Nataka kuongezaka/kunenepa fasta, nipate diet gani?

scientificall

JF-Expert Member
Jun 4, 2015
454
314
Kichwa cha habari hapo juu chahusika

Baada ya kupata kazi na kuwa na uhakika wa kipato sasa nataka nishughulike na kutafuta mwili maana sifurahii huu wembamba japo sina maradhi yoyote yanayoweza sababisha hivi.

Mimi ni kijana wa miaka 27 sijaoa naishi mwenyewe.

Sasa nataka kuongeza mwili fasta ni njia ipi niitumie au diety gani niitumie ili niongoze mwili angalau maana nmeamua kuongezeka mwili kiwe kipaumbele changu cha kwanza baada ya kupata kazi na sio kuvuta jiko.

Naomba mwenye ushauri anipe ntafuata ilivilivyo.

N. B.
Gharama kwangu sio issue
Njia ziwe za fasta.
 
#Asubuhi piga supu ya nyama ya ng'ombe na chapati tatu,shushia na kinywaji barid chochote.

#unaweza kaa masaa mawili tu ukaagiza hata mayai na mishikaki saba na kaglass ka maziwa sio mbaya
#Mchana sasa hapa hakikisha unaagiza kitimoto kilo moja na chips kula taratibu shushia na soda bariidi

# usiku sasa ndo mda wa kula sana kwako, maana chakula cha usiku ndo kitakufanya unenepe maana huwa hakifanyi kazi. maana wengi wanakula na kulala mda huo huo hvyo mmeng'enyo kuwa slow na chakula kugeuzwa mafuta kuwa chakula cha ziada hapo baadae.hapa hakikisha unakula chakula cha mafuta mengi mf.nyama ya nundu/mishkaki ya nundu,ukipata na chips yai la mayai manne sio mbaya weka na ile mayonaizi kwa wingi..huku kinywaji baridi kikifatia.

N.B USIKU UNATAKIWA KULA KUPITA KIASI,MAANA MLO WA USIKU NDO HUNENEPESHA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom