kupitisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ritz

    JamiiForums Tanzania Bunge la Marekani lashindwa kupitisha Muswada wa Kutuma Bilioni 17.6 kwa Israeli

    Wanakumbi. Naona hali tete huko Marekani Israel kaishiwa pesa kaomba msaada dharura wa pesa, Netanyahu kamuomba Biden pesa Biden kapeleka mswada bungeni Wamarekani wamekataa kutoa pesa ni muda sasa Waisrael weuisi ya Majji matitu, Ngudu, Kimara kupelekq pesa Israel...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Mikopo ya hazina, Maafisa Utumishi wanaomba 10% ili waweze kupitisha

    Kumekuwa na matangazo mbalimbali yanayohusiana na mikopo kwa wafanyakazi nadhani ni Tanzania Nzima. Mfano kwa wilaya ya Uyui kuna 400, Tabora manispaaa kuna bilion 3, kwanza tunashikuru viongozi wa wilaya na mkoa kwa kutangaza mikopo hiyo kwani kuna wilaya ya nyingine na mikoa hakuna kabisa...
  3. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Wabunge nchini Marekani wamepiga kura za kumwondoa Rais Biden madarakani kwa tuhuma za Rushwa na matumizi mabaya ya madaraka kuitajirisha familia yake

    Wabunge nchini Marekani wamepiga kura kukosa imani na Rais wao Joe Biden kwa malalamiko ya kwamba Rais anatumia madaraka yake kula rushwa, kutakatisha fedha na familia yake kuwa na utajiri wa mabilioni huku vyanzo vikitiliwa mashaka. Matokeo ya kura, Wabunge 221 wameunga mkono, wabunge 214...
  4. Ghost MVP

    JamiiForums Tanzania SI KWELI China imepitisha Sheria ya kuwanyonga wanaojihusisha na mapenzi ya jinsi moja

    Inasemekana huko mitandaoni kuwa Serikali ya China imepitisha Sheria ya kupinga Mapenzi ya Jinsia Moja(ushoga), na Adhabu kali kwa yeyote atakaye jihusisha na na Mapenzi ya Jinsia Moja ndani ya nchi hiyo.
  5. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Elibariki Kingu: Wabunge wa CCM tuko vizuri kichwani, tusingezeweza kupitisha mkataba usio na maslahi kwa nchi yetu

    Mbunge wa jimbo Singida Magharibi, Elibariki Kingu amejigamba kuwa wabunge wa CCM si wa mchezo linapokuja suala la matumizi ya akili, amesema kuwa mkataba uliopitishwa Bungeni ni salama kwa maslahi ya taifa Wabunge wa CCM tuliopitisha Mkataba wa Uwekezaji Bandarini tuko vizuri kichwani, pale...
  6. M

    JamiiForums Tanzania DODOMA; Wabunge Washindana kula Ubwabwa!

    Salamu Wakuu, Baadaye ya kuumiza vichwa na mijadala ya mizito ya kuitoa Tanzania kwenye Lindi la umaskini, leo Wabunge wanafanya bonanza la kushindana kula Ubwabwa na maharage!
  7. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Jinsi nafuatilia bunge la kupitisha DP-World

  8. R

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CCM wanaojitambua wameamua kutoingia Bungeni kupitisha Azimio la kuuza Bandari; bunge lipo tupu

    Hii nchi kuna mambo sensitive ambayo waliopewa dhamana wameamua wasiyasimamie. Leo kuna mjadala wa kukodishwa bandari, jambo nyeti kama hili lakini wabunge wa CCM awapo bungeni wapo mtaani wanapiga kamnyweso wakiangalia bunge kwenye TV. This is not sawa kwa kweli, natambua wengi wamekwepa kuwa...
  9. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa kama ishu ni kuongeza ufanisi wa kupitisha tani elfu 58 ni lazima mwarabu awekeze? Sisi kama taifa hatuwezi kuboresha?

    Acha upumbavu. Sisi hatuwezi kuwekeza mitambo na kuwapa utalaamu watanzania?
  10. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Bunge halitakuwa LIVE Juni 10 kupitia mkataba wa bandari

    Kuna tetesi kuwa wabunge wa CCM wametoa shinikizo kwa Spika, Dk. Tulia kuhakikisha kikao cha kesho cha kupitisha azimio la kuuza bandari zote za Tanzania bara kwa Mwarabu hakionyeshwi LIVE kwenye Tv ili kuwanusuru kwa wananchi ambao wako kwenye taharuki kubwa. Wabunge hao inasemekana...
  11. econonist

    JamiiForums Tanzania Je, inawezekana Bunge kukataa kupitisha mkataba uliokwisha sainiwa na Serikali?

