lusanasaimon
Senior Member
- Jan 19, 2023
- 111
- 264
Habari za wakati huu,
Wakuu naomba angalau msaada wa mawazo najua humu kuna wajuvi na watalaam mbali mbali kuhusu maswala ya afya.
Mimi ni kijana na nimetimiza miaka 27, nina mke lakini sijafanikiwa kupata mtoto na ni mwaka wa 3 toka nimekutana na mke wangu ingawa yeye ana mtoto aliyempata akiwa secondary. Tumesha kwenda hospital kupima tukakutwa wote hatuna tatizo lolote na tumeshatumia dawa mbalimbali lakini tumeshindwa kufanikisha lengo.
Lakini bila kusahau nimesha muuliza wife kama alishawahi kutumia uzazi wa mpango hapo kabla, akasema nikweli aliwahi kutumia p2 na hata sindano lakini ni muda umepita coz kunakipindi aliwahi kutokwa na kijinyama fulani, na alikua anasumbuliwa na tumbo na mzunguko wa hedhi usioeleweka japokua tumeshatafuta mitishamba sasa yuko good kuhusu maumivu na hedhi kukaa vizuri.
Kwakweli imefikia kipindi nawaza sana maana umri unayoyoma tuu, naomba kama kuna watu wameshapitia changamoto kama hizi wanisaidie japo mawazo.