Kipi bora wakuu kufanya Video presentation ama kurekodi Audio

Bongotunacheza

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2018
Posts
1,821
Reaction score
3,976
Habari zenu wakuu kuna project natakiwa kuifanya haraka iwezekanavyo.

Sasa naulizia njia ipi itakuwa bora zaidi. Kufanya video presentation ama ama kuirekodi tu kama audio?

Natanguliza shukurani zangu za dhati.
 
Inategemea na lengo la presentation yako, washiriki/audience, wanachotaka kusikia/kuona nk.

Lakini ili ivutie na kueleweka kwa urahisi kwa washiriki video ni bora kuliko audio kwa sababu naamini utaweka picha kuhusu mradi wenyewe nk.

Kila la kheri.
 
Inategemea na hadhira yako. Kama ni presentation chuoni, kamuulize prof wako. Kama ni ya kijamii, chagua mwenyewe. Ila kuona ni kuamini na kusikia ni umbea.
 
Inategemea na lengo la presentation yako, washiriki/audience, wanachotaka kusikia/kuona nk.

Lakini ili ivutie na kueleweka kwa urahisi kwa washiriki video ni bora kuliko audio kwa sababu naamini utaweka picha kuhusu mradi wenyewe nk.

Kila la kheri.
Kama alishindwa kufanya simple analysis kama hii basi namuhurumia Sana aliyempa hiyo kazi maana amempa kazi mtu bogus kabisa.
 
Inategemea na lengo la presentation yako, washiriki/audience, wanachotaka kusikia/kuona nk.

Lakini ili ivutie na kueleweka kwa urahisi kwa washiriki video ni bora kuliko audio kwa sababu naamini utaweka picha kuhusu mradi wenyewe nk.

Kila la kheri.
🙏🙏🙏
 
Back
Top Bottom