Mwenye matokeo haya anaweza kupata MD chuo gani?

kyagata

JF-Expert Member
Oct 18, 2016
6,568
12,670
Jamani nina kamjomba kangu kamepata division 1.9 ya PCB.

Yani Physics C, Chemistry C, Biology C, BAM D na GS C.ndoto zake ni kuwa daktari wa binadamu. So nimejaribu kupitia matokeo yao ya mwaka huu naona PCB wamefaulu sana hivyo naona ushindani utakua mkubwa hasa kwenye chuo kama muhimbili.

So nilikuwa naomba kuwauliza kwa matokeo haya huyu mtoto anaweza kupata chuo gani kwwnye fani ya MD?
 
Ujiandae na plan B kwamba akikosa MD asome kozi gani tena? Kwa matokeo hayo kupata MD anaweza ila inaweza kuwa changamoto kwa sababu siku hizi kuna competition kubwa kutokana na ufaulu kuongezeka pia.

Vyuo binafsi vinavyotoa MD pia ushindani umekua mkubwa ila jaribu mnaweza kufanikiwa

Angalia St francis kule ifakara
St joseph boko campus
Kampala intl university
 
MD Kwa vyuo kama bugando,kcmc,muchas,udom,udsm hupati hata Kwa kutambika...omba St Joseph, Kampala,st Francis,Kairuki..navyo ni 50/50...jarib pia kuweka pharmacy.kama.plan B
 
Kairuki atapata ila ajiandae kwa mkwaja mrefu.Almost 10 M per year.Kama atapata mkopo Ni kidogo hivyo anatakiwa awe na nusu ya hiyo.
 
Back
Top Bottom