kusafisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kazi ya kusafisha mifumo ya majitaka ikiendelea kutekelezwa na DAWASA Jijini Dar

    Kazi ya kusafisha mifumo ya majitaka ikiendelea kutekelezwa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) katika mtaa wa Mchikichi na Kongo Kariakoo Jijini Dar es salaam. Kuziba kwa mfumo huu kunasababishwa na wananchi wenye tabia ya kutupa taka ngumu ikiwemo mawe makubwa...
  2. JamiiForums Tanzania Waziri Mhagama na Bashungwa Waongoza Misheni ya Kusafisha Mji wa Katesh

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema kazi ya kuondoa tope inaendelea na shughuli kubwa inayofanyika kwa sasa ni kufungua mitaa yote ya mji wa Katesh na kurejesha mji katika hali yake ya awali kwa kuwezesha shughuli za uzalishaji kuendelea. Ameyasema hayo mapema asubuhi hii wakati...
  3. JamiiForums Tanzania Bei ya mafuta ghafi duniani na gharama za kusafisha (Crude oil Price)

    Ndugu zangu wana JF baada ya kutoka bei za mafuta kupitia EWURA nimeona niingie kufanya utafiti niweze kujua bei za mafuta ghafi na gharama zake za kuyasafisha na kusafirisha mpaka kufika kwetu hapa Tanzania. Hapa nitaleta taarifa za kina kuona namna gani tunaweza kufanya au kujua dunia jinsi...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Picha; kabla na baada ya kusafisha sink la choo

    Nimepata kazi hapa ya kusafisha sink la choo na mwana jf shukrani kwake pia kama unauhitaji wa kusafishiwa sink la kunawia ama la choo lililofubaa ni cheki pm ama piga namba 0783672221 .Karibuni ,Bei ni 10k kwa choo na7k kwa sink la kunawia nakuja popote kwa waliopo Dar es salaam
  5. JamiiForums Tanzania Hizi ndio njia tano za kusafisha pasi iliyochafuka

    unasafisha pasi ikiwa na moto mkali 1. Chumvi - mwagia kwenye kitambaa anza kuipasi 2. Chaki - kata kipande, geuza pasi iangalie juu kisha weka kipande, unasafisha kwa kukandamizia chaki kwa kitambaa. 3.majivu ya moto - mwagia kwenye kitambaa anza kuipasi 4. mkaa - kata vipande, mwagia...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Ukiolewa usikubali kupewa masharti, kumpikia, kumfulia na kusafisha nyumba. Wewe siyo house girl

    Amkeni akina dada. Wewe amekukuta ukiwa mtu mzima, hivyo endelea kufanya yale yote aliyokukuta ukiyafanya. Usigeuzwe kuwa mtumwa ama mfanyakazi wa kazi za ndani baada ya kuolewa. Wewe ni msaidizi wake. Maana yake mume ndiyo anatakiwa kupika, kufua na kusafisha nyumba, akilemewa wewe ndiyo...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Uiolewa usikubali kupewzmasharti, wala kumfulia, kumpikia na kusafisha nyumba. Wewe siyo house girl.

    Wewe
  8. O

    JamiiForums Tanzania EDO KUMWEMBE:Yanga wana mlima, Simba inahitaji kusafisha haswa

    GHAFLA tu Yanga imejipeleka katika maji marefu. Yanga wamefika katika fainali ya kombe la Shirikisho na hii ina maana kwamba msimu ujao lengo lao kubwa linakuwa kutwaa ubingwa. Ubingwa upi? Ndio swali la kwanza la msimu. Msimu ujao watakuwa katika michuano ya Ligi ya mabingwa. Kwa namna ambavyo...
  9. JamiiForums Tanzania Kiwanda cha kusafisha mafuta (refinery) Urusi chalipuliwa na drones

    Russian authorities say Ukraine drone strike responsible for oil refinery fire; governor of Belgorod accuses Kyiv of shelling region. --- Russian security council deputy chairman Dmitry Medvedev said on Wednesday that Britain was Moscow’s “eternal enemy” and that any British officials who...
  10. JamiiForums Tanzania Serikali Kupunguza Gharama za Kusafisha Figo Kutoka 350,000 hadi Kati ya 90,000-150,000

    Serikali imedhamiria kupunguza gharama za kusafisha figo kutoka Shilingi 350,000 mpaka Shilingi 90,000 hadi 150,000 kwa lengo la kuwapunguzia wananchi mzigo wa gharama za matibabu hasa kwa wenye vipato vya chini. Taarifa hizo zimetolewa leo bungeni jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Wizara ya...
  11. JamiiForums Tanzania Mubashara: Kiwanda cha kusafisha mafuta ghafi ya Petroli kikizinduliwa Rais Mwalimu Julius Nyerere

