kupanda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MGUBA

    JamiiForums Tanzania Kukosekana kwa umiliki wa moja kwa moja wa visima vya akiba vya uhifadhi mafuta huchangia bei kupanda?

    Serikari haina umiliki halali yaani moja kwa moja wa mafuta ya hakiba hivyo hupelekea mlipuko wa bei. Bei hupanda na kushuka hata kama kuna changamoto zinazo epukika mfano plani ya miaka kadhaa katika sekta.
  2. kagoshima

    JamiiForums Tanzania Kama mafuta yatapatikana kesho au keshokutwa Baada ya bei kupanda ntaidharau sana serikali hii

    Nilikuwa na mafuta kidogo kwenye gari. Nimezunguka vituo kibao mafuta hakuna, nimeahirisha safari muhimu. Afadhali mzuge zuge mafuta yapatikane wiki ijayo. Kama endapo mafuta yatapatika kesho Baada ya bei kupanda for sure tutajua Serikali imeshatekwa.
  3. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Mafuta ya Gari kupanda tena Jumatano kwa Tsh 300 mpaka 400. Wakubwa waneemeke

    Hili amenidokeza rafiki yangu mmoja mwenye Vituo vya mafuta. Walishakaa na Waziri wakawekana sawa na sasa ni utekelezaji. Kwa kweli jamaa anasema mama anaupiga mwingi mpaka unamwagika. Watanzania endeleeni kunywa mtori. Nyama zipo chini. Nyingi tu. Ni nyie kufumbua macho. Msilale lale. Shauri...
  4. Exile

    JamiiForums Tanzania Kwa hali hii kama ni kweli tutegemee zaidi kupanda kwa diesel na petroli

  5. mahindi hayaoti mjini

    JamiiForums Tanzania Wanaolalamika us dollar kupanda bei sana wachungulie hapo kwa jirani

    Jirani tu hapo leo imepiga 150 ksh kwa dollar moja, na kutoka kwao kuja kwa madafu ni 18.5 mpaka 19 oi.
  6. Street brain

    JamiiForums Tanzania Huwezi kupanda mlima hadi juu kileleni bila kuponda baadhi ya mimea kwa miguu yako

    Wazee wanasema: huwezi kupanda mlima hadi juu kileleni bila kuponda baadhi ya mimea kwa miguu yako. Aliye kileleni ni vyema akumbuke maumivu aliyosababisha wakati wa safari ya kupanda mlima. Hakuna aliyepata mafanikio bila kusababisha maumivu kwa wengine. Baadhi ya ndoto za dada, kaka na wadogo...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wenye Magari si huwa mnatutambia kuwa mna hela, sasa kwanini mnalalamika kupanda kwa bei ya mafuta?

    Na nyie ndiyo mnaongoza kuja na gari zenu Mitaani kutuibia Wake na Mademu zetu huku mkitamba na Kutucheka tusio na Magari. Yaani EWURA wamepandisha Tsh 400/ tu kwa kila Lita ya Mafuta mnaanza Kulia lia. Hovyo kabisa hivi mwenye Hela huwa analia lia? Akina GENTAMYCINE tunaopanda Dala Dala Kutwa...
  8. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Petroli na Diesel bei Juu. Dola yaelezwa kuwa sababu ya bei kupaa

    Hali inazidi kuwa Tete,tunarudi Kwa mwaka Jana ====== MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza bei mpya za mafuta ambazo zinaonesha Petroli imepanda kwa sh. 443 huku Dizeli ikipanda kwa 391 kwa Dar es Salaam. Kwa mujibu wa bei mpya zilizotangazwa leo na EWURA...
  9. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Ukosefu wa dola na kupanda kwa mafuta kunaenda kuathiri maisha ya Mtanzania

    Hitaji la juu la sarafu ya dola na kushuka kwa hitaji la sarafu ya shilingi inatupa picha ya kushuka kwa thamani ya shilingi,kushuka kwa thamani ya shilingi ya Tanzania kiuhalisia kunaongeza gharama za uagizaji bidhaa na kwa mtaani kunaongeza gharama za maisha katika mitaa ya Tanzania, kiujumla...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Mzee Kinana yeye na familia yake wamewahi kupanda bodaboda?

    Let us be serious hata kidogo na maisha ya hawa watoto wetu; tujaribu kufanya yale tungependa kufanyiwa. Gharama za matibabu nchini ni kubwa sana, tuwaonee huruma hawa wasiojitambua. Kama boda boda ni nzuri lini tumewahi kumwona Mzee Kinana au mtoto akiendesha au kubebwa mishikaki kwenye hizo...
  11. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania Je, upungufu na kupanda bei ya mchele, mahindi na sasa petroli unatokana na bidhaa hizi kuuzwa Kenya kwa TSH?

