kupata

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania Pendekezo la “Ukanda Mmoja, Njia Moja” lasaidia Afrika kuboresha miundombinu ili kupata maendeleo

    Huu ni mwaka wa nane tangu China itoe pendekezo la “Ukanda Mmoja, Njia Moja”. Katika kipindi hicho, ujenzi wa miradi ya ushirikiano kati ya China na nchi za Afrika kutokana na pendekezo hilo umepamba moto, na kusaidia nchi za Afrika kuboresha miundombinu ili kupata maendeleo ya uchumi. Hali...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Jinsi gani naweza kupata mkopo wa biashara?

    Naomba mwenye ufafanuzi wa namna ya kupata mkopo kuanzia kiwango cha 10m na kuendelea wa biashara na riba yake per one year anisaidie au anipe ufafanuzi ili niweze angalia kama naweza kufanikiwa kuongeza mtaji
  3. P

    JamiiForums Tanzania Kuna aliyewahi kupata mapenzi humu?

    Husika na kichwa cha habari hapo juu. Kuna waliowahi kukutana humu na kuwa wapenzi ukweli ukweli?
  4. JamiiForums Tanzania Msaada: Namna ya kupata hati ya kusafiria (passport)

    Habari ya muda huu wa kuu, nina ugeni kidogo na hatua za kufuata kupata hati ya kusafiria. Naomba anayejua anisaidie mimi na wenzangu tusiojua ABC za namna ya kupata passport. NB; daraja lolote. Natanguliza shukrani.
  5. JamiiForums Tanzania Naomba msaada niweze kupata kazi🙏🙏

    Jaman watu wa Mungu naombeni msaada wenu tafadhal mtaa unazidi kuwa wa moto naombeni mnisaidie nipo tayari kufanya kazi yoyote,mahari popote na kwa ujira wwt ili mradi mkono upate kwenda kinywani Naombeni msaada wenu tafadhal ndugu zang naamin kupitia jukwaa hili naweza kupata msaada NATANGULIZA...
  6. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Waliochoma Sinovac watakiwa kupata J&J ili kwenda Hijja

    Waziri wa Afya wa Zanzibar, Nassor Ahmed Mazrui amesema wanaotaka kwenda Hijja ambao wamechoma chanjo ya Sinovac wanatakiwa kuchoma tena chanjo ya Johnson & Johnson kwa sababu Saudia haiitambui chanjo ya Sinovac Sinovac ilianza kutolewa Zanzibar July 23, 2021 kwa kuwa ilikuwa imepitishwa na...
  7. JamiiForums Tanzania Msaada: Kupata Mawasiliano ya Morogoro College of Health Science

    Za majukumu wakuu? Ninaomba msaada wa mawasiliano ya chuo cha Morogoro College of Health Science cha Morogoro niweze kupata joining instructions forms zao. Ninatanguliza shukrani sana.
  8. JamiiForums Tanzania Hatua za kuchukua kumsaidia mtu aliyeanza kupoteza uwezo wa kusikia na kupata ukiziwi

    Mtu anapogundua kuwa amepata tatizo la kusikia anashauriwa mara moja kwenda kituo cha afya kilichoko karibu na kuomba kuonana na mtaalam wa masikio Ili ampime uwezo wake wa kusikia. Matumizi ya Mashine ya masikio: Mtu anapogundulika ameanza kupata ukiziwi, atapewa msaada wa kitaalam kuendana...
  9. JamiiForums Tanzania Nifanyeje kupata line ya lipa kwa mpesa?

    samahani wadau kuna mwenye ujuzi jinsi ya kupata line ya lipa kwa mpesa utaratibu gharama na faida zake
  10. JamiiForums Tanzania Marekani: Mashabiki wa Tennis watakiwa kuonesha ushahidi wa kupata chanjo dhidi ya COVID-19

    Mashabiki wa Tennis wenye umri kuanzia miaka 12 na kuendelea Nchini Marekani watatakiwa kuonesha ushahidi kuwa wamepata Chanjo dhidi ya COVID19 ili kuhudhuria U.S. Open Wametakiwa kuonesha ushahidi wa kupata angalau dozi moja ya chanjo. Michuano hiyo ilifanyika bila Mashabiki mwaka 2020 ======...
  11. JamiiForums Tanzania Unawezaje kupata Scholarship ya kusoma PhD US au CANADA

    Wakuu naomba kuuliza hili swahili. Unawezaje kupata Scholarship ya kusoma PhD US au CANADA. Kama kuna mtu alishawai pata tutoe tongotongo tuweze kuelewa na ulipata aina gani ya scholarship.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Napataje AVN na ikiwa nilishawahi unda account lakini taarifa zake nilipoteza?

