kupoteza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Kikundi cha rsf kuongea na waandishi wa habari jijini Nairobi- kenya ikiwa ni baada ya kupoteza udhibiti wa mji wa wad madani

    Kulingana na The Eastleigh Voice, kikundi cha RSF cha nchini Sudan kitaongea na waandishi wa habari jijini Nairobi nchini Kenya mnamo Jumatatu ya tarehe 13 Januari 2025. Hii inakuja ikiwa ni siku moja tangu RSF wapoteze udhibiti wa mji muhimu wa Wad Madani. Kuipoteza Wad Madani ni pigo kubwa...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Ninawezaje kuitolea mashitaka idara ya uhamiaji kwa kusababisha kupoteza ufadhiri wangu?

    Mwaka 2022 nilipata full scholarship lakini nasikitika nilinyimwa passport uhamiaji bila sababu za msingi na kusababisha scholarship kuisha mda wake. Hali hii unanitesa sana imeniathiri.je nihatua zipi nifanye niwashitaki?
  3. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Korea Kusini: Ndege iliyobeba watu 181 yaacha njia na kugonga ukuta na kuua zaidi ya Watu 167

    Takriban watu 167 wamefariki dunia baada ya ndege moja iliyokuwa imebeba abiria 181 na wafanyakazi 6 kuacha njia ya kurukia (runway) na kubomoa ukuta katika uwanja wa ndege nchini Korea Kusini. Inasemekana watu wawili (2) wameokolewa kwenye ajali hiyo huku hali za watu wengine waliokuwemo...
  4. kindikinyer leborosier

    JamiiForums Tanzania Naelekea kupoteza mafao yangu, ushauri wenu Wanasheria

    Habari ndugu zangu, Niende Moja kwa moja kwenye tatizo langu. 1. Mwaka 2017-2019 niliajiriwa sehemu nikawa nalipwa ujira wangu, nilikuja kuachana nao na kujiunga na taasisi nyingine, Hawa maboss wangu waliniahidi kiasi Fulani Cha fedha wanapeleka NSSF lakini hawakuwa wakifanya hivyo, na kibaya...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Vijana msije mkajitoa mpaka kupoteza maisha yenu kupigania vyama maslahi hivi

    Siku zote huwa nawaambia vijana fanyeni siasa, fanyeni ushabiki wa kisiasa, wapendeni viongozi wa kisiasa lakini kamwe msije kujitoa mhanga kiasi kwamba mnahatarisha maisha yenu kuwapigania wanasiasa au vyama vyao. Wanasiasa wote unaowajua wapo pale kwaajili ya maslahi yao na familia zao kwanza...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Kosa la Mbowe ni kumshauri Wenje kupambana na Lissu, kwa hasira Lissu akampandia juu. Uamuzi ambao nauona sahihi kwake hata akishindwa

    Ulitafakari kwa makini baadhi ya sentwsi na sababu za Lissu kuamua kuachana na umakamu hoja ya msingi kaificha. Lakini ukweli uliojificha ni hasira zake dhidi analoamini lina kiburi cha fedha za Abdul na mama yake kutaka kumpora cheo ndani ya chama. Lissu aliamini kabisa akishindana na Wenje...
  7. Sigonella Island

    JamiiForums Tanzania Kauli mbalimbali za mwisho za Marubani kabla kupoteza maisha kwa ajali

    Hizi ni kauli za mwisho za binadamu baada ya kuona hamna tena matumaini ya kuendelea na uhai wake pindi anapokumbana na hitilafu au ajali inayompata wa nini kifuatacho
  8. Yoda

    JamiiForums Tanzania Wanaosombaza habari za watu maarufu kubadili dini na kusilimu huwa wanalenga nini hasa?

    Si vyema kuwa na mahaba na dini yako mpaka unapitiliza mipaka ya utimamu wa kawaida wa akili(common sense) na kugeuka kituko. Naona mitandaoni baadhi ya watu wanakazana kusambaza taarifa ya Kim Kiduku wa Korea Kusini kusilimu na kuwa muislamu, kwanza kwa kiasi kikubwa taarifa hii inaonekana ni...
  9. Z

    JamiiForums Tanzania Uzee huwa unaambatana na changamoto lukuki, ikiwemo kupoteza busara, kumbukumbu na kurudi kwenye hali ya utoto

    Kama kuna kipindi tunatakiwa kuwa karibu na wazee wetu ni kipindi wanapo kuwa na umri mkubwa. Wazee wetu wanapo kuwa na umri mkubwa huwa wanakumbwa na changamoto lukuki, ikiwemo kupoteza maarifa na busara, akili zao hurudi nyuma na kuwa za kitoto. Nashauri vijana wenzangu ambao wazee wao bado...
  10. Tutu kalundji

    JamiiForums Tanzania Shule ya Sekonari ACT Bunda Girls inavyopoteza muelekeo wake

