Jamani wadau mmeamkaje? Kama kichwa Cha habari kinavyoeleza, imeibuka tabia ya ccm kutumia wale makapuku wa chaumma kupitia yule shehe fake mwenye vikundi vya kigaidi mwaipopo kumtukana heche na hitimisho lao wanasema aachie ngazi kwenye nafasi aliyonayo sasa maswali yangu ni haya;
1. Je...
Tanzania na Angola zaendelea kuimarisha ushirikiano wa kimkakati kupitia Mkutano wa Tatu wa JPC
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Dkt. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), ameshiriki Mkutano wa Tatu wa Tume ya Pamoja ya Kudumu (Joint Permanent Commission – JPC) kati...
Habarini wakuu..
Siku za hapa karibuni kumekuwa na mambo ya ajabu ajabu yanayotembea sana mitandaoni kuhusiana na hawa machawa.
Kuna sakata la yule wa kuitwa Doto Magari kusambaa kwa taarifa zake kuwa ni muathirika na kumekuwepo na kurushiana maneno kati yake na waanzilishi wa hizo tuhuma jui...
Serikali kupitia Idara ya Upelelezi wa Jinai (DCI) imeanzisha mfumo mpya wa Multi-Biometric Identification System (MBIS) ambao sasa unaruhusu waombaji kupata Cheti cha Police Clearance (Certificate of Good Conduct) ndani ya saa 24, badala ya kusubiri hadi wiki mbili kama ilivyokuwa awali.
Mfumo...
Wizara ya elimu chini ya Professor Mkenda imeendelea na upigaji wa pesa za elimu.
Moja, wanatengeneza semina na mtaala mpya ambazo hazina kiwango cha kutosha iki kupata pesa za kuendeshea na pesa hizo zinaishia mkononi kwa watu wachache nasi walimu walio hudhuria semina hizo
Semina hizo...
Inasikitisha kijana mwenye ufaulu hafifu D nne anaenda kusoma clinical medicine awe daktari akatibu watu kweli?
Vigezo vya D vifutwe wenye sifa za kusoma iwe kuanzia angalau C
Kwa zaidi ya muongo mmoja, Khadija Ali Saleh aliishi na maumivu makali ambayo hatua kwa hatua yaliondoa furaha na ubora wa maisha yake. Mwanamke huyo mwenye umri wa miaka 76, mkazi wa Zanzibar, Tanzania, alisumbuliwa mara kwa mara na vipindi vya kiungulia kikali na maumivu kifuani...
Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Mussa Omar (Mb) (wapili kulia), akimkabidhi Mguu wa Bandia mkazi wa Tanga mjini, Bi. Rehema Amour (wa pili kushoto), katika hafla ya Kugawa Miguu Bandia kwa watu wenye mahitaji maalum, iliyoratibiwa na Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tanga Mhe. Mwanaisha Ulenge...
Katika chumba cha mihadhara katika Taasisi ya Confucius ya Chuo Kikuu cha Dodoma nchini Tanzania, Tausi Iddi Nzimano, anayejulikana kwa jina lake la Kichina kama Lin Shi, hubadilisha kati ya lugha ya Kichina na Kiswahili bila shida anapowaongoza wanafunzi kwenye matamshi, sauti, na misemo ya...
Microsoft imetoa kozi kamili ya kujifunza Akili Bandia (AI) bila malipo kupitia GitHub, ikiwa ni fursa kubwa kwa wanafunzi, watengenezaji wa programu na mtu yeyote anayependa teknolojia kujifunza AI hatua kwa hatua. Kozi hiyo inajumuisha masomo ya msingi ya AI, machine learning, AI agents...
Ndugu zangu Watanzania,
Kelele za Tuhuma zimemuibua Heche Kutoka Mafichoni. Heche Sasa baada ya Kupigwa kwa kelele na kumtaka ajibu tuhuma za kupokea pesa kutoka kwa Wadau kupitia akaunti yake binafsi ameamua kubadili Gia Angani.
Eti sasa anasema wale ambao wangetaka kumtumia Hela kupitia...
Kuna mtazamo fulani hatari sana wa kusubiri kuwa kuna wakati Mungu atakutendea jambo fulani na mtu unaamua kukaa kusubiri. Hakika hii ni hali ya hatari sana katika maisha yetu tulio wengi.
Tunaisahau Sheria muhimu sana ya kuwajibika " law of accountability". Ni sawa kuwa unaweza ukagundua...
Michezo ni moja ya nguzo kuu katika maisha ya vijana ambayo humkuza kijana kiakili,kimwili,kitabia na kijamii.
Licha ya serikali kutoa mchango mkubwa ili kukuza michezo kwa vijana nchini, ombwe linabaki katika kuendeleza kipaji kwa kijana mwenye ndoto ya kuwa mchezaji mkubwa.
Katika awamu hii...
Wakuu wasalaamu.
Naomba anayeweza au anayejua anisaidie kwenye kusajili local content
Nimejaza taarifa zangu za Register kwa mfumo, ila sijapata hata email ya kuconfirm au kutengeneza log in credentials. Toka maombi yangu yapokelewe zimepita siku 3.
Ningeomba anayeweza kusaidia kujua namna...
Mimi kwakweli sielewi , Ni akili za Mwigulu, ni za Katambi ñi za Abdul??.
Hivi hamuoni hatari mnayoileta kwenye Usalama wa NCHI??.
Mwigulu huna akili hata kidogo kweli??
Hamjui mnachokitengeneza sasa ni Kuhalalisha Adui wa Samia waliopo ndani ya CCM kuandaa Vijana ili mradi tu Mauaji...
Siku zote jambo usilolijua ni usiku wa Giza, sikuwahi amini Wala sikuwahi kuelewa kitu kinaitwa URAIBU , ila sasa nimejua kwa vitendo Nini maana ya URAIBU
Nilikua nikisikia neno KAMARI , lakini sikujua kama Kuna siku nitakua MRAIBU WA kamari. Nimeshuhudia kwenye maisha yangu kwa vitendo ...
Hoja kuhusu Kuboresha Huduma za Utumaji Fedha Kupitia Mawakala
Ningependa kutoa maoni yangu kuhusu huduma za utumaji fedha zinazotolewa kupitia mawakala wa mitandao ya simu. Kuna haja ya kuweka utaratibu bora zaidi utakaomwezesha mteja kutuma fedha moja kwa moja kwenda sehemu yoyote nchini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.