kuongezeka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Kuongezeka kwa gharama ya vifaa vya ujenzi

    Tumeshuhudia hivi karibuni ongezeko kubwa sana la gharama kwenye vifaa vya ujenzi na bidhaa nyingine za vyakula mfano sehemu nilipo nondo imetoka Tzs 18000/= mpaka 27000/=. Huo ni mfano tu. Mawaziri msaidieni Rais kupanda kwa vifaa kuna muathiri kila mtanzania pamoja na mnyonge.
  2. nyboma

    JamiiForums Tanzania Kulikoni? Msafara wa Rais Samia kuwa na magari yote haya, pia ulinzi wake umeongezeka maradufu

    Wale walioko Arusha na viunga vyake leo tumeshuhudia/kuona Mh. Raisi mama Samia Suluhu Hassan kaongezewa ulinzi mara dufu, tofouti na tulivyozoea na msafara wake umekuwa na ulinzi mkali na idadi kubwa ya askari na usalama wa taifa kitengo cha ulinzi. Pia msafara wake una magari zaidi ya 70...
  3. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa hizi dharau, Biden atawezaje kwenda kwenye hafla za hadhara

    Haya mambo yanayotokea hayajawahi kutokea hata kwa Trump Ni mwendo wa FJB (f**k joe bide) kuanzia kenye clubs, viwanja, matamasa, n.k.
  4. Tony254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nchi kumi za Kiafrika zenye Gdp kubwa. Gap kati ya Kenya na Tanzania inazidi kuongezeka.

    1. Nigeria 2. South Africa 3. Egypt 4. Algeria 5. Morocco 6. Kenya 7. Angola 8. Ethiopia 9. Ghana 10. Tanzania
  5. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Koki za kujisafishia chooni huenda zikawa chanzo kimojawapo cha kuongezeka kwa ushoga

    Hizi koki za kisasa za kujisafishia chooni baada ya kujisaidia wengine tumeziona ukubwani. Naamini si za kisasa, mimi naziita za kisasa kwakuwa nimeanza kuziona ukubwani. Nimewaza tu hapa kwa mtoto mdogo anayependa kuchezea maji pindi anapokuwa chooni akijipiga maji kupita kiasi sehemu ya haja...
  6. Mzalendo_Mwandamizi

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Kamandi ya Jeshi la Marekani Afrika afungua mazoezi ya kijeshi baina ya US na Tanzania

    Kamanda wa Kamandi ya Afrika ya Jeshi la Marekani (AFRICOM) Jenerali Stephen Townsend, alikuwa na ziara ya siku mbili nchini Tanzania, tarehe 27 na 28 Julai, ambapo alikutana na maafisa waandamizi wa jeshi na kufungua mazoezi ya kwanza ya pamoja ya kijeshi ya nchi hizi mbili toka mwaka 2017...
  7. Analogia Malenga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vifo vinavyotokana na Corona vyazidi kuongezeka

    Watu 15 wameripotiwa kufariki kwa #COVID19 siku ya Jumapili na kufanya idadi ya waliokufa kwa virusi vya corona kufikia 3775 Hadi sasa kenya imepima watu 2,053,912 ambapo watu 192,758 walikutwa na maambukizi ambapo watu 182,326 wameripotiwa kupona Watu 1,203 bado wako hospitalini ambapo watu...
  8. mitindo huru

    JamiiForums Tanzania Athari tano za kiuchumi zinazoweza kutokea baada ya kuongezeka kwa tozo za miamala

    Hii leo, Julai 15 2021 gharama ya miamala ya fedha kupitia mitandao ya simu nchini Tanzania imepanda baada ya serikali kupandisha tozo ya miamala hiyo. Sintofahamu kubwa inashuhudiwa hii leo kwa wananchi wa Tanzania ambao wengi wao ni watumiaji wakubwa wa huduma hiyo. Hali hii imepelekea...
  9. Ben Zen Tarot

    JamiiForums Tanzania Matajiri wakubwa wanapotalakiana utajiri wao unakuwa mkubwa kuliko awali

    Niwape siri kuhusu matajiri wakubwa! Kwani matajiri wakubwa wanapo talakiana utajiri wao unakuwa mkubwa kuliko walivo kuwepo mwanzoni! Mimi nitapenda kueleza kisa kimoja cha Jeff Bezos CEO wa Amazon. Huyu jamaa baada ya ndoa kudumu miaka 25 utajiri wake ulikuwa upo wa kawaida kwenye list ya...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Mazingira ya kisiasa kwa awamu hii ya sita yanaashiria furaha ya Watanzania kuongezeka zaidi

    Ninakumbuka kuwa huwa kuna Taasisi zinapima furaha ya wananchi kwa kila nchi. Kuna wakati yule Makamu Mkuu wa Chuo cha Dar-es-Salaam aliyepita Prof. Mukandara aliwahi kuongea kwenye Kongamano la Mwl. Nyerere kuwa furaha kwa wananchi wa Tanzania imepungua kwa kiasi Fulani. Sasa hizo Taasisi za...
  11. mkamanga original

    JamiiForums Tanzania Kuongezeka kwa Wimbi la wanawake kuzalia nyumbani (kuzaa kabla ya kuolewa)

    Kuna ongezeko kubwa la mabinti kuzalia home kwa wazazi kabla ya kuolewa. Nimefanya utafiti ,majibu yangu yamejuwa na ukweli, Lakini sababu kubwa ni kutokana na 1. wanawake wengi kukata tamaa, 2.umri mkubwa, 3.lakini pia nimekutana na majibu ya wanawake waliamua kushika mimba baada ya...
  12. scientificall

    JamiiForums Tanzania Nataka kuongezaka/kunenepa fasta, nipate diet gani?

    Kichwa cha habari hapo juu chahusika Baada ya kupata kazi na kuwa na uhakika wa kipato sasa nataka nishughulike na kutafuta mwili maana sifurahii huu wembamba japo sina maradhi yoyote yanayoweza sababisha hivi. Mimi ni kijana wa miaka 27 sijaoa naishi mwenyewe. Sasa nataka kuongeza mwili...
  13. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Wanaoongea peke yao wanazidi kuongezeka

    Maisha yana maajabu mengi na mojawapo ni hili la watu kuongea pekeyao achana na mazungumzo ya kimya achana na mawazo ya kawaida hiki ni kitu kilichojengwa katika wizara nyingine kabisa wizara ya mawazo halisia. Sio wendawazimu sio vichaa hawajarogwa hawajalewa ni watu wana akili zao timamu na...
Back
Top Bottom