kupata

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Tanzania bado ina uhitaji mkubwa wa kupata Rais kama Magufuli mwenye makali zaidi

    Habari JF, Ukitaka kuliongoza taifa la Tanzania na kuliletea maendeleo ni lazima uwe in mtu mkali. maono na Mwenye msimamo. Tanzania ina asilimia kubwa ya watu wa aina 3:- 1. Wavivu - hawapendi kujituma kufanya kazi 2. Uwezo Mdogo wa kufikiri -Elimu kwa Tanzania haiwakomboi Uwezo wa alie prof...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Mziki wa kupata mchepuko?!

    Straight to the point. Bro wangu alizinguana na mke wake, home kwake akueleweki kabisa, alafu kukununua anaogopa magonjwa, akawa anatafuta mchepuko, kahustle sana, akanishtua mdogo wake . Ni mlink na University girls na watu nawajua, tukaanza mission tembelea bar na vijiwe vyote Dodoma...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Namna ya kupata reviews nyingi na clients kupitia freelacing platforms

    Kama wewe ni freelancers au ndo unaanza kazi ya freelancing basi sio mara ya kwanza kusikia makampuni, ikiwemo upwork, fiverr, guru, indeed, au people per hour. Na pengine ulishawahi kuomba kazi kwenye makampuni yote hayo bila mafanikio. Kitu gani naweza kukuambia ni kuwa unaweza kupata clients...
  4. JamiiForums Tanzania Wana JF mashati haya naweza kupata duka lipi kwa Dar es Salaam?

    Bila shaka hamjambo wana Jf, nisiwachoshe nahitaji mashati kama haya niliyoambatanisha na hii thread kwa hapa Dar. Natanguliza shukurani zangu.
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia akutana na mtoto Hamimu Mustapha aliyetibiwa maradhi ya ngozi yaliyokuwa yakimsumbua kwa muda mrefu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Mtoto Hamimu Mustapha Baranyikwa (15) mwenye matatizo ya ngozi ambaye ni mkazi wa Nyakanazi Mkoani Kagera. Mtoto huyo Hamimu alifika Ikulu kwa ajili ya kumshukuru Mhe. Rais kwa msaada wa matibabu...
  6. JamiiForums Tanzania Chama cha Walimu Tanzania (CWT) waweke paper ya mchujo kama ya Law School ili mtu awe certified na kupata usajili

    Habari zenu wakuu, Hivi kwa jitihada za kuboresha elimu yetu hapa nchini kwanini chama cha walimu nchini wasiweke paper ya mchujo kama ya law school ili kila mwalim fresh from college ni lazma afanye paper hiyo ili aweze kuwa certified na kupata usajili kwajili ya kufundisha watoto wetu.
  7. JamiiForums Tanzania Nawezaje kupata updates za matukio yajayo Tanzania?

    Habari. Kwa wenye kujua ni namna gani ya kupata ratiba za matukio kama matamasha, makongamano, na events mbalimbali zinazohusiana na maswala yote ya sanaa na utamaduni, matukio mfano wa mbio za marathon, uchangiaji damu, n.k Msaada wenu wakuu, kwa wenye kujua njia za kufahamu ratiba za matukio...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ninaomba msaada wa kufahamu utaratibu wa kuomba tenda za kazi ndogo ndogo zinazotolewa na Ubalozi wa Marekani

    Habari ndugu, Ninaomba msaada wa kufahamu utaratibu wa kuomba tenda za kazi ndogo ndogo zinazotolewa na Ubalozi wa Marekani . Nimefuatilia kwenye website yao, lakini maelezo yao hayajitoshelezi. Hivyo yeyote mwenye ufahamu au mwenye ndugu/rafiki/jamaa ambaye yupo Ubalozi wa Marekani ninaomba...
  9. JamiiForums Tanzania Uliwahi kuwaza kuua mtu? Hii ndiyo mara yangu ya kwanza kupata wazo la kuua mtu

    Waovu hawazaliwi wakiwa hivyo bali ni matokeo ya uminywaji wa haki na Uonevu katika Jamii. Hata magaidi au wanaotekeleza mauaji ya kinyama, lazima Kuna sababu nyuma yao. Miaka ya nyuma nilienda shuleni kuchukua cheti Cha O-level. Nilfunga bahasha kwenye baiskeli nikawa nikiendesha speed. Kuna...
  10. JamiiForums Tanzania Ajira za TAMISEMI 21,200 Kila Halmashauri Inaweza Kupata Nafasi 115 kama Zikigawiwa kwa Usawa

    MHE. EZRA CHIWELESA - AJIRA 21,200 KILA HALMASHAURI INAWEZA KUPATA WATUMISHI WAPYA 115 KAMA ZIGAWIWE KWA USAWA Mbunge wa Jimbo la Biharamulo Mhe. Eng. Ezra Chiwelesa ameunga mkono hoja na kuchangia katika bajeti ya Wizara ya Ofisi ya Rais - Utumishi na Utawala Bora. Mhe. Chiwelesa amesisitiza...
  11. JamiiForums Tanzania Ninawezaje kupata hii huduma ya malipo ya selcom kwenye biashara yangu?

