Cuba ilitumbukia gizani kwa mara ya pili katika muda wa chini ya wiki moja Jumamosi, Machi 21, baada ya mtandao wake wa kitaifa wa nishati kushindwa tena, ukiwa umeathiriwa na miundomsingi iliyozeeka na kizuizi cha mafuta kilichowekwa na Marekani.
Usiku ulipoingia, mitaa ya Havana mara nyingi ilikuwa na giza tororo, huku watu wakivinjari kwa kutumia taa za simu au tochi, siku tano tu baada ya kukatika kwa hapo awali kwa umeme.
Katika mji huo mkongwe wa kitalii, baadhi ya mikahawa iliweza kukaa wazi kutokana na jenereta, huku wanamuziki wakicheza muziki, lakini kukatika kwa umeme mara kwa mara kumefanya maisha kuwa magumu zaidi kwa Wacuba.

Client Challenge
www.lemonde.fr