kupata

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata Pasi ya kusafiria

    Wakuu naombeni mwongozo wenu tafadhali, nilikua nafatilia pasi ya kusafiria (International Passport) kidogo nimekumbsna na vikwazo. Mimi niko mkoani huku (Chuganian) Nimejaribu kuulizia uhamiaji wa hapa nimeelezwa niwe na: Cheti cha kuzaliwa (Ninacho) Namba za Nida (ninazo) Cheti cha kuzaliwa...
  2. JamiiForums Tanzania Jinsi unavyoweza kuagiza mabelo ya mtumba kutoka China na Dubai kwa bei chee na kupata faida mara 2 au 3 zaidi

    Hello wana bodi, natumai wote mko poa karibuni kwenye hii thread ambayo kwa namna 1 au nyingine inaweza kukupa idea ya kufanya biashara ya kuuza mtumba: A. SIFA ZA MTUMBA WA CHINA Belo za mtumba wa China uko vzuri na unatofautiana Kati ya supplier na supplier na wao wana chukua nguo Asia...
  3. JamiiForums Tanzania Waziri January Makamba tusaidie kupata fidia zetu TANESCO

    Sisi wananchi wa Makuyuni mkoani Arusha tunaomba tukuletee kilio chetu cha kudhulumiwa fidia zetu na watumishi wa TANESCO mkoa na makao makuu. Majina yao yameorodheshwa chini Mwaka 2017 tathmini kwa ajili ya upitisha umeme wa msongo wa kilovolt 400 ilifanyika eneo la Makuyuni Wilaya ya Monduli...
  4. JamiiForums Tanzania Kubadilisha Mfumo wa Elimu ili Kupata Shule Zinazojitegemea na Kujiendesha kwa Faida

    Part One Title: KUBADILISHA MFUMO WA ELIMU ILI KUPATA SHULE ZINAZOJITEGEMEA NA KUJIENDESHA KWA FAIDA BILA KUTEGEMEA KARO, VILEVILE KUZALISHA WAHITIMU WENYE UJUZI WA MAZINGIRA YAO NA UHAKIKA WA KIPATO Utangulizi Kuna jambo halipo sawa kwenye mukstabali wa Elimu yetu nchini pamoja na dunia kwa...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Wamefunga ndoa wodini jijini Dodoma baada ya Bwana harusi kupata ajali ya Bodaboda siku mbili kabla ya ndoa

    Augustine Makule na Mpenzi wake Rose Kimaro wamefunga ndoa wodini jijini Dodoma baada ya Bwana harusi kupata ajali ya Bodaboda siku mbili kabla ya siku ya harusi yao. Ajali hiyo ya pikipiki iliyotokea eneo la zuzu Dodoma na kupelekea kijana Agustino kukatwa mguu wake wa kulia na vidole vitatu...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Njia kuu mbili zinazokuwezesha kupata mapacha

    Njia kuu mbili zinazokuwezesha kupata mapacha, kwanza ni jinsi ya kupata mapacha bila dawa au tiba yoyote na pili ni jinsi ya kupata mapacha kwa kutumia dawa au tiba maalum. Tukianza kuangalia njia ya kwanza, katika njia hii zipo sababu mbalimbali, kwanza ni umri; umri mkubwa wa zaidi ya miaka...
  7. JamiiForums Tanzania I wish Sana kupata mdada mcheshi/customer care/kutangaza huduma ili ku capture new customers

    Habarini wanajukwaa. Poleni na majukumu ya kila siku ya kulijenga Nchi yetu Tanzania. Moja kwa moja kwenye maada. Mie Kuna vinywaji napewa na kiwanda kusambaza eneo moja hapa mza mjini. Nafungua store like maji,juice,soda and like. Kazi nayofanya ni kuwazia watu wa madukani,vibandani na wote...
  8. JamiiForums Tanzania Nimesaidia Serikali kupata 20M baada ya kuwachoma wakwepa kodi

    Habari wadau..! Kumbe kuwa usalama wa Taifa sio mpaka uajiriwe na wale watu. Mwaka huu nimejikuta tu nafanya kazi za wale jamaa pasipo kujua na kuisaidia serikali kupata 20M ambayo ilikuwa inapotea kama kodi baada ya kuwachoma wakuda fulani kwa serikali na kutiwa hatiani. Ila hawa waduanzi...
  9. JamiiForums Tanzania Hela Rahisi kupata pasipo jasho ni hizi hapa

    Kama mtu angenunua hisa za Amazon mwaka 2001 Octoba hisa moja iliuzwa $5.5 kufika mwaka 2021 July. Hisa moja ilikuwa ina thamani ya $3700. Laiti ungenunua hisa 1000. Kama uliwekeza $5500 mwaka huo Leo hii mwaka huu ungekuwa na $3.7M, Ina Mana 12.65M TZS leo hii ungekuwa na bilioni 8.51 TZS...
  10. JamiiForums Tanzania Ni sahihi kwa Rais Biden kutojibu maswali ama kukataa kutoa hotuba kwasababu ya afya mbovu?

