kupata

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Zainab Katimba aiomba Serikali kuyajengea uwezo makampuni ya ndani Ili kupata Fursa ya Mikataba ya manunuzi

    "Asante sana Mheshimiwa Spika kwa kupata fursa ya kuchangia hoja ya Muswada wa Sheria ya Ununuzi wa Umma ya mwaka 2023" - Mhe. Zainab Athuman Katimba, Mbunge wa Viti Maalum "Ni dhahiri asilimia 70 ya bajeti ya Serikali inaenda kwenye Manunuzi. Ni dhahiri katika kipindi hiki cha hivi karibuni...
  2. Django Doer

    JamiiForums Tanzania Restaurant gani Dar es Salaam ninaweza kupata WIFI yenye kasi zaidi?

    Za sahizi binadamu wenzangu. Nipo Dar es Salaam Nilikuwa nauliza ni restaurant au hotel gani ninaweza kupata WIFI yenye kasi sana na ambayo ina GB nyingi nina ma file ninayotakiwa ku download kwenye PC yangu jumla ni 156GB. Sasa mimi hiyo budget siwezi kuitumia kwenye manunuzi ya bundle za...
  3. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Hapa Kuna Siri gani kuhusu ukiwa na hela unapoteza shauku ya Kupata kitu mfano swala la kuoa Mtu ukipata hela unalisahau kama huwa lipo.?

    Nilichogundua Binadamu huwa anakuaga na mipango Mingi akiwa Hana hela. Mfano back the days Mimi na classmates zangu tuliwahi kupanga Mambo ya kuoa nk but now hao classmates wapo Sehemu nzuri wengine katika Taasisi kubwa na wengine wafanyabiashara so Hakuna hata mmoja kaoa na hawataki kusikia...
  4. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kimoja chali, naombeni msaada wenu kwa mliowahi kupata tatizo hili na mkalitatua

    Ndio uzuri wa Jamiiforums, usirl unatupa confidence ya kuweza kuomba ushauri bila aibu. Wakuu, kwa sasa umaridadi wangu kunako uwanja wa sita kwa sita kipindi cha Kwanza nacheza fresh ila kikiisha naweka mpira kwapani maana ni ngumu kurudi kipindi cha pili. Mechi ya Kwanza naipania Sana...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tamko la NEMC litasaidia "Jobless" kupata Mtaji wa Biashara na Kuuaga Umasikini, hivyo tunawashukuru mno

    Kama nilivyomsikia Afisa wao Mmoja ( NEMC ) ni sahihi GENTAMYCINE nichukue tu nafasi hii mapema kabisa Kuuaga Umasikini niliokuwa nao sasa mwaka wa Kumi ( 10 ) kwani naenda kuwa Tajiri wa Kutukuka. "Tunajipanga kuja na Tangazo la kumtaka Raia yoyote akiona tu Dereva wa Lori, Gari Dogo au Basi...
  6. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania KWELI Mwanamke anaweza kubeba Ujauzito wa watoto mapacha wenye baba tofauti

    Miaka kadhaa nyuma niliwahi kusikia mwanamke mmoja nchini Uganda kajifungua watoto wawili (mapacha) wenye baba tofauti, hali hii ilinishangaza sana. Hali kama hii iliripotiwa pia Septemba 9, 2022 kwenye jarida la CNBC ambapo mwanamama mmoja kutoka Minerois, Brazil alithibitika kuwa na ujauzito...
  7. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Tume ya Madini Yatakiwa Kuwasaidia Wajasiriamali Kupata Teknolojia Zenye Gharama Nafuu

    TUME YA MADINI YATAKIWA KUWASAIDIA WAJASIRIAMALI KUPAYA TEKNOLOJIA ZENYE GHARAMA NAFUU Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Exaud Kigahe amewaasa Watanzania kutumia fursa za kiuchumi zinazopatikana nchini zikiwemo za kilimo, mifugo, uvuvi na madini katika kujiongezea kipato pamoja na kukuza...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Je, naweza pata nafasi CUHAS Course ya Radiology Level ya Diploma?

    Msaada naweza pata nafasi cuhas course ya radiology level ya Diploma?
  9. Mdeke_Pileme

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa kijiji cha Mbwera, Wamekuwa wakining'iniza simu zao katika paa nyumba, ili kupata mawasiliano

    Wakazi wa kijiji cha Mbwera kata ya Mbuchi wilayani Kibiti, mkoani Pwani , wamekuwa wakining'iniza simu zao katika paa la kibaraza la moja ya nyumba iliyopo kijijini hapo kupata mawasiliano. Baadhi ya wakazi wakizungumza na ITV wamesema, licha ya maendeleo ya barabara iliyotengenezwa kwa...
  10. Pridah

    JamiiForums Tanzania Kama yupo anayepitia kipindi kigumu naomba usome huu Ushuhuda wangu labda unaweza kupata faraja kidogo

    Assalam Aleykum ndugu zangu waislam na wakristo. Kwa asili mimi ni mtu niliye huru zaidi kutoa hisia zangu kwa maandishi kuliko niwapo ana kwa ana na watu. Leo niko na hisia za furaha sana na ndio maana nimepata msukumo wa kuandika. Lengo la kuandika sio kuwaambia nina furaha maana kuwa na...
  11. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Unaweza kupata Tsh. bilioni 12.5 ukitoa taarifa za waliolipua Ubalozi wa Marekani mwaka 1998

