kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 11,189
- 24,611
Mtu anatoka Makongo anaenda Mbezi Beach, Kawe au Lugalo, kwa nini azungukie Mlimani?
Hii ndiyo inayochangia foleni. Nashauri barabara ipasuliwe itokee pale Makongo Sekondari au Super, ili wanaotoka Makongo wawe wanapita moja kwa moja huko badala ya kupita Mlimani. Hii itapunguza kwa kiasi kikubwa kero ya foleni eneo hilo.
Pia pale Mlimani, wanaotokea Survey na Chuo Kikuu wawe na service road ya pembeni ili wawe wanakunja moja kwa moja bila kuingia tena kwenye main road yenye foleni. Hili pia litasaidia kupunguza msongamano wa magari.