Habari za wakati huu,
Wakuu naomba angalau msaada wa mawazo najua humu kuna wajuvi na watalaam mbali mbali kuhusu maswala ya afya.
Mimi ni kijana na nimetimiza miaka 27, nina mke lakini sijafanikiwa kupata mtoto na ni mwaka wa 3 toka nimekutana na mke wangu ingawa yeye ana mtoto aliyempata...