kupanga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Chumba cha kupanga kinaitajika

    NAHITAJI CHUMBA(MASTER) YENYE CHUMBA KIMOJA MASTER NA JIKO, KIWE NDANI YA FANCE IWE KINONDONI AU MWANANYAMAKA KARIBIA NA BARABARANI. NICHECK WHATSAPP 0659741342
  2. JamiiForums Tanzania Kupanga ni kuchagua, kuchagua ni kupanga

    Siku kadhaa zilizopita nilikuwa naongea na mmoja wa marafiki zangu wa karibu nilimuuliza swali hili, “Je ni upi msemo sahihi kati ya kupanga ni kuchagua au kuchagua ni kupanga.” Mara zote nimekuwa nikichanganya katika kutanabaisha usemi upi sahihi. Na akanijibu- yote ni sahihi kwa maana...
  3. JamiiForums Tanzania Haji Manara anaishi kwenye nyumba ya kupanga, asema yeye sio tajiri

    Haji Manara jana alikuwa na ugeni nyumbani kwake toka CloudsTv, na moja ya swali aliloulizwa ni kwanini bado anapanga na ilhali anaonekana ana uwezo mkubwa kifedha. Haji Manara alijibu, "Kwani kuna dhambi kupanga apartments? Mimi ni mwajiriwa wa Yanga. Sijawahi kusema Mimi ni tajiri. Naishi...
  4. JamiiForums Tanzania House4Rent Kwa mahitaji ya vyumba na nyumba za kupanga, fremu za biashara Arusha na Moshi mjini

    Habari ndugu wananchi wa mikoa ya ARUSHA NA KILIMANJARO..., Kwa mahitaji ya..., 1.Vyumba (SINGLE SELF , DOUBLE SELF , AU VYA KAWAIDA) , 2. Nyumba NZIMA ZA KUPANGA , 3. Fremu za biashara MOSHI na viunga vyake , 4. MAJENGO mazuri na yanayofaa kwa kuweka 4.1 Ofisi za taasisi, 4.2 GODOWN , 4.3...
  5. JamiiForums Tanzania Chumba cha kupanga Kimara. Kodi isizidi Tsh 100,000/- kwa mwezi

    Habari wakuu. Nawatakia nyote kheri ya mwaka mpya. Mimi ninahitaji chumba self maeneo ya Kimara , liwe eneo la karibu na barabara, kodi isizidi Tsh 100,000/- kwa mwezi. Nipo tiyari kulipia kodi kwa miezi mitatu ya mwanzo. Mwenye nacho naomba tuwasiliane. Asante
  6. JamiiForums Tanzania Naomba wale wataalamu wanisaidie kupanga

    Naomba wataalam wahizi mambo wanisaidie kupanga apa
  7. JamiiForums Tanzania Mnawezaje ku deal na Jiran wa Namna hii kwenye nyumba za kupanga?

    Hello habari wana jf Ninapo ishi kuna kijana mmoja anapenda sana kufungulia mziki sauti inakua juuu sana yani hajali usiku asubui yeye akiwepo ndani ni kelele sana Yani hii tabiia inani boa sana Je nyiie mna deal vip na hawa watu?
  8. JamiiForums Tanzania Kijana wangu anatafuta nyumba ya kupanga riverside, Ubungo

    Habari marafiki, Nina kijana wangu wa kazi anatafuta nyumba ya kupanga maeneo ya riverside. Mwenye nayo ailete hapa.
  9. JamiiForums Tanzania Sharti gani gumu uliwahi pewa na mwenye nyumba kwenye nyumba za kupanga?

    Sijakosea. Nafahamu fika kuwa members wote wa JamiiForums tuna majengo makubwa sana hasa maeneo ya Sinza na Oestabey, lakini yote kwa yote, wengi wetu tumewahi panga vyumba kabla ya kujenga Ni sharti lipi gumu uliwahi pewa na mwenye nyumba ndani ya nyumba yake ulipopanga kwake?
  10. JamiiForums Tanzania Nitumie njia gani rahisi kupata Chumba cha Kupanga Dar

