Habari za muda huu ndugu zangu,
Ngoja niende kwenye point natafuta mtu mwenye connection ya kupata vyuo Uganda au hata mashirika ya kusaidia kupata chuo huko. Mfano niliongeaga na education link ila wao waliniambia wanasaidia kutafuta chuo nje ya E. AFRICA ila ndani ya E. Africa wao hawawezi...