    Nchi jirani yetu ya Kenya imekumbwa na matatizo makubwa ya balaa la njaa tangia lock downs za COVID na ukame mfululizo. Pia tangia vita vya Ukraine imekubwa na balaa la upungufu na kupanda sana kwa bidhaa ya mafuta ya petroli na dizeli. Machafuko yanayoendelea sasa nchini Kenya yanatokana...
  12. J

    JamiiForums Tanzania SoC03 Tusichoke kupanda miti

    Nakumbuka namna ambavyo kampeni ya upandaji miti ilivyokuwa na mwitikio mkubwa miaka ya nyuma kidogo hasa mwishoni mwa miaka ya tisini na mwanzoni mwa miaka ya 2000. Kampeni Ile ni Kama ilizimika au imepungua Sana Ile nguvu yake, msingi wa hoja ya kuishadidia kampeni hii ni uhalisia wa hali ya...
  13. uran

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa timu ya Simba na Waandishi washindwa kupanda Mlima Kilimanjaro

    Jezi kwenda kuzinduliwa bila Kiongozi wa Simba, Inakuwaje? --- Baada ya kufika kituo cha Kisambionyi uongozi wa Simba umekabidhi kibegi 🎒 kwa timu maalum ya wapanda milima ambao ni mashabiki wa Simba kuendelea na safari. Viongozi na waandishi wa habari wameshuka wapanda mlima wanaendelea.
  14. Annie X6

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam haya ndiyo yatakayokutia doa hapa Mbezi Luis Stend ya daladala

    Niende kwenye hoja Moja Kwa moja. Hii stend itakuja kusababisha mauaji na viongoz kuanza kujitetea kwa kuleta sababu na matetezi. Hizi ngaz kiunganishi cha vituo viwili vya daladala. Watakuja kufa watu. Mungu aepushie mbali. Mh charamila mkuu wetu wa DSM una viongozi wasiojali utu wa watu...
  15. kavulata

    JamiiForums Tanzania Msimu huu Vigezo vya kupanda ndege ya Mama viwe wazi kwa wote

    Rais Samia katika jitihada za kukuza michezo nchini alitoa ndege ya bure kwa wachezaji na wadau wa soka nchini kwenda Algeria kuipa hamasa Yanga ya kupambana. Inafahamika kuwa wadau wa michezo ni wengi sana hivyo wasingetosha wote kupanda ndege ya Mama kwenda Algeria. Swali langu ni vigezo...
  16. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Wahaya hatuna kawaida ya kupanda Mabasi, wengi tuna Private Cars

    Siku za hivi karibuni nimeona watu wakiiponda stendi ya mabasi ya Bukoba kuwa ni stendi duni, nakubaliana nao ila nawakumbusha pia kuna kitu hawakijui au wanakijua ila hawataki kusema, sasa leo nitakisema hapa ili kumaliza utata. Iko hivi, sisi wahaya tunapenda kutumia private cars au ndege...
  17. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Siku yangu ya Kwanza kupanda Lifti za kwenye maghorofa chamoto nilikipata

    Habari Wakuu! Nimejikuta ninacheka tuu. Unajua haya mambo ya kizungu yanatutoa wengi nishai, wenge, Knockout. Yalinikuta, niliyakanyaga. Picha linaanza uncle kanipigia simu niende ofisini kwake, katika moja ya balozi za nchi ndogo za mashariki ya Ulaya, sikuwahi kufika ofisi yake tangu hapo...
  18. John Gregory

    JamiiForums Tanzania Hongera Simba SC kupanda viwango vya ubora CAF

    Kwa mujibu wa mtandao wa IFFHS, ambayo imetoa orodha ya vilabu bora kwa bara la Afrika imeonyesha simba ikishikilia nafasi ya 10 huku kinara akiendelea kuwa Al ahly ya nchini Egypt. Hongera kwa kilabu cha Simba na benchi zima la ufundi.
  19. Analogia Malenga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Mafuta yatarajiwa kupanda bei kutokana na Muswada Mpya wa Fedha

    Wakenya wanatarajiwa kuongezewa bei ya mafuta kwa zaidi ya Ksh.10 iwapo Muswada wa Fedha ya 2023 utapata idhini kutoka bungeni. Muswada huo ambao sasa uko mbele ya Kamati ya Fedha na Mpango wa Kitaifa inataka kubadilisha uamuzi uliofanywa mwaka wa 2018, ambapo VAT kwa mafuta ilipunguzwa hadi 8%...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wanaume mnaowaachia wake zenu Kazi ya kupeleka Watoto kupanda School Vans alfajiri kuweni makini

    Leo ni mara ya Tatu kila nikiwa naenda Beach Kupasha (Mazoezini) Alfajiri ili nipate Nguvu Tukuka za Kuwajibika vyema Kitandani na wale ninaowabahatisha katika 18 zangu nakutana na Wake za Watu (tena Wengine nawajua kabisa) wakiwa Wanabanduliwa / Wanalalwa na Wajuba. Nilichokiona leo na ambacho...
Back
Top Bottom