kupata

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mnaotishia watu wanaotaka kupata Chanjo ya UVIKO-19 mna shida vichwani mwenu

    Kabla ya kuchanja rasmi leo Chanjo yangu ya UVIKO-19 aina ya J&J nilijaribu kuwataarifu watu kadhaa, ila cha kushangaza wote waliishia kunitishia huku wengine waitaka ninunue kile cheti cha uthibitisho wa kupata chanjo kwa Tsh 30,000/= ila nisichanje kabisa, ila nikawakatalia na kuamua kuchanja...
  2. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Bajeti yapendekeza kutoza ushuru wa bidhaa kwa kiwango cha 20% kwenye mashine za Kamari

    Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba leo June 15,2023 amewasilisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024 Bungeni Jijini Dodoma ambapo moja ya mambo aliyoyapendekeza kwenye hotuba yake ni kutoza ushuru wa bidhaa kwa kiwango cha 20% kwenye mashine za Kamari zinazoingizwa...
  3. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Ndugu alisomeshwa sekondari hadi chuo na kusaidiwa kupata kazi kakata mawasiliano kabisa na familia iliyomsaidia na kumjali, ni sawa?

    Bamkubwa wangu aliweza kumsomesha ndugu yake aliekuja nyumbani kwake kutoka kijijini, aliweza kumsomesha form 1 hadi chuo na kumtaftia kazi. kijana huyo aliweza kupokelewa vizuri na kuwa sehemu ya familia, yani kuanzia bamkubwa, mke wake, watoto wao watano na wengine kwenye nyumba waliishi nae...
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Kocha Nabi anaondoka Yanga, amemaliza mkataba na kupata dili kwingine

    Taarifa za uhakika kutoka ndani ya Klabu ya Yanga ni kuwa Kocha wa kikosi cha Wanajangwani hao, Nasreddine Nabi amemaliza mkataba wake na ameamua kuondoka kwenda kutafuta maisha mengine. Yanga inatarajiwa kutangaza muda wowote juu ya kuachana na kocha hiyo ambaye ameipa mafanikio makubwa...
  5. W

    JamiiForums Tanzania Unapataje ujasiri wa kumuacha mke mwenye mtoto mdogo unayempenda?

    Mke mmeshashindwana kwa kila namna; kiuchumi hamuendi, kisocial hamuendi, kinidhamu n.k hamuendi, yaani ni tabu tupu na umeshafanya maamuzi kichwani ya kumrudisha kwao mara baada ya mavuno maana si kwa kutoelewana huku. Yaani katika wiki maelewano yanaweza kuwa ya siku mbili tu, siku zingine...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Jinsi Mungu alivyonishauri kupata jiko

    Nakumbuka nilikuwa nikilala mara nyingi peke yangu kila ilipokuwa ikifika saa Tisa usiku lazima niamke ghafla huku konga likiwa limesimama zima zima ndipo nikagundua ni Mungu ananishauri nioe haraka iwezekanavyo na sikufanya kosa nikamvuta Khadija haraka sana mpaka sasa kanizalia wana wanne...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Tahadhari na ushauri wa ni msaada gani ninaoweza kupata kwa case ya muamala uliofanyika kama malipo ya deni

    Wasalaamu wanajukwaaa. Jana nimekutana na ujanja ujanja ambao kwangu ni mpya kabisa, sijui ninaweza kuita utapeli. Ila ninachoweza kusema ni udhaifu mkubwa sana wa mtandao wa vodacom vodacom upande wa miamala. Ni ivi kuna mtu nilikuwa ninamdai kiasi kadhaa cha pesa, sasa tukapelekana mpaka...
  8. LeBoss

    JamiiForums Tanzania Nimepata pasi ya kusafiria (Electronic passport)

    .
  9. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wanateseka sana kupata usafiri. Yafanyike haya kusaidia

    Wanafunzi wakilazimisha kuingia kwenye gari konda akiwazuia Wanafunzi wa mikoa yenye idadi kubwa ya watu wanapata tabu kubwa sana wanapotumia usafiri wa umma kwenda shuleni na kurudi nyumbani, manyanyaso wanayokutana nayo wanafunzi kutoka kwa makondakta wa daladala yanawaathiri kwa namna moja...
  10. Mbota Matari

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kwa kijana ambaye hakuwahi kwenda JKT kwa mujibu akitaka kwenda sasa utaratibu ukoje?

    Habari za wakati ndugu zangu waungwana, Naitwa Mbota Matari, nilihitimu kidato cha sita miaka michache nyuma, kwasababu kadhaa kwa wakati huo sikuweza kwenda JKT- kwa mujibu wa Sheria. Kwasasa ninatamani kwenda kupata mafunzo hayo kwani ni muhimu ili niweze kuweka mazingira mazuri ya kozi...
  11. Bemendazole

    JamiiForums Tanzania SoC03 Kwa mpima viwanja atakayeweza kupata eneo ambalo halina 'taasisi zinazopiga kelele' atapiga pesa!

