Ni kwa muda mrefu sasa wanafunzi wa Udaktari Bingwa wa Mifupa Bugando wamekuwa wakipitia mazingira magumu pamoja na kufelishwa makusudi katika idara yao bila uongozi wa chuo kuchukua hatua, ilhali wanafahamu matatizo yaliyopo kwenye idara hii.
Chuo kimekuwa kikidahili wanafunzi wa mwaka wa...
Yaan unajiita Mchumi, mara msomi, alafu kwenye Mkutano Unasema TUKIO la Lissu lilitengenezwa??
Yaan wewe unaona Watanzania ni Mazwazwa ?
Au TU umeamua kuwatia Watanzania Hasira wachukie zaidi?.
Niku challenge? Kwakua Ni TUKIO la kutengenezwa kwa Lengo la kuchafua Serikali, Toka 2017 Hadi...
Kulingana na imani za kidini, hasa kwa kurejelea Biblia Takatifu na Qur'ani Tukufu, jibu la msingi ni kwamba shetani anaweza kutumia uganga na uchawi kusababisha magonjwa au madhara, lakini hawezi kufanya hivyo kwa mamlaka yake mwenyewe—lazima kuwe na ruhusa au makadirio ya Mungu.
Katika vitabu...
Nakushauri kwa madini uliyonayo utubu dhambi zako na ufanye uchaguzi sahihi.
Mtu alie makini hawezi kukaa kwenye chama kama Act Wazalendo.
Unajenga hoja za msingi lakini watu wanakudharau sababu ya kuwa upo na kibaraka wa CCM mwenye makunyanzi.
Rio Ferdinand anatuhumiwa anatumika kufanya sportswashing kusafisha na kuyafanya mauaji ya Oct/29 kua halali kwa kupitia michezo naona mijadala imeanza huko times pia wamepost
Reddit watu wanadisciss unajua zile Zama za kuficha ficha mambo zimeisha watu wengi tunaelewa vitu vinavyoenda
TRA tunaomba warekebishe Changamoto iliyopo kwenye Innovation portal Yao kwani imekuwa ikisumbua kuingia ni muda Sasa. Kama kweli wanahitaji mawazo Bunifu inabidi wawe na njia hata tatu za kupokea maoni iwapo Moja itakuwa inasumbua. Nina Imani ni wasikivu na watafafanya.
Sehemu kubwa inayosumbua...
Mchora Katuni Masoud Kipanya ambaye pia amewahi kuwa Mtangazaji wa Redio na TV kupitia chaneli ya Kipanya Tell A vision kuhusu Mtazamo wake kuhusu Waandishi wa Habari walioshiriki katika kuwania nafasi za uongozi kupitia Vyama vya Siasa.
Makanisa yanayohimiza elimu, maadili na maendeleo yamekuwa nguzo muhimu kwa jamii nyingi.
hapa kwetu ukifuatilia jamii zilizoendelea, basi nyuma yake kuna Roman Catholic, Lutheran, Moravian, n.k.
Lakini pale dini inapogeuzwa sehemu ya kulinda matapeli, kuhubiri ujinga au kuwanyonya wananchi...
cancer
elimu
gongo
hata
hatuna
haya
jamii
janga
kagame
kanisa
kipaumbele
kuanzisha
kubwa
kupitia
kuweka
maendeleo
makanisa
matapeli
mbele
mchungaji
nyingi
taifa
Watu wa karibu na Samia Suluhu Hassan wanapaswa kumshauri kwamba rais si tu kiongozi wa nchi, bali pia ni taswira ya hisia na matumaini ya wananchi. Kuna wakati wananchi hawahitaji hata suluhisho la haraka, wanahitaji kuona tu kwamba rais ameona tatizo lao na amelizungumzia kwa uwazi na kwa...
Mkoa wa Geita wafanyakazi wa idara ya afya kupitia shirika lisilo la kiserikali ICAP wanacheleweshewa mshahara wao kila mwezi na wakiuliza kwa mratibu wa mkoa hatoi majibu mazuri na kutishia kama umeshindwa acha kazi ambacho sio jambo jema
Anonymous
Thread
afya
geita
idara
idara ya afya
kila mwezi
kiserikali
kupitia
mkoa
mkoa wa geita
mshahara
mwezi
shirika
wafanyakazi
wao
📚 Elimu Bora Kwa Wote – Tanzania Nzima 🇹🇿
Je, unahitaji mwalimu wa kuja nyumbani kwako kwa muda unaoutaka?
Sasa usihangaike tena!
ELITE HOME TUITION tupo kwa ajili yako.
✅ Tunatoa huduma ya kufundisha nyumbani (Home Tuition)
✅ Mwalimu anakuja muda unaotaka wewe
✅ Tunafundisha Tanzania nzima
✅...
Pumzika kwa Amani Temba ndio umekufa kifo cha kikatili sana sidhani kama uliwahi kufikiria utakufa kifo cha kikatili hivo.
Poleni sana wana familia wa Temba Mungu awe faraja kwenu kipindi hiki kigumu hakika ni msiba mkubwa sana kwenu na kwa wapenda haki na amani.
Lakini kupitia kifo cha Temba...
Amani ya Bwana ikawe kwa kila mmoja popote mlipo
Rejea mada tajwa hapo juu
Mungu anataka Lissu achiliwa haraka sana ndani ya siku 21 ni amri kuu sio ombi.
Ujumbe huu ukamfikie kila mmoja na mhusika wa kuendelea mshikilia mtu uyu.
Msipofanya hivi ndani ya siku 21 , kuanzia leo 1/5/ 2026, bila...
Wote tunajua kuwa kwa Chadema matusi ni sehemu ya Siasa zake. Lakini jueni kuwa ulimwengu wa sasa umehama kutoka kwenye siasa za matusi kwenda kwenye siasa za hoja.
Hii tabia za kuwatukana viongozi wetu IKOME! Tunaomba vyombo vyetu vya ulinzi na usalama viwapate wachacche kama sample tu ili...
Licha ya Kumshikilia Lissu, Bado Watanzania wamezidisha Mapenzi yao kwa CHADEMA
Licha yaashambulizi meengi dhidi ya Viongozi wa CHADEMA , Wanachama , bado Watanzania ndo Kwanzaa wanazidi kupenzika na CHADEMA.
Yaan CHADEMA ya sasa, ni IMANI AMBAYO IMEZAA FALSAFA kwa WATANZANIA.
Je, ni nani wa...
Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kinatoa pongezi za dhati kwa Bw. Suleiman Risasi, Mhadhiri Msaidizi kutoka Ndaki ya Sayansi za Jamii (CHSS), Idara ya Sanaa na Taaluma za Habari (AMS), kwa kufanikisha ushindi wa tuzo ya Makala Fupi Bora (Best Short Documentary) kupitia kazi yake “The Spirit of the...
Mchakato ni kama ufuatao;-
Gas turbine kubwa ya kuzalisha megawatts 100 ni usd million 20 sawa na kama tsh Trillion 40+ kama
Mfano wa gas turbine zinazozalisha megawatts 100+
General Electric (GE) LMS100: A highly efficient aeroderivative gas turbine that produces approximately 100–116 MW...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.