kupitia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Usimdharau mtu, jifunze kupitia Historia ya maisha ya Kevin de Bruyne

    Hadithi ya Kevin de Bruyne na mwanamke aliyemwacha Picha ni marafiki wawili waliokua pamoja ndani timu ya kukuza vipaji nyumbani kwao Belgium mmoja wa kishua Thibaut mwingine wa maisha ya chini kabisa Kevin De Bruyne baadae wakanunuliwa na Chelsea ya vijana baadae mwanamke akawafanya kutengena...
  2. JamiiForums Tanzania Tanga kuna usafiri wa moja kwa moja kwenda Kondoa kupitia Kiteto

    Msaada tafadhali. Tanga kuna usafiri wa moja kwa moja kwenda Kondoa kupitia Kiteto? Na nauli yake imekaaje?
  3. JamiiForums Tanzania Kumbe serikali kupitia jeshi la polisi waliwazuia CHADEMA kama chama kuingia Katesh - Hanang kufariji wahanga wa maafa na kutoa misaada?

    Anaandika Malisa G.J toka FB page yake Baada ya msafara wa Mbowe kuzuiwa na jeshi la polisi kwenda wilayani Hanan'g kwenye eneo lililokumbwa na maafa, Mbowe alilaumu kitendo hicho kuwa si cha kiiungwana na kinawagawa watanzania kwani wahanga wa Hanan'g wanahitaji faraja ya watu wote. Mbowe...
  4. JamiiForums Tanzania Ni kweli Vatican wanakataa kumpa Uaskofu Padri Kitima baada ya kupata tetesi anataka kugombea ubunge kupitia CHADEMA?

    Kuna mtu kaniuzia habari kwamba Kanisa Katoliki Makao Makuu limegoma kumpa U-Askofu Padri Kitima baada ya "kunusa" taarifa kwamba Padri Kitima ni mshauri mkuu wa Mwenyekiti Mbowe na pia anajipanga kugombea ubunge kupitia Chadema. Kanisa katoliki lolinasifika kwa kuwa na intelijensia Kali sana...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Nina Imani kupitia thread yangu hapa JF, Waziri Ummy amesaidia kipande hiki cha barabara kusambaza (grading) malundo ya udongo

    The other day niliandika kuwa Mh Ummy Mwalimu atusaidie kipande cha kutoka Chalinze (Mwakidila) to at least Machui junction wakikwangue (grading) kwa sababu kilikuwa hakipitiki kabisa na ilikuwa shida kubwa sana. Jana naona wamekipiga grada (grading) na sasa kinapitika vizuri. Kama ni hivyo...
  6. JamiiForums Tanzania Sasa utaweza kueleweshwa na Kutafsiriwa video yoyote yenye lugha yoyote kupitia AI(Akili bandia)

    IQ>>AI Na KENGE Technology ya AI inazidi kukua siku hadi Siku,kupelekea makampuni makubwa kama Google na Microsoft kushindana ubunifu wa AI Technology.Kwasasa tumeona picha nyingi zikisambaa kila mtu anaweza kutengeneza picha yake kama tulivyoona hapa Jinsi ya kutengeneza Picha kwa AI...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia yuko bize kujitengenezea "Augustino Mrema" wake kupitia Makonda

    Naona kabisa SSH anaenda kujipatia Augustino Mrema wake kwa kupitia Makonda. Utaratibu wa Mrema hauna tofauti na wa Makonda, anajijenga yeye binafsi, baadae Sasa ataamini yeye ndio yeye. Sasa itafikia muda anakuwa liability kwa CCM na Rais Samia sidhani kama ataweza kumdhibiti tena. CCM bado...
  8. JamiiForums Tanzania Umejifunza nini kupitia huu wimbo?

    Uusukilize mwenyewe lakini mawazo yako utushirikishe wote!
  9. J

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Uganda zaingia makubaliano ya kusafirisha shehena kupitia Bandari ya Dar es Salaam

    Tanzania na Uganda zimeingia makubaliano ya kuongeza usafarishaji wa Shehena ya Mizigo kutoka Bandari ya Dar es Salaam kwenda Uganda kupitia ushoroba wa Mwanza. Makubaliano hayo yamesainiwa kati ya Waziri wa Uchukuzi wa Tanzania Prof. Makame Mbarawa na Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi wa Uganza...
  10. JamiiForums Tanzania Unaiona wapi Tanzania ya kesho kupitia malezi ya watoto wa leo?

