Nyumba Vyumba 3 ( Masta Ipo), Sebule, Dinning, Jiko, Choo cha kuchangia ndani.
Ina fensi, egesho la gari, Maji Mita yake, Luku yake, umbali wa dakika 3 kutembea kutoka kituo cha daladala!
Maelezo zaidi— 0687614981
Habari wadau,
Tunapangisha nyumba ipo Maeneo ya mikocheni Plaza.
Mazingira yake:
Eneo Lina SQM 1,500. Ina ukuta umezungushwa.
Ni Nyumba ya Ghorofa moja.
Ina vyumba 5, sebule, jiko na DINNING pamoja na servant quarter kwa nje.
Parking space kubwa.
Kodi : Million 4 kwa mwezi.
Inafaa kwa...
Katika ulimwengu wa siasa za Tanzania, jina la Askofu Josephat Gwajima, Mbunge wa Kawe na mchungaji wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, limekuwa likizua mjadala mkali. Hivi karibuni, uvumi umeenea kwamba “muda sio mrefu” Gwajima atatangazwa kuwa mhaini anayetishia usalama wa Rais Samia Suluhu Hassan...
Mwenye namba ya dalali wa vyumba /nyumba au anakijua chumba kinachopangishwa;
i. kisiwe mbali na ofisi za Ruwasa za wilaya ya Siha, mkoa wa Kilimanjaro.
ii. Kiwe self contained
Sehemu ulipoishi ni kota, kuna familia nyingine imehamia
Sehemu ulipoishi ni nyumba za kupanga, kuna wapangaji wengine
Ulipowahi kuishi pamebadilika kabisa, sio tena sehemu ya makazi ni mji wa kibiashara kuanzia mafremu, magorofa, gesti, magorofa, n.k.
Kijijini kwenu hawakujui au...
WE DO DESIGN AND CONSTRUCTIONS SERVICES
KAZI YETU NI MOJA TU KILA MTANZANIA ANAANZA KUISHI KWAKE
CALL US +255624004650
TUNAPATIKANA SINZA DAR ES SALAAM
Tumetoka kwenye familia, zilizopanga kwenye nyumba iliyopewa jina la Muhimbili.
Korido ndefu kama Sgr, kila mtu kapanga ndoo mlangoni..
Kulia vyumba tisa, kushoto nane, mwenye nyumba yupo uani..
Mlango mkubwa wa mbele, haufungwi hata siku moja..
Kwa sababu kuna watu kazi zao wanatoka usiku...
Amani ya Bwana iwe nanyi.
Naomba msaada wa chumba cha kupanga master au master sebule sawa, bei isizidi 130,000/=
Maeneo ya mitaa ya Mbuyuni, Dar Es Salaam hadi Soweto na maeneo mengine jirani na hiyo mitaa.
Natanguliza shukrani.
Habari wadau.
Nahitaji nyumba ya kupanga maeneo ya kigamboni.
Nyumba isiwe mbali na barabara ya lami inayotoka ferry , maji yawepo , tiles na aluminium muhimu pamoja na gypsum, bila kusahau Usalama na itapendeza kama kutakuwa na umeme wa kujitegemea.
Nyumba iwe na Chumba master, sebule na...
1. Eneo la Kilakala isiwe mbali na kituo cha Tushikamane.
2. Eneo la Kola (iwekaribu na barabara ya pangawe)
3. Eneo la Bigwa (iwekaribu na barabara ya pangawe)
Iwe na vyumba 3 vya kulala.
Ijitegemee maji na umeme.
Hii mahususi kwa watu wangu hasa kizazi Cha miaka ya 70, mpaka 80 hivi enzi hizo nchi Tanzania mikoa mingi bado mapori, watu wakimaliza darasa la saba kama wapo wanafunzi 200 wanachaguliwa kwenda kidato Cha kwanza ni watu wawili au mmoja mnaobakia kama mzazi uwezo hana wakukupeleka shule...
Habari ndo hiyo. Kwenye uchaguz serikali za mitaa nilienda nipogekura nikaahirisha baada ya kuona mgombea mlengwa ameenguliwa eti hajui kujaza form. Strangely huyo ni mgombea aliyekua mwenyekiti wakati wa rais kikwete
Ujenzi wa choo kizuri na salama kwa matumizi sio jambo linalozingatiwa sana hasa kwenye nyumba za kupanga hasa hizi za bei za kawaida (10K-150K). Unakuta nyumba nzuri na mazingira n mazuri ila chooni utadhani kulisahaulika wakafosi kujenga ili choo kiwepo.
Vyoo vingi ni vidogo sana, na namna...
Serikali kupitia wizara ya nishati miaka 5 iliyopita ilijenga ofisi za Tanesco kupitia mfuko maalum
Kwa kigezo kwamba kuna upotevu mwingi wa fedha katika kupangisha ofisi ya Tanesco kutoka kwenye nyumba za watu binafsi.
Wakaamua kujenga ofisi kuu katika kila wilaya ili kuepusha upotevu wa...
Hawa ni baadhi ya waheshimiwa wa G-55 wakiwa wanapanga miakakati mizito namna ya kushinda majimbo waliyotia nia.
Kwa karibu hapa namuona mrembo Sirgada na mzee wa jimbo la Kawe mheshimiwa Kileo. Kule namuona mzee wa jimbo la Mwanga mheshimiwa Mchome na waheshimiwa wengine.
Mambo ni mengi muda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.