    Kuna daktari mmoja alikuwa anakaribia kununua nyumba Msasani. Wakati anaendelea na zoezi hilo, ghafla 'taasisi mojawapo ya taasisi zinazopiga kelele', wakaanza makelele yao. Yule dk akaghairi kuinunua ile nyumba. Changamoto kubwa iliyopo kwenye majiji makubwa yanayokua kwa kasi ni ugumu wa...
  12. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania SoC03 Thamani ya Kazi na Uwekezaji: Njia Bora ya Kupata Fedha Zaidi

    THAMANI YA KAZI NA UWEKEZAJI: NJIA BORA YA KUPATA FEDHA ZAIDI Imeandikwa na: Mwl.RCT Picha | Kwa hisani ya money(dot)com UTANGULIZI Thamani ni dhana muhimu sana katika maisha yetu. Inahusiana na jinsi tunavyothamini na kupima mambo na watu katika maisha yetu. Katika Makala hii, nitazungumzia...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Gharama ya LATRA kupata kadi ya taksi za mtandaoni

    Habari wanazengo, Nilikuwa naomba msaada kuhusu kupata kadi ya Latra kwa ajili ya kufungua akaunt za Uber na bolt gharama yake ni sh ngapi kufanikiwa
  14. daydreamerTZ

    JamiiForums Tanzania Njia bora za kupata jina sahihi la biashara yako

    Njia bora za kupata jina sahihi la biashara yako Kupata jina sahihi la biashara ni hatua muhimu katika kujenga kitambulisho chako cha biashara na kuwasiliana na wateja wako. Hapa kuna njia bora za kupata jina sahihi la biashara yako: 1. Jifunze kuhusu biashara yako: Anza kwa kuelewa vizuri...
  15. lusanasaimon

    JamiiForums Tanzania Nimekata tamaa ya kupata Mtoto

    Habari za wakati huu, Wakuu naomba angalau msaada wa mawazo najua humu kuna wajuvi na watalaam mbali mbali kuhusu maswala ya afya. Mimi ni kijana na nimetimiza miaka 27, nina mke lakini sijafanikiwa kupata mtoto na ni mwaka wa 3 toka nimekutana na mke wangu ingawa yeye ana mtoto aliyempata...
  16. Surveyor_1

    JamiiForums Tanzania Kwanini private candidates wengi huwa wanafeli (hawapati matokeo mazuri kama ya school candidates?

    Habari wana JF. Kuna mwalimu mmoja mstaafu nilimsikia akisema private candidates mara nyingi huwa hawafanyi vizuri kwa kuwa alama zao za mitihani hugawanya nusu kwa kuwa wao huwa hawana assessments za darasani na majaribio kama school candidates. Ama kwa upande wa school candidates wao yale...
  17. Surveyor_1

    JamiiForums Tanzania Je, inawezekana kufanya mtihani wa Biology A level kama private candidate ili kupata credit ya kusomea medicine?

    Habari wana JF, natumai muwazima. Nina jambo limenitatiza naomba ufafanuzi. Swali ni kuwa, kwa mtu ambae A level alisomaga PCM na akafaulu vizuri,je inawezekana kama akihitaji kusomea medicine akafanya mtihani wa Biology A level ili kupata credit (kwa kuzingatia anahitaji mchepuo wa PCB kwa...
  18. Webabu

    JamiiForums Tanzania India wagida bwawa lote kupata simu iliyotumbukia wakati wa Selfie

    Kiswahili sanifu kugida ni kuruhusu maji kutoka ndani ya chombo kidogo kidogo. Hivyo ndivyo ilivyotokea huko India baada ya bwawa moja kukaushwa ili kuipata simu iliyotumbukia humo wakati wa kupiga selfie. Simu hiyo ilikuwa ni ya aina ya Samsung yenye thamani ya dola 1200 mali ya bwana Rajesh...
  19. John Sin

    JamiiForums Tanzania Wanaume tuliowahi kupata gono tukutane hapa

    Mm bado ntabaki na msimamo wangu uleule kwamba hawa ndugu zetu tuliowatoa ubavuni mwetu japo ni watamu lakini pia wanatusababishia matatizo makubwa mno. HISTORIA YA KWELI Mnamo mwaka juzi mwezi wa sabasaba hizi kulitokea kadada kamoja kalinisumbua sana mungu si athumani akakubali ombi mtoto...
  20. waziridagaa

    JamiiForums Tanzania Nilivyopata shida baada ya kuhitimu elimu ya chuo kikuu na baade kupata mtaji

    Habari yako mwanajamii, nina imani ulipo unaendelea vema, kama haupo sawa Mungu akutangulie katika jambo lako. Leo nimepata muda wa ku-share vitu nilivyopitia katika maisha yangu. Mimi ni mzaliwa wa Nyanda za Juu Kusini (Songwe -Mbozi) nimesoma shule ya primary Songwe Mwaka 2008 na nikajiunga...
Back
Top Bottom