    Mwandishi maarufu wa vitabu, Robert T. Kiyosaki, kaandika kuwa mahali sahihi pa somo la mafanikio kufundishwa ni nyumbani. Kwa msingi huo, makuzi ya mtoto yatakuja kumwathiri si yeye peke yake tu, bali pia familia yake, Jamii yake na Taifa lake kwa ujumla. Je! Malezi yetu ya Kitanzania...
  11. JamiiForums Tanzania LATRA yatangaza ongezeko la nauli za Safari za Masafa Marefu na Mafupi kuanzia Desemba 8, 2023

    Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (LATRA) imetangaza mabadiliko ya nauli katika safari za masafa marefu na masafa mafupi baada ya kupitia maoni ya wadau wa usafiri nchini. Kwa mujibu wa LATRA nauli za safari zisizozidi kilometa 10 ambayo nauli yake ilikuwa shilingi 500 sasa itakuwa 600...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Siku ya kwanza ulivoanza kukatwa marejesho kwenye mshahara wako ulijiskiaje?

    Wale waliokopa kupitia mshahara siku ya kwanza ulivoanza kukatwa marejesho kwenye mshahara wako ulijiskiaje...funguka
  13. JamiiForums Tanzania Usiamini unamjua mtu kupitia mtandaoni kama haujawahi kukutana naye uso kwa uso

    Kama mtu haujawahi kukutana nae uso kwa uso usijiaminishe kwamba unamjua. Wewe unamjua kwa namna ambayo ametaka wewe umjue na asilimia nyingi huyo unayemjua ni mtu ambaye ni wa kisadikika hayupo (Fictional character). Unamjua kupitia mtandaoni na picha unazo amekutumia lakini ukitaka kuonana...
  14. JamiiForums Tanzania TAWA yajipanga kuiingizia serikali mapato makubwa kupitia Makuyuni Wildlife Park

    Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya TAWA Dr Simon Mduma amesema mpango mkatati wa kibiashara wa kuendeleza shughuli za utalii eneo la Makuyuni Wildlife Park uliondaliwa na Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania - TAWA unatarajiwa kuiingizia Serikali mapato makubwa ikiwa ni pamoja...
  15. JamiiForums Tanzania Nahitaji kwenda Mombasa kupitia mpaka wa Sirari

    Naombeni mwongozo wakuu! Safari ni wiki ijayo. Kwa Sasa nipo Mwanza. Nitavukia mpaka wa Sirari. Naomba kufahamishwa kuhusu yafuatayo: 1. Ni muda gani mzuri kusafiri kutoka Sirari kwenda Mombasa kati ya Asubuhi, Mchana, Jioni na Usiku? 2. Kuna usafiri wa moja kwa moja kutokea Sirari hadi...
  16. JamiiForums Tanzania Kusanya Kiasi Maalum cha Pesa Kwa Kipindi Maalum kupitia "Capital Campaign"

    Mpango Jumuishi wa Harambee (Integrated Fundraising Plan) ni nyenzo muhimu katika kuiwezesha Taasisi kufikia malengo yake. Mpango huu huiwezesha Taasisi kutekeleza Programu zake na kuiwezesha kujitegemea kiuchumi. Mpango huu unapaswa kujumuisha mipango midogo midogo ifuatayo; Annual Giving Plan...
  17. JamiiForums Tanzania Mtu anavyoweza kuchafuliwa kupitia jina lake mtandaoni

    Upotoshaji kwa kutumia jina ni kitendo cha kutumia jina la mtu, kundi, taasisi au kampuni ambayo si wewe na kulifanya kama lako. Upotoshaji wa jina mara nyingi huwalenga watu, kampuni au taasisi maarufu ili lengo la mpotoshaji litimie kwa urahisi. Upotoshaji wa jina umekithiri sana katika...
  18. JamiiForums Tanzania Kupitia ilani ya uchaguzi ya 2020-2025, CCM iliahidi, inathubutu kutekeleza na inasonga mbele

    Ukiangalia na kufuatila kwa makini. Kwa kiasi kikubwa sana, mpaka sasa, Ilani ya uchaguzi ya CCM 2020-2025 imetekelezwa kikamilifu kwa weledi na umahiri mkubwa sana. Hili liko wazi na halina ubishi. Kwa muda mfupi uliobaki kuelekea uchaguzi mkuu2025, CCM inatarajia kuvuka lengo na kuvunja...
  19. JamiiForums Tanzania Ni juhudi gani zifanyike, ili kumzuia Makonda asiendelee kumdhalilisha Mwenyekiti Mbowe kupitia mikutano ya kisiasa?

    Habari zenu wanaJF wenzangu, Hakika kuna mambo ambayo yanaendelea katika faifa letu. Mambo ambayo yanadhalilisha, yanaumiza na kumvunjia heshima mtu ambae alikuwa anaonekana ana hadhi ya juu kichama, na kisiasa. Kwa vile huyu anaedhalilishwa na kuvunjiwa heshima hana uwezo, wala ujanja wa...
  20. A

    JamiiForums Tanzania Mpango wa kujenga canal kupitia Israel kuunganisha Nagari ya Hindi na Mediterranean

    https://indianexpress.com/article/explained/explained-global/ben-gurion-canal-suez-israel-9021520/
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…