    Jamani msaada napataje AVN ikiwa nimesahau username na password nilizizitumiaga pindi najisajiri.
  13. JamiiForums Tanzania Gazeti la Uhuru larudi mtaani, watu kujipatia nakala

    Gazeti linaloongozwa na kupendwa nchini Tanzania na Afrika Mashariki hatimaye limerejea mtaani baada ya kukaa nje kidogo ya ulingo kutokana na kutoa taarifa iliyokuwa haina usahihi. Taarifa za awali zinadai katika baadhi ya vituo vya wauza magazeti katikati ya jiji, nakala ziliisha kuanzia saa...
  14. JamiiForums Tanzania Kusaidia Ndugu/familia ni wajibu au lazima?

    Nimeona sehem nyingi, familia nyingi na hata mmoja wa polisi aliyefariki kwa tukio la Juzi inaonesha kua alikua tegemeo la familia nzima mpaka mtoto wa kaka yake. Hoja yangu ni moja. Hii ni tamaduni au ni vipi!? Unamaliza shule, unapata kazi baada ya hapo unatakiwa kusaidia familia nzima na...
  15. C

    JamiiForums Tanzania SoC01 Njia zinazoweza kutumiwa na Serikali kupata mapato badala ya kuwakamua Watanzania kwenye tozo

    Serikali zote Duniani ni lazima ziwe na vyanzo vya mapato vya uhakika vya kuendeshea Serikali mapato hayo ni muhimu kwa sababu ndiyo yanayojenga barabara,yanayonunua silaha,yanayonunua madawa na kulipa mishahara na posho watumishi wa umma na wanasisa.Hivi karibuni kumeibuka mjadala kuhusu...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Nani anapaswa kupata chanjo ya COVID-19?

    Chanjo za COVID-19 ziko salama kwa watu wengi wenye umri wa miaka 18 na zaidi, na hata wale wenye changamoto za kiafya kama vile shinikizo la damu, ugonjwa wa kisukari, pumu, magonjwa ya mapafu, ini figo pamoja na mengineyo. Inashauriwa kuwa endapo kuna ufinyu wa chanjo katika eneo lako, ni...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Chukua tahadhari zote za Covid-19 hata baada ya kupata chanjo

    Wataalamu wa afya wanaeleza kuwa unapopata Chanjo za COVID-19 hazidhibiti mwili kutopata #COVID19 kwa mara nyingine. Chanjo zinaepusha mwili kupata homa kali na vifo vitokanavyo na COVID-19. Baada ya kuchanjwa unapaswa kundelea kuchukua tahadhari zote kama kuvaa barakoa, kunawa mikono mara kwa...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Je, mtu mwenye kisukari hatakiwi kupata chanjo? Wataalamu tumjibu Askofu Gwajima

    Kwa masikio yangu bila kusimuliwa na mtu nimemsikia askofu Gwajima amesema, watu wenye magonjwa ya kisukali, Presha Ukimwi hawapaswi kupata chanjo ya covid maana itawaathiri sana na inaweza kuwaua, mimi sikulijua hili isipokua nilijua kwamba mtu aliyekwishaambukizwa Corona ndiye hapaswi...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Wanaume tuko desperate sana kupata ngono, ifike mahali wanaume tuwe na akili

    Nimefanya uchunguzi binafsi, ukitaka kujua ukweli ingia kwenye dm za wadada kwenye mitandao ya kijamii kama facebook, insta, humu jf, uone wanaume tunavojichoresha na kujidhalilisha na kujipendekeza Kwa kuwatumia wadada sms 20 za kimapenzi kwa mpigo, yoote hiyo ili upate attention ya mdada...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Kupata Visa ya kuja Tanzania ni kazi kweli kweli, Uhamiaji na Mambo ya Nje mnamkwamisha Rais

    Nimepata taarifa kwa rafiki yangu mmoja kwamba yeye na wenzake walipanga Tanzania lakini wanatakiwa kulipia Visa, baada ya kufungua mtandao wa Uhamiaji wanashindwa kupata huduma kila wakifanya kuomba wanapata error na muda wao wa likizo unakatika. Mimi mwenyewe nimejaribu kufuatalia nimekwama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…