Mtakuwa mmesahau!
1. Enzi zetu hizo, sio Zama zenu hizi Gen Z za kukata mayeno na kujirekodi. Au mwanaume kuchambana na kusutana kama wanawake.
2. Enzi hizo Sisi tulikuwa tunaitwa MAFATAKI. Weee! Wewe. Ulizeni muambiwe. Nyie si mlikuwa watotom tena wengine mlikuwa hamjazaliwa.
3. Serikali...
Mwandishi wa Sky News anayehusika na masuala ya Afrika, Yousra Elbagir, pamoja na timu yake, wamekamatwa na vyombo vya usalama vya Uganda baada ya kunaswa wakirekodi askari wa polisi na jeshi wakipiga na kuwatesa wafuasi wa kiongozi wa upinzani Bobi Wine.
Hivi karibuni Yousra Elbagir alimfanyia...
Nawajukisha tu ukitumia whatapp pekee ndiyo hawawezi kukurekodi lakini ukiongea na simu ya kawaida Tanzania hasa kwa simu ya nje wanakurekodi . Kuweki makini kuongea siasa kwa simu za kawaida lakini whatapp ndiyo hawawezi nawajukisha
Taarifa za uhakika kabisa za kijasusi zilizopo ni kwamba jeshi la polisi chini ya kamanda Mafwele wapo kazini kuwatafuta, kuwabaini na kuwatambua wale wote walohusika na kuandaa mikutano ya kupanga maandamano ambayo kwa namna fulani yamefanikiwa kufikisha ujumbe.
Ujumbe wa maandamano hayo...
Habari zenu wakuu kuna project natakiwa kuifanya haraka iwezekanavyo.
Sasa naulizia njia ipi itakuwa bora zaidi. Kufanya video presentation ama ama kuirekodi tu kama audio?
Natanguliza shukurani zangu za dhati.
Kuna taarifa za Wanaojiandikisha kuambiwa kupeleka kadi zao kwa Wajumbe wa CCM. Huu ni uzandiki uliopitiliza.
Kuna taarifa za watu wasio raia kujiandikisha kwenye daftari la Wapiga kura.
Kuna taarifa za Watu wa CCM kuandikisha Watoto wadogo ambao hawajstimiza miaka 18 kama mkakati wao wa kuiba...
Habarini wanajukwaa
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,ni kwamba nilimsikia mtu mmoja akisema,ati wazungu ni balaa maana wamepiga hatua kubwa kitekinolojia,kwamba wamefikia hatua yakutengeneza satellite inayoweza kukupiga picha,kuchukua video yako,hadi sauti yako,(lkn ni kama wakihamua...
Inawazekenaje watu wanaweza kurekodi kwa siri video clip za dungadunga kwenye dalalala na mwendokasi ila walishindwa kabisa kurekodi video ya Ali Kibao akichukuliwa mateka na wasiojulikana katika bus lenye abiria zaidi ya 40?!
Ni kweli mpaka sasa hakuna hata raia mwema mmoja aliyefanikiwa...
Hii Injiii, ama kweli akili ya Mtanzania huwezi kuíkuta Mahali popote hapa Duniani.
Naombeni mniitie Huyu Mkurugenzi msaidizi wa Ofisi ya Mashitaka.
Jamaa ambaye ni Msomi wa Sheria na kuaminika anasema Watuhumiwa wanashitakiwa Kwa makosa Mawili tu, Kubaka, Kuingiliwa kinyume na maumbile...
Shalom,
Ile namba ya call forwarding ya Vodacom Tz siku hizi haonekani
Nimekuwa na utamaduni wa kuchunguza hatari ya calls tracking kwenye simu yangu mara kwa mara, hivyo huwa nabonyeza *#62#OK, upande wa Airtel na tigo sijawahi kuona hatari, Vodacom wao walikuwa na namba inaanza na...
Ripoti ya Ribo ya Mwisho wa Mwaka 2023 inayoangazia Huduma za Mawasiliano Nchini, imeonesha katika kipindi cha Oktoba hadi Desemba 2023 kulikuwa na Majaribio ya Udanganyifu 21,788 katika Mikoa 29 huku Mkoa wa #Rukwa ukiongoza kwa majaribio 7,666.
Aidha, Mtandao wa #Tigo umeongoza kwa kurekodi...
P. Diddy amekumbwa na kesi nyingine ya unyanyasaji wa kingono. Nguli huyo ameshtakiwa katika Mahakama Kuu ya Manhattan akidaiwa kumnyanyasa kingono mwanamke ambaye alimnywesha dawa za kulevya mnamo mwaka wa 1991 katika mojawapo ya kesi zilizofunguliwa chini ya Sheria ya Watu Wazima...
katika
kesi
kingono
kubaka
kurekodi
love
mashitaka
mpya
mwaka
mwanamke
mwanamke mwingine
mwingine
p diddy
puff dady
tena
tukio
ubakaji
unyanyasaji
unyanyasaji wa kingono
Zanzibar: Wakamatwa wakiendesha mtandao wa kuingilia watoto wa kiume, kurekodi na kufanya udalali.
"Kuhusu ule mtandao nimejua kupitia walewale ambao wamo kwenye mtandao na kuanza kuwakamata watuhumiwa. Simu zao ndio zikawa zinatuonesha nini kipo na wao wenyewe wakawa wanatueleza nani dalali...
Hii ni offline app niliyoitengeneza kwa ajili ya matumizi binafsi kwa lengo la kukokotoa jumla ya mauzo ya siku katika fremu yetu ndogo. Nimeiweka Playstore ili kushare na wengine wanaohitaji. Kwa kifupi unavyoanza siku mpya ya biashara unagusa button [J] ili kufungua jalada mpya na utaona...
Na ningependa zaidi wachangiaji wawe ambao wanatumia hizi system, sio ku google ama kusikia.
Nipo mkoani nina stoo yangu kubwa ambayo ndipo mizigo inapofikia kutoka Dar kwajili ya kuitunza na pia huwa nauzia hapo kwa order kubwa kubwa. kuna mtu wa kazi ndie nimemweka hapo awe anafanya stock...
Ni kipi chema kama upendo?
Wakati nilipokua niko mbali na mwandani wangu, nilikua kila tukiongea narekodi mazungumzo, kisha nikikaa nasikikiza bas nafarijika sana.
Unakua unahisi kama vile yuko karibu au mnaongea, now we are together,
i am her and she is me.
Habari wakuu, baada ya kuvutana kwa mabishano ya hoja hapa tulipo nimeona nije JF kuuliza kuhusu hili.
Hivi kampuni yoyote ya simu ina uwezo wa kurekodi maongezi ya kila mteja wake kwa simu anazopiga au kupigiwa (maongezi)? Yaani hata zile simu za salam, au wanachukua hatua ya kurekodi tu pale...
Ukiangalia gharama kubwa za maisha zinavyozidi kuwatesa wananchi, kila kitu kimepanda bei kuanzia chakula, mafuta, vifaa vya ujenzi ndio kabisaaaa. Kuna wakati najiuliza tulitumia zaidi ya Tsh. Bilioni 7 kwaajili ya kushoot filamu ya Royal Tour ili iweje sasa? zimerudi gharama kiasi gani mpaka...
Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam kwa kushirikiana na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) linamshikilia ALLEN SAMWEL MHINA, Miaka 31, Mbondei, Mkurugenzi wa Mtandao wa kijamii wa U-turn Collection mkazi wa Temeke Mwembeyanga na wenzake 13 kwa tuhuma za kusambaza video katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.