kupeleka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Chuo cha Bagamoyo kimekufa? Wasanii hawakustahili kwenda Korea bali tulihitaji uwezeshaji hapa nchini

    Picha: Mtandaoni Kwa heshima kubwa nampongeza rais na baraza la sanaa kwa kuona kuna kitu tunaweza kujifunza kutoka kwa jamii ya watu wa Korea Kusini Ila niseme kuwa wizara ya sanaa imeshindwa kutafsiri maono ya rais juu ya sanaa yetu. Ila wasani hawaendi kujifunza utamaduni wa Korea ili waje...
  2. JamiiForums Tanzania North Korea kupeleka Wanajeshi 100,000 kuwafyeka wanamgambo wa NATO

    North Korea inapeleka wanajeshi 100000 Nchini Russia kusaidia kuwaminya kende wanamgambo wa NATO ⚠️ 𝐁𝐫𝐞𝐚𝐤𝐢𝐧𝐠 𝐍𝐞𝐰𝐬 ⚠️ 🇰🇵 | 𝗡𝗼𝗿𝗲𝗮 𝗞𝗼𝗿𝗲𝗮 𝘁𝗼 𝘀𝗲𝗻𝗱 𝘁𝗿𝗼𝗼𝗽𝘀 𝘁𝗼 𝗳𝗶𝗴𝗵𝘁 𝗨𝗸𝗿𝗮𝗶𝗻𝗲… 𝗡𝗼𝗿𝘁𝗵 𝗞𝗼𝗿𝗲𝗮 has reportedly offered to send 𝗥𝘂𝘀𝘀𝗶𝗮 up to 𝟭𝟬𝟬,𝟬𝟬𝟬 troops to 𝗳𝗶𝗴𝗵𝘁 𝗨𝗸𝗿𝗮𝗶𝗻𝗲. Early reports indicate 𝗡𝗼𝗿𝘁𝗵 𝗞𝗼𝗿𝗲𝗮...
  3. JamiiForums Tanzania Palestine Islamic Jihad kupeleka wapiganaji Lebanon kuongeza nguvu iwapo Israel itatangaza vita vya wazi na Hizbullah

    Kuishi kwa uhasama na jirani zako au kwa kuonesha kwamba wewe ni mbabe daima kuna madhara makubwa. Na hapa ndicho ninachopenda kukitolea taarifa kufuatia tangazo la kundi la Palestine Islamic Jihad (PIJ) kusema limeazimia kupeleka wapiganaji nchini Lebanon kupitia tawi lake la Syria ili...
  4. JamiiForums Tanzania Wakati afrika inawaza kupeleka mbele Afcon 2025 naiona Euro inayoongozwa na watu wenye msimamo iking'ra sana

    Motsepe na genge lake bado hawana uhakika wa kuwa na Afcon msimu wa 2025 kwa sababu inaingiliana na ratiba mpya ya vilabu duniani. Wakati huo huo msimu huu inaonekana kabisa Euro inaenda kuwa na ushindani mkubwa na mvuto usiomithirika kiasi kwamba watu hata hawaongelei Copa America. Namshauri...
  5. JamiiForums Tanzania Gari (Noah) ya kupeleka hesabu kwa wiki inahitajika

    Waungwana habari za majukumu. Naitwa Saidi natokea maeneo ya pugu wilaya ya ilala mtaa wa bombani mkoa wa Da es Salaam. Naleta kwenu maombi kwa yeyote mwenye gari aina ya Noah naitaji kwa ajili ya kufanyia kazi huku wilaya ya Kisarawe. Hesabu nalipa laki mbili kwa wiki matengenezo madogo...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Kupeleka kombe Mlima Kilimanjaro ni kutekeleza masharti ya waganga

    Itakumbukwa simba ndio walipeleka kibegi mlima kilimanjaro, walifika hadi kileleni, sisi tunaojua mambo haya tuliamini kabisa kuwa mwaka huu ulikuwa wetu, yalikuwa masharti ya mtalaamu wetu kuwa kama tunataka kukaa kileleni tukapeleke kitu kule mlimani, bahati mbaya Injinia akatonywa na wasaliti...
  7. JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa NIDA abadilishwe ili kuongeza mapato na ufanisi ili ijitegemee na kupeleka mapato serikalini kama TRA

    Ni wakati sasa mkurugenzi wa NIDA abadilishwe. Ni wakati wa NIDA ijitegemee yenyewe isipewe fedha na serikali tena Kama NIDA ingepata kiongozi mbunifu ingeingiza mapato mengi sana kama wafanyavyo TRA. Serikali yetu ifanye yafuatayo: Mkurugenzi abadilishwe. Mkurugenzi mpya imarisha kitengo...
  8. JamiiForums Tanzania Nimepata dili la kupeleka korosho India kilo 500, wajuzi nipeni ujanja

    Wakuu kama mada inavyojieleza, kuna nimepata dili la kupekeka kirosho kilo 500, ni wapi naweza kupata kwa bei ya jumla? Tax itakuwa bei gani? Nahitaji kusafirisha kwa njia ya meli. Nipo Dar es salaam, msaada wenu tafadhali.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Serikali ipeleke bendara ya taifa kwenye ofisi za umma na ofisi za taasisi mbalimbali, na zipandishwe na kushushwa kama ilivokuwa zamani

    Hili ni agizo la mwananchi wa kawaida Kwa serikali. Ni aibu ofisi za mitaa, vijiji, miji mbalimbali nchini kukosa bendera ya taifa huku mkiimba uzalendo mdomoni. Mmeshindwa hadi na mahotel na shule za chekechea wao wanakua na bendera ya taifa ilihali ninyi ofisi zenu hazina bendera. Vituo vya...
  10. G

    JamiiForums Tanzania Kutoka kwenye familia tuliyosomeshwa kwa gharama kubwa kumeniathiri kiuchumi, Kupeleka watoto kayumba ni aibu, Napambana kukwepa aibu

    Chekechea na Primary nimesoma english medium private. Sekondari Form 1 hadi 6 nimesoma Boarding private, Msosi Pilau kila J5 na J2, Ugali ni nadra sana. Chuo kikuu sikupata mkopo ila si haba sikuwahi kupata changamoto za kiuchumi. Rasmi na mimi nikawa baba, nikaanza kuwaza watoto waje kusoma...
  11. JamiiForums Tanzania MWAUWASA acheni kutumia mo Mirongo kupeleka maji machafu Ziwani.