    Imekuwa ni kawaida sana tangu Biden aingie madarakani huwa hajibu maswali ya kwenye presss na hakuna accountability anayohukua. Pia kufanya speech imekuwa mtihani kwake, hasa pale mazingira yanapokuwa sio rafiki kwa kutumia teleprompter, mfano hapo 9/11 alienda zima moto, pentagon na...
  11. JamiiForums Tanzania HESLB: Wanafunzi 782 kupata mikopo asilimia 100

    Bodi ya Mikopo kwa elimu ya juu (HESLB) wamesema Wanafunzi 782 kupata mikopo asilimia 100 mwaka huu. Chanzo cha habari: Mwananchi. My take: Hivi hii number ni sahihi kuwa bodi ndio imetoa? Au mwananchi wamejichanganya kwenye kuandika number maana idadi hiyo ni sawa na idadi ya kozi moja kwenye...
  12. JamiiForums Tanzania Mliowahi kupata ajali mliwezaje kurudi kwenye maisha yenu ya kawaida bila kuweweseka usiku?

    Miaka miwili iliyopita nilisababisha ajali ya barabarani maeneo ya Gairo iliyogharimu uhai wa mmasai mmoja na ng'ombe zake watatu.ila mpaka leo naweweseka sana usiku silali ndoto na reflection za ile ajali bado zinanitesa, mliowahi kukutana na changamoto kama hii mliwezaje kurudi sawa.
  13. F

    JamiiForums Tanzania Kwa zile pasi nilizoziona Dar, kule kijijini kwao River Plate tunaenda kupata msiba mzito

    Mimi mwanayanga ile zile pass zimenitisha. Wale jamaa kila mtu anajua kupiga pasi na ikafika. Jana refa alikuwa wetu. Na kama mnavyojua mpira wa africa kila mtu anabebwa na refa akiwa kwake, sasa nawaza zile pasi kule kijijini kwao port hotcourt river state itakuwaje. Manara kwa kwelii...
  14. C

    JamiiForums Tanzania SoC01 Umuhimu wa Wanafunzi wa Vyuo vya Kati kupata mkopo

    Habarini wana jamii. Katika kada ya Elimu hususani vyuoni Kuna umuhimu mkubwa wa wanafunzi wa vyuo vya Kati kuwekwa katika bajeti ya kupata mkopo. Jumla ya wanafunzi katika vyuo vya kati au vyuo vya ufundi hujitegemea kwa kiwango kikubwa katika kujihudumia kuanzia malazi, makazi hata malipo ya...
  15. JamiiForums Tanzania Tangu tupate Uhuru, Tanzania haijawahi kupata Rais mnyenyekevu, Mpole, Msikivu, Mtulivu na mwenye hofu ya Mungu

    ==== Tangu tupate Uhuru, Tanzania haijawahi kupata :- 1. Rais Mnyenyekevu kama huyu, 2. Rais Mpole kama huyu, 3. Rais Msikivu kama huyu, 3. Rais Mtulivu kama huyu 4. Rais Mwenye hofu ya Mungu kama huyu 5. Rais Mkarimu kama huyu 6. Rais Mzalendo kama huyu 7. Rais Jasiri...
  16. JamiiForums Tanzania Tatizo la uchovu kupitiliza, mwili kupata ganzi nikikaa kwa muda mrefu

    Assalam wana jamvi, nina tatizo ambalo naombeni mnisaidie, hii kwa sasa si kawaida, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30 sasa, ni mwajiriwa katika taasisi binafsi kwa muda wa miaka minne sasa, sijaoa japo nina mpenz ambae yupo mkoa mwingine. tatizo langu ni uchovu uliopitiliza, yaani...
  17. JamiiForums Tanzania Walimu kuajiriwa na TSC badala ya Wizara kunaenda kutengeneza rushwa, undugu na kujuana kwenye ajira. Rais litazame hili linaenda kukuharibia

    Waziri wa nchi, ofisi ya Rais-Tamisemi ameiagiza tume ya utumishi wa walimu 'TSC' kuandaa utaratibu wa kuanza kuajiri walimu kupitia halmashauri kwa niaba ya wizara ya ofisi ya Rais-Tamisemi. Japo utaratibu wa kuomba hizo ajira bado haujafahamika lakini nadhani maombi yatakuwa yanatumwa moja...
  18. JamiiForums Tanzania Zimbabwe: Wafanyakazi wote wa Serikali watakiwa kupata chanjo, la sivyo wajiuzulu

    Wafanyakazi wa Serikali nchini Zimbabwe wametakiwa kupata chanjo ya COVID-19, vinginevyo wametakiwa kujiuzulu. Waziri wa Katiba wa Nchi hiyo, Ziyambi Ziyambi amekiambia kituo cha Redio cha Kibinafsi nchini humo, ZiFM Stereo, kuwa Wafanyakazi wa Umma wana wajibu wa kuwalinda wengine dhidi ya...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Chanjo ya COVID-19 haiondoi uwezo wa kupata watoto

    Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa nchini Marekani (CDC) imesema kuwa ikiwa unajaribu kupata ujamzito sasa au baadaye, unaweza tu kupata chanjo ya COVID-19 inayopatikana katika eneo lako kwani ushahidi kwamba chanjo ya COVID-19 husababisha shida yoyote kwa mchakato wa kupata ujauzito au...
  20. H

    JamiiForums Tanzania Anayeweza kunipa connection ya kupata aina hii ya magari

    Kwa yeyote anaejua mtu au mahali ambapo wanauza magari aina ya "Mercedes-Benz G-Class" au "Gelandwagen" kama linavoonekana hapo chini naomba anisaidie kuna mtu anafanya biashara ya kuyanunua hata kama yakiwa ni mabovu "Wrecked". Mobile Number: 0783 242247 & 0621 703279
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…