kupanga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Asante sana Ibenge kwa ushindi wa Yanga SC

    Huo ndio undugu sasa. Maana sisi wenyewe tusingeweza Game yetu ya mwisho na waarabu tushindwe wenyewe sasa. Turejesheni calculator za watu Soma Pia: Full Time: AL Hilal 0-1 Young Africans | CAF Champions League | Stade de la Capitale | 12/1/2025
  2. mpambanaji orijino

    JamiiForums Tanzania Natafuta chumba cha kupanga zanzibar

    Habari wakuuu, Natafuta chumba cha kupanga ambacho hakipo mbali sana na michenzani mall, Zanzibar. Chumba kiwe master na bajeti yangu ni kisizidi laki moja kwa mwezi. Anayekifahamu au ambaye anaweza niunganisha na dalali naomba anisaidie. Ahsante
  3. D

    JamiiForums Tanzania Kwa mahitaji ya nyumba au apartment za kupanga au kununua kwa Dar es salaam na Arusha

    KAMA UKO DAR AU ARUSHA UNAUHITAJI WA NYUMBA AU APARTMENT YA KUPANGA AU KUNUNUA TUPIGIE 0772959929
  4. Yoda

    JamiiForums Tanzania Nyumba za kupanga za kuchangia choo na bafu ni maisha duni sana.

    Kama unaishi kwenye nyumba ya kupanga ambapo mnachangia choo na bafu na wapangaji wengine basi bado unaishi katika maisha duni sana, bado una safari ndefu ya kuyafikia maisha ya hadhi anayostahili binadamu.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Ni experience gani? umepitia kwenye nyumba za wapangaji wengi unakumbuka nini?

    👉Nakumbuka wazee wa kuzama viwanja kurudi geto satisa watu wote wamelala😅Kila mtu ana Goma kufungua kuhofia usalama 👉Ukichelewa kuamka asubuhi bafuni foleni 👉Mwenye zamu ya umeme kuwashindisha bila umeme siku nzima 👉Jumapili lazima uwahi kufua ili upate kamba ya kuanika nguo 👉Kuazima Pasi kwa...
  6. ADESIGN

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya kupangisha ipo Kinyerezi Mbuyuni, sitaki madalali

    Nyumba ipo wazi kinyerezi mbuyuni, vyumba vitatu, kimojawapo ni master bedroom, public toilet ipo, jiko la wazi na sebule, ndani ya ukuta kuna nyumba 7, eneo lina utulivu ndani. Kodi ni 450,000 kwa mwezi, na tunapokea kodi ya miezi 6 Mimi sio dalali na sihitaji dalali, wewe kama ni muhusika...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe CHADEMA ya 2013: Tamko la Zitto baada ya kuvuliwa uanachama kwa kupanga kumng'oa Mbowe katika nafasi ya uenyekiti kwenye uchaguzi

    Chadema imepitia mapito mengi: Leo tukielekea katika uchaguzi wa Mwenyekiti, tujikumbushe yaliyojiri mwaka 2013 pale Zitto na wenzake waliposuka mpango kazi wa kumng'oa Mbowe katika uchaguzi uliokuwa unakuja mwaka 2014. https://www.youtube.com/watch?v=JYYNNnnqD18&ab_channel=MTAAKWAMTAA
  8. R

    JamiiForums Tanzania Wawili mbaroni Kwa kupanga njama za kumroga Rais.

    Polisi inawashikilia watu wawili Kwa kupanga njama za kumdhuru Rais wa Zambia, Haikande Hichilema Kwa njia za ushirikina. Watuhumiwa hao ni Jasten Mabulesse Candunde na Leonard Phiri wanaodaiwa kutumwa na Nelson Banda,mdogo wa mbunge anayekabiliwa na tuhuma za wizi Jay Jay Banda kumroga...
  9. M

    JamiiForums Tanzania MSAADA; ushauri wenu nahitaji kupanga chumba

    Ndugu zangu watanzania wenzangu habari zenu. Nimechoka life la kuishi kikolabo na rafiki yangu katika utafutaji wa maisha Sasa naona kuwa wakati sahihi wa kwenda kuanza life langu nikijitegemea Kwa kila siku yaan independent Sababu ya kuja katika jukwaa hili ni kuja kuomba ushauri skills and...
  10. sonofobia

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu aendelea kupanga safu yake kwa ustadi mkubwa. Anaumaliza uchaguzi mapema sana