    Licha ya umuhimu wa mto huo uliopo ndani ya Jiji la Mwanza, lakini ni kituko cha kila siku kuona uko hatari kwa uchafu wa mazingira na kusababisha madhara ya kiafya na kimazingira kwa watu wanaoutumia kwa shughuli mbalimbali. Hali hiyo imesababishwa na kuongezeka kwa shughuli za binadamu ikiwemo...
  12. JamiiForums Tanzania Uongozi wa simba msisubirie fursa iwafuate itafuteni- Yanga walikua na mpango wa kupeleka mashabiki south baada tu ya draw ya robo

    Nimeona mashabiki wa simba wanalalamika sana kwamba Yanga inapendelewa kitu ambacho mashabiki wengi wa simba hawakitambui fursa inatafutwa haikufuati Yanga kabla ya mechi ya mzunguko wa kwanza vs mamelodi tayari walishakuwa na mkakati wa baadhi ya mashabiki wachache kwenda south afrika na...
  13. JamiiForums Tanzania Serikali yaonesha ushabiki wa wazi kwa Yanga kupeleka mashabiki South Africa

    Nyuma ya mafanikio ya Yanga pia kuna mkono wa serikali, hii timu inapendelewa na serikaki. Mashabiki 40 wa Yanga wamepewa tickets za kwenda South Africa, ila kwa Simba ni tofauti as if haishiriki haya mashindano. Pia soma: Rais Samia kununua kila goli Tsh. Milioni 5 mechi za Simba, Yanga CAF
  14. S

    JamiiForums Tanzania Madhaifu ya wanyakyusa nilichogundua baada ya kupeleka posa/barua kwa binti wa kinyakyusa

    Mama ndo mwenye sauti yaani mama anakuwa na kaubabe fulan hivi. Pesa ya Posa lazima iwe nyingi ili wagawane ndugu wa wazaz wa bint na baadhi ya majiran Binti kuolewa mtaa mzima wataambiwa as if kuolewa ni jambo geni kwao. Ukimpa mimba bint wa mbeya usipokua makin anakuletea mtoto na kumuacha...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Si sahihi kupeleka watu walioshindwa katika mikoa ya kimkakati kama Arusha na Songwe

    Mikoa ya Arusha na Songwe ni malango ya biashara nchini. Inahitaji watu wenye capacity yakuweka watu pamoja kuliko watu waliofeli. Unapokuwa na kiongozi aliyefeli kisiasa ni vigumu kiongozi huyo kufanya vizuri kwenye jukwaa la utumishi wa umma. Chongolo na Makonda wapo kwenye frustration...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Wajumbe wa mkutano wa UNEA-6 waipongeza China kwa kupeleka nishati safi katika nchi zinazoendelea na kulinda mazingira ya dunia

    Baada ya maandalizi ya miezi kadhaa na mikutano rasmi iliyofanyika kwa siku tano, kikao cha sita cha Baraza la Mazingira la Umoja wa Mataifa (UNEA-6) kilichofanyika mjini Nairobi, Kenya, hatimaye kimefikia tamati. Kikao hicho kilichoanza tarehe 26 Februari hadi Machi 1, kilipitisha maazimio 15...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Msaada kupeleka rufaa kwa Rais

    Habari, Naomba msaada/Muongozo jinsi ya kufikisha rufaa kwa Rais. Nilipeleka rufaa tume ya utumishi wakaikataa, zaidi nimeongezewa kosa ambalo silitambui. Na Mwajiri hakufuata kanuni za Utumishi, niliweka hayo malalamiko kwenye rufaa ya mwanzo ila hawajajibu wameconclude kuwa adhabu...
  18. JamiiForums Tanzania Hongera sana Rais Samia kwa kupeleka timu mbili CAF

    Kwa kweli ni juhudi kubwa sana ya Rais Samia na anastahili pongezi kubwa kwa kuziwezesha Simba na Yanga zote kuingia Fainali katika mashindano haya makubwa ya Vilabu. Tena wameingia kwa kishindo kwa kuzichabanga teams pinzani magoli ya kutosha. Hizi zote ni juhudi za Serikali ya CCM katika...
  19. JamiiForums Tanzania Mbowe: Tunaandamana kupeleka ujumbe kwa watawala

    Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema kuwa lengo la maandamano si machafuko bali ni kupeleka ujumbe kwa watawala. Akizungumza Katika mkutano wa hadhara uliofanyika baada ya maandamano jijini Arusha, Mbowe aligusia kuwa mpaka sasa hakuna madhara yoyote yaliyojitokeza tangu walipoanza...
  20. JamiiForums Tanzania Afrika Kusini kupeleka wanajeshi 2,900 DRC kupambana na Waasi

    Afrika Kusini itatuma wanajeshi 2,900, kama sehemu ya mchango wake kwa kikosi cha Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), kinachotarajiwa kukabiliana na makundi yenye silaha mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, ofisi ya rais Cyril Ramaphosa, ilisema katika taarifa yake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…