    Miaka 25 baadaye, tunakumbuka milipuko ya kutisha ya mabomu katika balozi za Marekani nchini Kenya na Tanzania. Tunaheshimu na kuwakumbuka watu 213 waliopoteza maisha Agosti 7, 1998, na tunaapa kuwafikisha wahusika mbele ya sheria. Tufahamishe habari yako; unaweza kustahiki tuzo. Ooh...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Moses Phiri ametushukuru wale Wote tuliompambania hadi sasa ameanza kupata Namba Kikosini na Kufunga pia

    Yaani kabisa GENTAMYCINE na wana Simba SC Wengine akina rodrick alexander na SAGAI GALGANO tukupiganie halafu Usisikike na Usifanikiwe au Usilishinde tatizo lako linalokukabili? Sasa Phiri anacheza nina Furaha mno kwani ndiyo Mshambuliaji wangu bora kuliko Wote Kikosini Simba SC.
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania NHIF yazidi kupata hasara, PIC yaonesha kutoridhishwa na utendaji wake

    KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji na Mitaji ya Umma (PIC) imeonyesha kutoridhishwa na mwenendo wa ukusanyaji wa mapato na matumizi ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) . “Imekuwa ikifahamika kwamba mfuko huu umekuwa ukipata nakisi mwaka hadi mwaka 2019/20 walipata nakisi ya bilioni 49...
  14. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Watoto wasiocheza nje (Wanaokaa Ndani Sana) wako hatarini kupata tatizo la Macho kutoona mbali

    Utafiti mpya uliofanywa na Global Myopia Awareness Coalition (GMAC) umebaini kadri Mtoto anavyokaa ndani au kunyimwa fursa ya kucheza nje ya Nyumba, ndivyo anavyopata athari katika Afya ya Macho. Utafiti huo umeonesha kuwa kitendo cha Mtoto kucheza nje angalau kwa Dakika 76 kila siku...
  15. Teslarati

    JamiiForums Tanzania Leo jioni nimepanda mwendokasi baada ya kupata breakdown lakini kilichonitokea aisee wanawake hizo nywele muwe mnaosha

    Hapa leo hadi nimeshindwa kwenda bar najiuliza hii choking naitoaje maana nahisi bado ile harufu ipo puani mwangu. Ilikua hivi, nimepata breakdown mahala nikalazimisha limp mode hadi garage ila gari imebidi kuiacha hapo. Ili kufika ninakokwenda ikabidi nichukue mwendokasi jioni hii, mule ndani...
  16. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Ile sehemu wanayouza mikate Iringa imewezaje kupata umaarufu mkubwa tangu zamani kwa wanaosafiri safari ndefu hasa wenye magari binafsi

    Ni sehemu flani ipo Iringa umbali mfupi kabla ya njia ya barabara ile inayopanda kwenda mjini, wenye magari binafsi hasa waliotokea Dar, Moro, Dodoma wakifika hio sehem husimama kwenda kununua mikate. Hata kuna kipindi mwaka huu nilipita hapo walihamia kwa mbele kidogo, moja wetu hakutaka...
  17. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa arudishwa kituo cha Polisi Oysterbay kutoka Mbeya. Wakili wake aambiwa akashughulikie dhamana

    Mpendwa Baba Askofu Mwamakula! Jana baada ya ku-file maombi ya kulitaka jeshi la Polisi kuwapeleka Dr. Slaa na wenzake mahakamani ambapo leo tungepangiwa jaji atakayesikiliza maombi yetu na kupewa wito wa mahakama (Summons) ili kuwaita wajibu maombi yetu . Mimi nilisafiri kurudi Dar kwa ndege...
  18. Gyme

    JamiiForums Tanzania Msaada: Natafuta kazi, yeyote atakayenisaidia nitashukuru sana

    Habari ndugu zangu, mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 24. Ninaomba msaada wenu kama kuna mtu yeyote anaweza kunisaidia nikapata kazi. Elimu yangu kidato cha sita japo chuo nimesoma Ila niliishia mwaka wa pili. Msahada wenu jamani, kwa yoyote mwenye connection maisha ni kusaidiana please...
  19. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Kwanini katika kundi kubwa la wanaume wa miaka 50+ wanaofariki na kupata maradhi ni wanywa pombe ?

    Wanywa pombe na wavuta sigara hasa walioanza wakiwa vijana. Unakuta hata makazini huku kwenye circle za wale wa 50+, wanaoongozea kufariki na kupata maradhi ni wale wanywa pombe. Katika maradhi huwa ni matatizo ya vibofu, maini, kisukari, bp, matatizo ya moyo, mapafu, n.k. Kundi hili pia...
  20. Chakorii

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kumsaidia mtu kupata kazi lakini malipo yake yakawa kukuumiza?

    Habari ya asubuhi. Leo nina maumivu mno🥹. Moyo wangu unawaka moto wa tanuru na nahisi katika hali ya kibinadamu ninakosa uvumilivu💔. Nilimpa mtu connection ya kazi lakini amegeuka mwiba kwangu🥹. Yes, ninajijua ni mwanamke jasiri sana katika kuvumilia changamoto lakini katika hili ninahisi moyo...
Back
Top Bottom