima group siku maokoto yakiwa mengi.

Note: Jamaa hawana ofisi au address ya kueleweka
 
Kwani ukafanya hizo task za kulike ukapata buku buku zako utapungukiwa na nn kiherehere cha kutaka pesa nyingi ndicho kinaponza watu.
Nilishasoma ishu kama hii hapa hapa jf jamaa hakuibiwa kwa anavyodai ila utaratibu ni kama huo unaangalia video wanakulipa ukileta tamaa ndio kichwa huliwa
 
Sasa trend nayoiona kila baada ya task mbili kuna task moja ya deposit pesa alafu wanakulipa faidanya 30% kila baada ya dakika kumi.
Naona kuna watu wanachangamkia fursa ya kudeposit sasa sijajua ni kweli wanadeposit au ni wale wale wanaedit miamala.
Maono yangu jinsi watu watakavyoliwa.
Kwanza wanawesa kuwa wanamminya mmoja mmoja. Mfamo wakiwaminya watatu ambao wameshadeposit kwenye group la watu 3000 siyo rahisi kuguundua.
Pili huenda wanasubiria timming ya kuzima group siku maokoto yakiwa mengi.
Note: Jamaa hawana ofisi au address ya kueleweka
Mwandiko wa pdidy
 
Kwani ukafanya hizo task za kulike ukapata buku buku zako utapungukiwa na nn kiherehere cha kutaka pesa nyingi ndicho kinaponza watu.
Nilishasoma ishu kama hii hapa hapa jf jamaa hakuibiwa kwa anavyodai ila utaratibu ni kama huo unaangalia video wanakulipa ukileta tamaa ndio kichwa huliwa
Ya just kualert watu. Lengo la hao watu ni hiyo pesa siyo likes ..
IMG_20240102_164425.jpg
 
Nimesha kula 25 juzi ila nikaona hapa kilio hakiko mbali nikatemana nao.
Hutakiwi kuruka task hata moja haswa hio ya kutuma muamala.
Kuna watu wanatuma mpaka milion 5
Ila kuanzi 50,000, wao wanakurejeshea 65,000 , muamala unaofuata ni kuanzia laki mpaka milioni 70.
 
Kwani ukafanya hizo task za kulike ukapata buku buku zako utapungukiwa na nn kiherehere cha kutaka pesa nyingi ndicho kinaponza watu.
Nilishasoma ishu kama hii hapa hapa jf jamaa hakuibiwa kwa anavyodai ila utaratibu ni kama huo unaangalia video wanakulipa ukileta tamaa ndio kichwa huliwa
Hutakiwi kuruka task, ikiwepo hio ya kutuma muamala, ukiruka mbili wanakukata badala ya 1000 inakuwa 500
 
Kuna mchezo wa watu wanajiita Jumia, wao wanasema wanafanyankazi ya matangazo online. Wanakupa task ya kuweka like kwemye video za youtube then wanakulipa buku (1k). Unatakiwa kufanya task zote, na wanalipa in lumpsum of 10 tasks.

Sasa trend nayoiona kila baada ya task mbili kuna task moja ya deposit pesa alafu wanakulipa faida ya 30% kila baada ya dakika kumi.

Naona kuna watu wanachangamkia fursa ya kudeposit sasa sijajua ni kweli wanadeposit au ni wale wale wanaedit miamala.

Maono yangu jinsi watu watakavyoliwa.
Kwanza wanawesa kuwa wanamminya mmoja mmoja. Mfano wakiwaminya watatu ambao wameshadeposit kwenye group la watu 3000 siyo rahisi kuguundua.

Pili huenda wanasubiria timming ya kuzima group siku maokoto yakiwa mengi.

Note: Jamaa hawana ofisi au address ya kueleweka
Watu DECI haijawatosha kumbe..!! Subiri, mmoja humu atarudi hapa kulalama
 
Kwani ukafanya hizo task za kulike ukapata buku buku zako utapungukiwa na nn kiherehere cha kutaka pesa nyingi ndicho kinaponza watu.
Nilishasoma ishu kama hii hapa hapa jf jamaa hakuibiwa kwa anavyodai ila utaratibu ni kama huo unaangalia video wanakulipa ukileta tamaa ndio kichwa huliwa
Mi hata sielewi ndo nasikia
Hebu naomba nieleweshe mkuu
 
Back
Top Bottom