    Habari wakuu mimi ni mjasiriamali mdogo mdogo,nilikuwa nahitaji huduma hii ya kuscan kwa kupitia seclom mastercard.msaada jinsi ya kuipata na vigezo vyake
  12. JamiiForums Tanzania Matajiri wanaitwa Ikulu kupata futari, sisi walalahoi tutaitwa 2025 kupanga foleni kupiga kura!

    Wandugu asalaam! Kwanini mamlaka za Dunia zinamfanya maskini kuwa kijiko Cha kuchotea ubwabwa? Sisi wapanga foleni wakati wa kupiga kura! Na sisi ndio wapambe wakati wa kampeni. Baada ya uchaguzi mlalahoi anaachiwa vumbi TU! Ikulu imekuwa sehemu ya matajiri kwa Kila jambo sisi tutaenda lini...
  13. C

    JamiiForums Tanzania Je, kuna Madhara yoyote ya kiafya ,Mtu anayoweza kupata kwa kutumia "Margarine"

    Naomba kufahamishwa kama kuna madhara yoyote
  14. JamiiForums Tanzania NADHARIA Wanawake wanaoficha simu zao kwenye matiti, wako na hatari ya kupata saratani ya matiti

    Hoja hii iko vipi kisayansi? Wanawake wanaobana simu zao katikati ya brazia na matiti, ni kweli kuwa wako katika hatari ya kuivaa saratani ya ziwa?
  15. JamiiForums Tanzania Baleke ukitaka nyota yako ing'ae isaidie timu yako kupata ushindi mechi ya dabi

    Mchezaji Bora wa mwezi Jean Baleke super finisher ameonesha kiwango kikubwa kwenye mechi za karibuni,Ile acrobatics ya Jana waooh what a player wazungu wanasema. Baleke ukitaka nyota yako ing'ae focus na mechi ya dabi sababu ni mechi kubwa iliobeba hisia za mashabiki wengi hapa Tanzania na nje...
  16. JamiiForums Tanzania Mimba Kutoka: Hivi ndivyo utakavyofanya Kupata mtoto Salama

    MIMBA KUTOKA; HIVI NDIVYO UTAKAVYOFANYA KUPATA MTOTO SALAMA. Anaandika Robert Heriel Yule Shahidi Binti yangu endapo utakutwa na mkosi wa Aina Hii, naamn ndio Tatizo la mimba kutoka basi Mimi Baba yako sikukusahau katika hili. Tena Kijana wangu ikiwa Mkeo utakayemuoa, unayempenda, atakuwa na...
  17. JamiiForums Tanzania Kwa bajeti ya 10M - 12M naweza kupata gari gani used kutoka Japan?

    Wakuu habari za asubuhi. Ni matumaini yangu mmeamka salama siku hii ya pasaka. Nina mpango wa kununua gari kwa bajeti ya Tshs 10M - 12M. Nipo mkoani na ni mara yangu ya kwanza kumiliki gari. Nina familia ya watu 6 yani wife watoto 3 na house girl. Matumizi yangu ni kuendea kazini, kuwapeleka...
  18. JamiiForums Tanzania Cheki unavoweza kupata milioni 5 kila mwezi au laki 5 kila mwezi

    Salaam.....Good morning billionaires 😁😁😁😆 kabla hujakaa kwenye kiti wewe ni bilionaire a big mogul. ufugaji wa ng'ombe wa kisasa wa maziwa hapo sawa ukifuga ng'ombe 10 tu wanatoa maziwa wote lita 300 kwa siku hapo uwe na soko la maziwa la uhakika maana cow mmoja anatoa lita 30 sawa na 1000 kila...
  19. JamiiForums Tanzania Nikiokota Diary Yako itaninufaisha au nitaishia kupata karatasi za kufungia nyanya?

    Salaam Nimekaa nimefungua Diary yangu nimepitia pitia mara nikakutana na budget niliyoiandaa kwa mshahara wangu wa kwanza baada ya kuanza kazi. Nikagundua kumbe nilikuwa na utaratibu wa kuandika matumizi ya Kila mwezi na kiasi ninachokiacha kama akiba lakini nilikuja kuachana na utaratibu...
  20. JamiiForums Tanzania Je kuna miracle money? Je ni nani ameshawahi kupata miracle money?

    Miracle money ni hela unayoipata kwa njia ya ajabu kabisa ambayo hukuitarajia. Siku za hivi karibuni kuna wakuu wa dini wamejitokeza wakosema eti wana uwezo wa kukuombea ukapata miracle money. Nijuavyo mimi, miracle money huombewi na mtu yeyote, ila unaomba wewe mwenyewe, na huipati hadi uwe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…