    Ni shule ya wasichana iliyo katika halmashauri ya mji wa Bunda mkoani Mara.Inamilikiwa na kanisa la Anglican dayosisi ya Mara. Taaluma katika shule hii ni ya wastani sana ukilinganisha na hadhi yenyewe ya "u private". Kwa kifupi inazidiwa kiwango cha Taaluma na shule nyingi tu kata zilizo...
  11. PAGAN

    JamiiForums Tanzania Kuiondoa CCM madarakani ni sawa na kupoteza muda

    Kuiondoa CCM ni sawa na kupoteza muda kwasababu chama kingine kitakachochukua nafasi ya kuongoza kiuchumi kitakuwa kina tumia mfumo huu wa sasa. Sina elimu ya juu kama great thinkers wengi humu ndani, hiki ninachosema si biblia au msahafu, ni mawazo na msimamo wangu binafsi nilioamka nao leo...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Namibia: Wananchi wapiga kura kuchagua Rais mpya na wabunge, SWAPO hatari ya kupoteza baada ya Miaka 33

    Wananchi nchini Namibia wanapiga kura kuchagua Rais mpya na wabunge katika uchaguzi unaotajwa kuwa mgumu kwa taifa hilo. Vituo vya kupigia kura vilifunguliwa mapema leo Novemba 27 ambapo maeneo mengi yameshuhudia msururu mrefu wa wapiga kura. Chama tawala cha SWAPO kinapewa nafasi ndogo ya...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kelele na maoni yamekuwa mengi baada ya Yanga kupoteza lakini tusisahau hii ni ligi ya mabingwa na Yanga anakutana na mabingwa sio looser cup hii!

    Naona maoni na masimango yamekuwa mengi sana hasa hasa kutoka umbumbuni baada ya yanga kupoteza dhidi ya Al hilal lakini nawakumbusha tu hili ni kombe la wanaume haswaa sio kombe la washindwa! Yanga anapambana na mabingwa wa ligi zao sio washindwa walioshika nafasi za tatu na nne kwenye ligi...
  14. Determinantor

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Kiongozi wa CCM aahidi "kupoteza" wapinzani wao kwa kutumia jeshi la Police

    Hawa Vijana wa hovyo wa CCM natamani wangeonywa juu ya haya matamshi Yao! Imagine huyu ni kiongozi wa CCM na anaongea haya publicly, kama ana uwezo wa kusema hivi hadharani, je huko sirini Wanaongea na kupanga mabaya Kiasi Gani?.
  15. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Watu wanaanza kupoteza uaminifu kwa YouTube Tech reviewer MKBHD

    MKBHD kila siku ziendazo mbele anazidi kuyatimba. Juzi alikua ana review camera ya DJI Action 5 Pro akaonekana anaendesha Porsche zaidi ya 90 mph kwenye kibao cha School zone 35mph. Mashabiki wamemuwashia moto hatari. Hapo issue yake ya App ya Pannel ambayo ni App ya Wallpapers...
  16. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kikao cha usiku Gamondi ang'aka awaambia viongozi msimu haujaisha nidhamu na majeruhi ndio chanzo cha kupoteza mechi

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza chanzo cha ndani kinasema baada ya Gamondi ametaka watu kumfanya kichaka cha kujifichia ilibidi ang'ake na kuwa mkali na kila mmoja afanye kazi yake kwa matokeo yeye asilimia mia atayafanyia kazi. Ameng'aka kuna wachezaji uongozi unachangia unawafanya kama...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano gani kati ya kupokea zawadi kutoka Kwa manabii na kupoteza kimaisha?

    Tumeshuhudia anguko la goodluck gozbert baada ya kupokea zawadi kutoka Kwa nabii mkuu...je tutarajie Nini kutokea baada ya dada yetu mpendwa shusho kupokea million kumi Kwa nabii mkuu pamojaa na kusemekana kuishi kinyumba na mtume maarufu wa kuuza mafuta ya upako Ila spiritual life is real ...
  18. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Magaidi wa Hezboullah waendelea kupoteza Askari wao huko Lebanon kusini

    Baada ya kipondo kutoka majeshi ya Israel Magaidi wengi waliangamizwa na wengine kukimbia kusikojulikana juhudi za kuwatafuta bado zinaendelea.
  19. Thabit Madai

    JamiiForums Tanzania Simba anakwenda kupoteza huu mchezo

    - Historia inaonesha kwamba mara nyingi Simba wakiingia kwenye Derby na Mbwembwe huwa wanapoteza mchezo au kutoka sare. Mara kadhaa Simba wakiingia kama second team huwa wanashinda, ndio maana hata wakati Sinbad wakiwa kwenye ubora walihangaika kuwafunga Yanga hawakuwahi kushinda mara 3...
  20. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Uandikishaji huu wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa hauna tija, ni kupoteza wakati

    Leo mchana nimekwenda kujiandikisha kuhusiana na uchaguzi ujao wa serikali za mitaa, kuna jambo moja fikirishi ni, nini nia na madhumuni ya kuandikisha. Nimeandikwa jina langu, umri na nikaweka sahihi. Nilichoandikwa ni jina na umri tu! majina yetu hujirudia rudia, hapa sijui ni mkazi wa mtaa...
Back
Top Bottom