kurogwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Ewe mfanyakazi, usije kurogwa kukopa mkopo wa "Nipe Boost" wa Bayport, utajuta!

    Narudia kuwaonya kama rafiki yenu, ndugu wa karibu.. usije kurogwa kukopa huo mkopo wao kama utakuwa na shida sana na ikakulazimu kukopa mara 100 bora uuze hata kitanda chako au godoro.. Huu mkopo ujue kwamba riba yake inaongezeka kila siku.. unaweza kukopa laki mbili ukikaa mwezi mzima...
  2. M

    Huu ni woga, ujinga au kurogwa?, Watanzania mbona mpo kimya kwa haya yanayowatokea CHADEMA?

    1. Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu alikamatwa na kutupwa mahabusu mpaka leo, Watanzania kimya. 2. CHADEMA kimefutiwa Ruzuku yake, Watanzania kimya. 3. Viongozi wa CHADEMA wamevuliwa uongozi wao, Watanzania kimya. 4. CHADEMA kimepigwa marufuku kufanya shughuli za kisiasa, Watanzania...
  3. GENTAMYCINE

    Ni kwanini Wanaume wa Mkoa wa Mara (Musoma) huwa ni Ngumu sana 'Kurogwa' na Wanawake kama ambavyo Wanaume wa kwingineko 'Hurogwa' nao mno?

    Mimi huwa natamani sana Wanawake zangu mbalimbali wawe Wananiroga ila nasikitika na najisikia vibaya mno kuwa pamoja na kuwafanyia kila aina ya Matukio (Kuwasaliti) lakini wameshindwa Kunituliza sana sana huishia tu kunipiga Mkwara (Kunitishia) kuwa wataniendea kwa Mganga ili nitulie ila ndiyo...
  4. B-2 STEALTH BOMBER

    Kama ni kurogwa Watanganyika wamerogwa na mchawi kafariki katuachia msala huu

    Wakuu habari zenu hapa. Nimekaa na kuwaza na kuangalia mambo yote ya kisiasa yanayo tendeka nchini, nimejikuta napatwa na hasira zinazokaba kabisa kwa maana hili taifa letu hususani Tanganyika watu wake sijui walilishwa nini..? 1. Inasikitisha na kusononesha unaposikiliza kauli za mkuu wa...
  5. N

    Kumbe waganga nao wanaweza kurogwa

    Kuna jirani nasikiaga ni mganga wa kienyeji, kila akienda huko ofisini kwake (Nadhani ni Manzese na Kariakoo) huwa anarudi na nyama za mbuzi, kondoo, kuku nk. (wanasema za wanyama alioletewa kwa ajili ya kafara na wateja wake) Siku zingine anagawa kwa jirani zake. Mganga mwenyewe bwana mdogo tu...
  6. Isaya wa njombe

    NAHISI KUROGWA NA BINTI WA KICHAGA😂😂

    h
  7. Samia atosha tukutane2030

    Wapo Watanzania wapambanaji lakini hawajafanikiwa kwasababu ya kurogwa na ndugu au majirani zao

    Sijafanya utafiti wa kutosha kuhusu mikoa mingine, lakini karibu nimetembea mikoa yote ya Tanganyika. Hali zinafanana—utofauti ni mdogo sana. Turudi mkoani kwangu, Lindi. Kule, ndugu wa damu kabisa ndiye mchawi wako namba moja. Ni kama Yesu alivyosema: "Adui wa mtu ni wa nyumbani mwake"...
  8. L

    Paul Makonda awataje hadharani Watu Wanaomroga Rais ili asije akafanya Maamuzi Makubwa kwa Kulogwa na hao watu

    Ndugu zangu Watanzania, Leo Tanzania na Dunia nzima imeshuhudia maandamano na matembezi makubwa sana ya amani kuwahi kushuhudiwa kanda ya kaskazini yakiongozwa na mkuu wa mkoa wa Arusha Mwamba Mwenyewe Paul christian Makonda kijana Jasiri kuwahi kutokea katika ukanda wa kusini Mwa jangwa la...
  9. G

    Watanzania wengi hawajengi kwao kwa kisingizio cha kutunza asili na hofu ya kurogwa, Wachaga pekee wameweza kukiruka hiki kiunzi