    Mnamo mwezi wa Desemba mwaka wa 1966, Rais wa Tanzania Mwalimu Julius Nyerere alizindua kiwanda cha kusafisha mafuta ghafi ya petroli jijini Dar es Salaam. Hatua hii ilikuwa ni miongoni mwa jitihada za kujenga uchumi wa Tanzania kwa kuhakikisha kwamba rasilimali zetu za ndani zinatumika kwa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Chokaa, gypsum powder, wallputy na white cement kwa ajili ya kusafisha ukuta

    Miaka ya nyuma kusafisha ukuta ( skim) watu walitumia chokaa , wapo wanaoendelea kutumia chokaa japo wanaonekana wamepitwa na wakati,🎚️baada ya chokaa zimekuja materia nyingi nyingi. Nimetumia gypsum powder, nimetumia na wallputy , sijatumia white cement na chokaa naiona kwenye nyumba za home...
  13. JamiiForums Tanzania Unatumia mbinu gani kusafisha sufuria lililoungua sana wakati wa kupika?

    Habari wana jukwaa hili Wakati mwingine mtu unapika chakula inatokea bahati mbaya kinangua sana hadi chombo kinakuwa cheusi( kwa sisi wenye masufuria ya kaida). Au nje ya sufuria ukipikia mkaa inakuwa nyeusi, kusafisha kirahisi ili iwe rahisi kufaya sufuria zetu ziwe na mng'ao wa awali. Wakati...
  14. JamiiForums Tanzania Hospitali ya Rufaa ya Tumbi kuanza kusafisha damu

    Wakati Serikali ikiweka mkazo katika huduma za kusafisha damu (dialysis), hospitali ya Rufaa ya Tumbi mkoani Pwani, inatarajiwa kuanza kutoa huduma hiyo Desemba 15, 2022. Hatua hiyo itapunguza adha ya rufaa kwa wagonjwa wanaohitaji huduma ya dialysis katika hospitali hiyo ambapo kwa wiki watu...
  15. JamiiForums Tanzania Tuwekeze kwenye Teknolojia kutafuta suluhu ya Maji

    Tengeneza picha umeamka siku moja na kujikuta kati kati ya jangwa saa sita mchana jua lipo utosini, ukizunguka pande zote huoni Mmea wala Mbu zaidi ya miale (mirage) inayotokana na kuakisiwa kwa jua juu ya uso wa Dunia. Hicho ndio kifo, na iwapo ghafla mbele yako itafumuka chemu chemu ya maji...
  16. JamiiForums Tanzania Mimi hunawa uso wangu kwa mkojo wa alfajiri ili kusafisha, kung'arisha nyota na kuongeza mvuto wa mapenzi

    Swalama ndugu zanguni? Mpaka sasa zoezi la sensa linaendelea huku likisuasua, lakini msikate tamaa muda bado upo wa kurekebisha kasoro zilizopo. Back to the topic, mimi ni mwanaume wa miaka 35, kwa kweli maisha yangu yalijawa kwa muda mrefu mikosi, ufukara, kukataliwa na kutokuwa na kibali...
  17. JamiiForums Tanzania Mchungaji kusafisha nyota, hii imekaaje wadau?

    KUOSHWA KWA NYOTA ILIYOCHAFUKA..! Ayubu 25:5-6 Tazama, hata mwezi hauangazi, Wala nyota si safi machoni pake;Siuze mtu, aliye mdudu! Na mwanadamu, ambaye ni buu! Andiko hili linatuonesha nyota ya Mtu inaweza Ikachafuliwa na kuonekana si safi machoni Pake katika Ulimwengu wa roho!! Hapa biblia...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Ajira hakuna lakini kazi zipo

    Usitengemee Bahati
  19. JamiiForums Tanzania Kazi ya msaidizi wa nyumba ni ngumu sana, ni sawa na kazi ya kibiriti kusafisha unarudia.

    Akipika mama lawama zinakwenda kwa dada jiko chafu. Tena dada huwa anaambiwa apikie kuni au mkaa jiko la ndani anapikia mama tu.
  20. JamiiForums Tanzania Msaada: Dawa ya kusafisha kioo cha mbele cha gari

    Wakuu kioo cha mbele kina kama ukungu hivi, naomba msaada nijue dawa ya kusafishia..
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…