    Mwenye kujua njia rahisi anielekeze hapo. Je, madalali wa Dar wanasomeka? Maeneo ya Sinza, Mwenge karibu na Kanisa la RC au Magomeni karibu na Kanisa la RC
  11. JamiiForums Tanzania Kwa niaba, anahitaji chumba cha kupanga

    Kuna ndugu yangu anatafuta chumba cha kupanga maeneo ya Mwasenga, Businde. Ndani ya manispaa ya Kigoma Ujiji. Chumba kiwe kikubwa tiles, gypsum, maji na umeme. Kukiwa na geti ni sifa kubwa pia. Kiwe single au chumba na sebule bado kinafaa njoo na offer yako hapa hapa madalali kaeni...
  12. JamiiForums Tanzania Bunda: CHADEMA wakutana kupanga Mikakati ya kuifutilia mbali CCM kwenye eneo hilo

    Chama Kikuu cha siasa Nchini Tanzania (CHADEMA), huko Bunda mjini kimekutana na wanachama wake kwa ajili ya kupanga mikakati mipya ya kuifuta ccm kwenye eneo hilo. Chadema yenye Wanachama hai zaidi ya mil 15 nchi nzima (kwa Mujibu wa Chadema Digital) huku ikiwa na mamilioni ya Wafuasi...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Walitumia kigezo gani kupanga mshahara wa Mwalimu?

    Hii kitu inafikirisha sana kuona mwalimu analipwa 300,000 kwa mwezi Sawa na Bei ya pair MOJA ya kiatu/Raba air Jordan og grade one pale england
  14. M

    JamiiForums Tanzania Dalali vyumba vya kupanga Tanga anahitajika haraka sana.

    Wakuu nahitaji chumba cha kupanga kiwe Tanga mjini mtaa wowote ule kiwe chumba kimoja ambacho kinajitegemea tafadhari niambie bei yake hapa baada ya hapo nitumie namba PM. Ova.
  15. N

    JamiiForums Tanzania Dr. Kitila Mkumbo awa Profesa

    Waheshimiwa, habari nilizonazo ni kuwa juzi kikao cha senet Chuo Kikuu cha Dar es Salaam imemtunuku hadhi ya Uprofesa Dr. Kitila Mkumbo. Kwa hiyo kuanzia sasa sio tena Doctor bali ni Professor. Hongera Professor Mkumbo ==================== ==================== CV ya Proff. Kitila Mkumbo...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa Dar hasa wenye vipato vya chini na tunaoishi kwenye nyumba za kupanga

    Habari za usiku huu ndugu watanzania? Moja kwa moja niende kwenye mada iliyonifanya nifikirie kushare mawazo yangu. Wakazi wa dar,hasa sisi wenye vipato vya chini na tunaoishi kwenye nyumba za kupanga huwa tunahaha sana msimu wa mvua ukianza. Hapa nazungumzia kuanzia mwezi wa 12 mpaka mwezi wa...
  17. JamiiForums Tanzania Nahitaji chumba cha kupanga mabibo kwa uharaka

    Habari Wakuu, Nina kijana wangu amejiunga NIT ngazi ya cheti(HR). Naomba chumba cha kupanga (single room) ndani ya kata ya mabibo au maeneo jirani. Piga 0713 039 875.
  18. JamiiForums Tanzania Ninahitaji chumba cha kupanga

    Habari zenu ndugu zangu wa jf 🖐, Mimi shida yangu kubwa iliyonileta hapa ni uhitaji wa chumba cha kuishi maeneo ya kigamboni ila kisiwe mbali sana na kivuko cha feri. Sababu iliyopelekea kuja kuomba huku ni baada ya kuhangaika bila mafanikio, ila nina uhakika wakupata chumba moja kwa moja...
  19. JamiiForums Tanzania Chumba cha kupanga kinahitajika Daresalam maeneo yawe Tandika

    Bei ya chumba isizidi elf 30 kwa mwez. Ambaye anamjua dalali anitafute kwa namba hii 0656376814 Pesa ipo mfuko wa shati
  20. JamiiForums Tanzania Hivi Robertino anashindwaje kupanga kosi kama hili la mauaji?

    Phiri Chama Saidoo Kibu Ngoma Kanoute Tshabalala Chemalon Inonga Kapom (Kipa Yeyote) Embu tujadiliane ubora wa hilo kosi hapo
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…