    Swali la msingi ni kwenye kuridhia mikataba ya kimataifa, Bunge linauwezo wa kuukataa mkataba ambao umekwisha sainiwa na serikali? Na Je, Bunge likiukataa huo mkataba Nini kitatokea? Naomba mtaalamu wa sheria za Kimataifa kwenye ratifications of treaties atusaidie.
  12. G

    JamiiForums Tanzania Kuomba ajira kwa aliyeajiriwa bila kupitisha kwa mwajiri inawezekana kuitwa interview?

    Habari JF. Naomba kuuliza hivi ukipeleka barua kwa mwajiri wako mfano mkurugenzi wa halmashauri akagoma kuipitisha barua yako, maana nimepeleka lakini ameirudisha bila kusaini wala kuandika chochote. Naweza kuomba bila kupitisha kwake na vilevile nataka kuweka kama mimi ni mwajiriwa kwenye CV...
  13. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Biden atishia kuweka vikwazo kwa Uganda baada ya kupitisha sheria ya kupinga ushoga

    Rais wa Marekani, Joe Biden ameilaani sheria mpya iliyotiwa saini na Rais wa Uganda, Yoweri Museveni dhidi ya vitendo vya ushoga na kusema kuwa Marekani inaweza kuiwekea Uganda vikwazo huku akitoa wito wa sheria hiyo kufutwa mara moja. Sheria hiyo mpya itawalazimu Watu wanaoshirki kwenye...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Wabunge wapigwa darasa kuhusu nishati safi na salama ya kupikia. Kila mbunge kupewa mitungi 100 ya gesi

    Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo, tarehe 27 Mei, 2023 wamepata nafasi ya kujifunza kuhusu nishati safi ya kupikia pamoja na kupitishwa kwenye Rasimu ya Dira ya Taifa ya Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia pamoja na Mpango Mkakati wa Utekelezaji kupitia semina maalum...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Dar: Mitaro ya kupitisha maji Sinza hali mbaya

    Kwa kifupi, Dar es Salaam sehemu nyingi hali ya mazingira ni mbaya sana na hiyo inafanya ugonjwa wa Kipindupindu kuendelea kututesa. Tazama hapo ni Sinza, Barabara ya Mori, mitaro ina uchafu hadi inatia kinyaa. Sijui wahusika kama wanalifahamu hili.
  16. Buzi Nene

    JamiiForums Tanzania Sharti la kupitisha barua kwa mwajiri wakati wa kuomba kazi za serikali ni kikwazo

    Tofauti na zamani kwenye matangazo ya kazi mbali mbali hivi karibuni serikalini kumekuwa na uhuru wa watumishi kuomba hizo kazi ila kigezo kimojawapo ni kutakiwa kupitisha barua ya maomba kwa mwajiri husika, mfano mkurugenzi wa halmashauri. Kwa kiasi kikubwa hiki kimekuwa kikwazo kwa mtumishi...
  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Rais Putin asitisha Vita na Ukraine kupisha Sherehe za Krismasi leo

    Rais #VladmirPutin amechukua uamuzi huo baada ya Mkuu wa Kanisa la Kiorthodoksi la Urusi, #PatriakiKirill, kupendekeza kusitishwa kwa #RussiaUkraineWar kuanzia adhuhuri ya Ijumaa Januari 7 hadi saa 2 asubuhi Jumapili Januari 8, 2023. Kanisa la #Kiorthodoksi, ambalo hutumia Kalenda ya zamani ya...
  18. Rusumo one

    JamiiForums Tanzania Kupitisha Elimu ya Msingi kuishia std 6 Nchini hili jambo lipoje?

    Wakuu miezi kadhaa iliyopita Naibu Waziri wa elimu Nchini alizungumzia kuhusu wanafunzi wa S/M kuishia std 6 kuanzia mwaka 2023. Sasa hii ni Dec 30 na alisema by this Dec 2022 ataweka mambo mezani ikiwemo kuondoa mitihani ya mwisho means mitihani itakuwa form 4, comb zitaanzia form 1. Pls Naibu...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Utawala wa Biden waliomba bunge kupitisha ombi la msaada wa trilion 28 kwa ajili ya Ukraine.

    Washington. Serikali ya marekani imeliomba bunge kupitisha ombi jipya la bajeti ya matumizi kwa ajili ya Ukraine linalokadiriwa kufikia trilion 28. Ombi hili jipya la utawala wa Biden linalenga kuisaidia Ukraine kijeshi na kiuchumi katika kukabiliana na uvamizi wa Urusi. Senators from both...
  20. Equation x

    JamiiForums Tanzania Umeme kupitisha chini ya sakafu

    Habari wakuu, Kuna jengo nilikuwa nimejenga kwa ajili ya ofisi, ila katika umwagaji wa 'slab' sikuweka bomba kwa ajili ya umeme. Kwa sasa imenipelekea kuweka mfumo wa umeme, kupitia sakafuni na ukutani. Ila kwa 'floor' ya juu, hakutakuwa na shida utapita juu/darini na ukutani. Napendelea...
Back
Top Bottom