Mkoa wa Kilimanjaro pekee ndio wanarudi kwao mwisho wa mwaka,mikoa mingine wanaogopa kurogwa

chiembe

JF-Expert Member
May 16, 2015
12,003
20,663
Ni kilimanjaro pekee, mkoa ambao machief walianza kuvaa suti miaka ya 1900 wakati mikoa mingine wakivaa magome ya miti au kutembea uchi.

Disemba hii wanaenda makwao wakiwa hawaogopi kurogwa na waliowaacha huko. Fatma Mwassa amegundua wahaya hawarudi kwao kwa kuogopa uchawi(bulogo),wameacha ma nyaruju huko waliyotumia kufuga majini,Mwassa kaitisha harambee kuwaita wahaya, rukwa na kigoma, mwanza,geita, mara,simiyu kwenye magambushi,wao wakienda makwao wanaingia usiku na wakiondoka hawaagi.

Hongereni wachaga
 
Keeli
Ni kilimanjaro pekee, mkoa ambao machief walianza kuvaa suti miaka ya 1900 wakati mikoa mingine wakivaa magome ya miti au kutembea uchi.

Disemba hii wanaenda makwao wakiwa hawaogopi kurogwa na waliowaacha huko. Fatma Mwassa amegundua wahaya hawarudi kwao kwa kuogopa uchawi(bulogo), kaitisha harambee kuwaita wahaya, rukwa na kigoma, mwanza,geita, mara,simiyu kwenye magambushi,wao wakienda makwao wanaingia usiku na wakiondoka hawaagi.

Hongereni wachaga
Kweli kabisa kuna makabila ukirudinahueni kidogo utajuta......watakuvuruga mnoo hata wazazi hawataki watotonearudi wao ndio huka mijini....nomaaa sanaa pia ugomvi ardhi vijijini wasimamizi hawataki wenye mali warudii....watatoga mpate ajali
 
Ni kilimanjaro pekee, mkoa ambao machief walianza kuvaa suti miaka ya 1900 wakati mikoa mingine wakivaa magome ya miti au kutembea uchi.

Disemba hii wanaenda makwao wakiwa hawaogopi kurogwa na waliowaacha huko. Fatma Mwassa amegundua wahaya hawarudi kwao kwa kuogopa uchawi(bulogo), kaitisha harambee kuwaita wahaya, rukwa na kigoma, mwanza,geita, mara,simiyu kwenye magambushi,wao wakienda makwao wanaingia usiku na wakiondoka hawaagi.

Hongereni wachaga
Hahahaha
 
Ni jambo jema ila usichokijua makabila mengine huona nchi yote ni kwao...

Warudi nyumbani wapi?

Sometimes kurudi home kwa wingi kunajenga ile sense ya 'sisi na wao'

So nyinyi endeleeni tu kikubwa hakuna sheria inavunjwa.
 
Sio kweli...Kila itwapo Leo safari zipo,,hii ya Kilimanjaro December ni suala la Imani na imekuwa kama desturi Kwa Wakiristo wa Kilimanjaro pamoja na familia zao kuwakumbuka ndugu,jamaa na marafiki zao waliopo na wale walikwisha tangulia mbele ya haki.
 
Ni kilimanjaro pekee, mkoa ambao machief walianza kuvaa suti miaka ya 1900 wakati mikoa mingine wakivaa magome ya miti au kutembea uchi.

Disemba hii wanaenda makwao wakiwa hawaogopi kurogwa na waliowaacha huko. Fatma Mwassa amegundua wahaya hawarudi kwao kwa kuogopa uchawi(bulogo), kaitisha harambee kuwaita wahaya, rukwa na kigoma, mwanza,geita, mara,simiyu kwenye magambushi,wao wakienda makwao wanaingia usiku na wakiondoka hawaagi.

Hongereni wachaga

Sidhani kama wanaogopa kurogwa. Wemgine qanashindwa kurudi makwao kwa sababu hawana nyumba. Unamuta Dar kajenga ghorofa la nguvu, lakini kijijini kwao hana hata nyumba vitatu. Anaanza kufikiria, akirudi na familia yake huko kijijni ataishi wapi. Makabila ambayo wanapenda kujenga nyumba makwao wana kawaida ya kwenda kwao mara nyingi.

Makabila ambayo hawajengi kwao, hata wakifa huzikwa huko huko mjini.
 
Back
Top Bottom