    Inashangaza sana Mfanyabiashara Mkinga ana nyumba nzuri Dsm, nyingine Njombe mjini lakini kijijini Makete kijumba Mhandisi Msukuma ana nyumba nzuri Dsm, nyingine Mwanza mjini lakini kijijini Gamboshi kijumba Profesa Mhaya ana nyumba nzuri Dsm, nyingine Bukoba mjini lakini kijijini Biharamulo...
  10. matunduizi

    Watu wa kipato cha kati wengi wanaishi kwa hofu za kurogwa na ndugu na marafiki waliowazidi

    Mtu akioata kazi nzuri au biashara ya kueleweka, akajenga Nyumba, Akawa na shamba, na gari la kusafiria au akamuongezea mkewe kadogo ka kutembelea wengi wanaona aliowazidi wanamuonea wivu au wanamvizia wamloge. Hasahasa wale waliokulia kwenye umasikini mkali, na akapata mwanga kuliko wenzake...
  11. Dasizo

    Ni kitu gani kilikufanya uamini uchawi upo?

    Ni kitu ganikilikufanya uamini uchawi upo? Ebu tujuzane hapa 👇👇👇👇👇
  12. GENTAMYCINE

    Huu hapa Ukweli uliojificha kumhusu Mlalamikaji Mnafiki Fiston Mayele na Lawama zake za Kurogwa na Waganga wa Yanga SC

    Fiston Mayele yuko sahihi kwa 100% kwani Waganga Wawili Wakubwa wa Yanga SC mmoja akitokea Kisiwani Zanzibar na mwingine akitokea Kusini ( Mtwara na Lindi ) ni tatizo na sababu ya Kinachomkuta. Taarifa za uhakika ambazo GENTAMYCINE nimepewa na Mmoja wa Wachezaji wa Ndani ( Mzawa ) wa Yanga SC...
  13. Mjanja M1

    Harmonize ahofia kurogwa wimbo wake usifanye vizuri

    Msanii wa kizazi kipya nchini na CEO wa Kondegang Harmonize, amehofia kurogwa na wapinzani wake ili wimbo wake ubume na usifanye vizuri. Msanii Harmonize anatarajia kutoa wimbo wake kesho ambao amewashirikisha wasanii Bien toka Kenya na Boby Shmurda wa nchini Marekani. Hii ndio post Harmonize...
  14. Mhafidhina07

    Nimeshawahi kulogwa ila kuna vitabu nikisoma najihisi kuwa sijarogwa ila ni akili pandikizi, waswahili wenzangu mnasemaje?

    366 meditation on wisdom- stoicism, law of universal n.k nimejaribu kusoma baadhi ya vitabu lengo ni kuongeza maarifa zaidi kwenye nature law na kujua kwa undani kuhusu akili inafanyaje kazi na vipi naweza kuisaidia jamii yangu kupitia elimu yangu ila by then I was dumb na haswa kuhusu mambo ya...
  15. chiembe

    Mkoa wa Kilimanjaro pekee ndio wanarudi kwao mwisho wa mwaka,mikoa mingine wanaogopa kurogwa

    Ni kilimanjaro pekee, mkoa ambao machief walianza kuvaa suti miaka ya 1900 wakati mikoa mingine wakivaa magome ya miti au kutembea uchi. Disemba hii wanaenda makwao wakiwa hawaogopi kurogwa na waliowaacha huko. Fatma Mwassa amegundua wahaya hawarudi kwao kwa kuogopa uchawi(bulogo),wameacha ma...
  16. C

    Je, kukataliwa au kutothaminiwa au kuonekana ni wa Ajabu na Kero ni Kurogwa au una Jini ndani yako?

    Unakuta kuanzia Wazazi wako, Ndugu na hata Marafiki bila sababu yoyote au Kosa lolote lile Wanakudharau, Hawakuthamini na Wanskuona ni Kero, Mzigo na hata Takataka Kwao. Na hali hii inaweza kukuta ukiwa una Ajira yako na hata Pesa au huna Ajira na Pesa vile vile. Na kama haitoshi pia hata ukiwa...
  17. matunduizi

    Kama uliwahi kurogwa au unamfahamu aliyerogwa elezea hapa na wengine wajifunze

    1. Ndugu mmoja alipigwa marufuku kukatiza katika uwanja wa jirani akiwa anatoka kuteka maji. Huyu dada hakusikia akawa analazimisha, Yule mzee akampa onyo la mwisho, Kwa kiburi ndugu yule akalazimisha kupita. Siku iliyofuata alishangaa miguu inaishiwa nguvu na inakuwa ya baridi. Tangu siku hiyo...
Back
Top Bottom