Kuna mtu ana nyumba mbili moja karibu na nyingine Buyuni, Chanika. Ni self-contained, na kila moja ina eneo la kutosha. Ni karibu na maeneo yafuatayo: Hospitali binafsi ya Tikaya (ina huduma za kawaida na kibobezi), soko la Buyuni, na ni karibu na usafiri wa kwenda au kutoka mjini. Kwa yeyote ambaye yuko interested anaweza kuwasiliana na mhusika kwa namba hii: 0784980853. Mjumbe hauawi.