    Lissu hapoi wala haboi, ameendelea kuipanga safu yake na jana usiku nyumbani kwake alikuwa na kikao kizito na wajumbe wa mkutano mkuu kutoka mikoa ya kanda ya ziwa ambao hawakutokea kwenye press yake kwa sababu ambazo zipo kapuni. Awa ni wale wanaingia kama wapiga kura kwenye uchaguzi wa nafasi...
  11. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Naishi kwenye Nyumba ya kupanga mwenye nyumba alifariki ghafla na ndugu hawaijui hii nyumba

    Wakuu naishi kwenye nyumba ya kupanga na familia yangu yenye vyumba vinne na Kila kitu quality kuanzia aluminum mpaka tiles nyumba ni nzuri sana mwenye nyumba alifariki ghafla mwezi wa 4 mpaka Leo mwezi wa 12 nakaa bure naona kama hii ni bahati kutoka Kwa mungu nyumba ya bure sababu nilisikia...
  12. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Tusifikie kuulizana kadi za vyama kwenye nyumba za kupanga

    Siasa za chuki mbaya sana mwenye nyumba hataki kupangisha mwanachadema tena alipata kulipwa Kwa mwaka anaulizia vitambulisho vya vyama Nazi kwelikweli MTU anaacha kufanya Maendeleo anaweka siasa mbele Watanzania tuitunze amani hii ndogo kama chembe ya haradani amani hii ndogo ndio inafanya wewe...
  13. Right Marker

    JamiiForums Tanzania Hebu tiririka kero mojawapo kwenye nyumba za kupanga.

    📖Mhadhara (63)✍️ Nyumba za kupanga (hasa zile ambazo zina wapangaji wengi) zina kero mbalimbali. Hebu tiririka kero mojawapo kwenye nyumba za kupanga - Natiririsha baadhi ya kero. 🔘 KERO 1: Kuna mpangaji ambaye akiingia bafuni kuoga, akitoka lazima bafuni mkute mabaki ya dawa za kienyeji. Kila...
  14. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: Mwanaume aliyelelewa na mama tu sio mzuri sana kwenye kupanga naye mikakati kama wanaume

    Hapo vip! kiukweli binafsi hili limenitokea mara kaza,kuna jamaa huwa napanga naye mikakati mara nyingi na sometime hata nampotezea ananitafuta mwenyewe ila kila nikiweka naye mkakati sereous,anabadilika from no where au anayeyuka tu na kupotea baadaye anakuja kwa njia nyingine. Nikaanza...
  15. N

    JamiiForums Tanzania House4Rent Chumba cha kupanga Morogoro Mjini

    Salaam wadau....Natafuta chumba cha kupanga morogoro mjini. Kiwe self, itapendeza nikipata maeneo ya karibu na hospital ya mkoa. Mwenye connection tuwasiliane tafadhali.
  16. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo Amorim anavyoweza kupanga kikosi cha Man Utd msimu huu

    Jamaa anatumia 3..4..3
  17. Kibosho1

    JamiiForums Tanzania Kinachotushinda Wabantu kuchora na kupanga miji ni nini?

    Unavyoona hapo siyo maua au mchoro wa kompyuta ni muonekano wa mji toka angani. Hivyo sio vibox ni plots zilizochorwa na kupimwa tayari. Yani miundombinu imetangulia kabla ya watu kuanza kuishi. Mazingira haya utayaona kwa jamii nyingine lakini sio kwa Wabantu. Sisi tuna shida gani?
  18. Tutu kalundji

    JamiiForums Tanzania Kupanga ni kuchagua

    Ujenzi wa kisasa Kwa gharama ndogo kabisaaa!Nimeamua
  19. K

    JamiiForums Tanzania Vyumba vya kupanga Single au Master

    Deleted
  20. Sir John Deere

    JamiiForums Tanzania Makamanda wa Marekani na Israeli wakutana Tel Aviv kupanga namna ya kujibu kisasi kwa Iran. Iran yawaambia inawasubiri.

    Hivi Leo mkuu wa kamandi ya kijeshi CENTCOM inayo operate katika maeneo ya mashariki ya Kati Gen .mike kurilla amekutana na viongozi wa kijeshi wa ngazi ya juu wa Israel katika kikao huko Tel Aviv ili kuisaidia Israel kupanga namna ya kulipa kisasi kwa Iran baada ya shambulio baya la Oktober 1...
Back
Top Bottom