kuongeza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. P

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Tohara husababisha upungufu wa nguvu za kiume na kuongeza hatari ya maambukizi ya VVU/UKIMWI

    Kuna baadhi ya watu wanaamini kuwa wanaume waliyofayiwa tohara hupata tatizo la upungufu wa nguvu za kiume pindi wanapokua, na ni kundi ambalo lipo katika hatari ya kupata maambukizi ya VVU kwa urahisi ukilinganisha na wale ambao hawajafanyiwa tohara. Ukweli upoje?
  2. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Tujaribu kuongeza uzalishaji wa umeme wa gesi ili kutatua tatizo la kukatika kwa umeme

    Ni kweli kumekua na tatizo la upungufu wa maji uliosababishwa na ukame. Swala hilo linapelekea maji ya kwenye mabwawa yanayotumika kufua umeme kupungua. Lakini pamoja na hayo yote tunaweza kuongeza ufuaji wa umeme wa kutumia gesi. Tunajua asilimia 62 ya umeme tunaotumia Tanzania ni wa gesi...
  3. Tengeneza Njia

    JamiiForums Tanzania Apatikane Mbadala wa DAWASA na TANESCO ili kuongeza ushindani na ufanisi wa utoaji huduma

    Wadau, Katika kipindi chote cha kuona serikali tofauti tofauti hapa Tanzania kero ambazo zimekuwa zikijirudia rudia sana ni hii ya upatikanaji wa maji na umeme. Watanzania wameshazoea kuiomba serikali kupewa huduma hizi kitu ambacho ni haki yao tena ya msingi kama walipa kodi. Ifike mahali...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Roboti yasaidia kuongeza ufanisi wa uzalishaji wa pombe kiwandani mkoani Anhui, China

    Roboti ya kutengeneza pombe inafanya kazi katika kiwanda cha kutengeneza pombe mjini Fuyang, mkoani Anhui, China.
  5. I

    JamiiForums Tanzania Gharama za Himars 'zapaa' na Taiwan kuongeza malipo ya dola milioni 400 ili kupata ingizo la kwanza la silaha hizo hatari

    Mifumo hiyo itaanza kuwasili mwaka 2024 kwa mujibu wa gazeti la Liberty Times la Taiwan. Taiwan inahitaji kuagiza jumla ya mifumo 29 ya Himars kutoka nchini Marekani. Makubaliano ya awali kati ya Taiwan na Marekani yalisema kwamba uagizwaji wa kwanza ungegharimu jumla ya dola milioni 300.9 kwa...
  6. Dr Msaka Habari

    JamiiForums Tanzania Kongole Precision air kwa kuongeza idadi ya safari kati ya Dar es salaam kwenda Hahaya- Anjouan

    Shirika la Ndege la Precision Air nchini Tanzania limeongeza idadi ya safari zake kati ya Dar es Salaam kwenda Hahaya-Anjouan Comoro hadi mara 3 kwa wiki ikiwa ni wito uliotolewa na Balozi wa Comoros nchini Tanzania kufuatia uwepo wa fursa mbalimbali za utali, kilimo na Afya baina ya Tanzania na...
  7. MK254

    JamiiForums Tanzania G7 waazimia kuongeza jitihada baada ya Urusi kuanza kushambulia uraiani

    Baada ya Urusi kushindwa kwenye frontline na kukiuka miiko ya kivita na kuanza kupiga mabomu yake uswahilini, G7 wamekutana kwenye kikao cha dharula na kuazimia kuongeza juhudi ili kuhakikisha hizi mbinu za Urusi zitadhitiwa pia ili ngoma irudi kwenye mapigano baina ya wanajeshi. =======...
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Grammy's inafikiria kuongeza kipengele cha Afrobeats kwenye tuzo

    Mkurugenzi Mtendaji wa Recording Academy, Harvey Mason Jr. amesema kuwa Grammys walikuwa wanafikiria kuongeza kitengo cha tuzo kwa upnade wa Afrobeats. Akizungumza na waandishi wa habari nchini Ghana, Mason alisema amekuwa akikutana na wadau wa muziki huo ili kuona uwezekano. "Tuliita...
  9. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Mwanamke akiwa hivi hata hamu ya michepuko ama kuongeza mke inapungua, unakuwa umepata pumziko sio majuto

    kwa ufupi nyumbani pakiwa hivi unapa miss sana, unamuwaza mke na watoto na unapata ari ya kuwapigania.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ukistaajabu ya tozo za mabenki utaona tozo ya kuongeza salio kwenye laini za simu

    Mwigulu Nchemba na tozo nyingine tena. Tozo hii ni tozo ya laini ya simu. Yaani Ukiweka vocha tu kwenye simu yako wanakukata Tozo, licha ya ukweli kwamba kila ukiweka salio kwenye simu yako unakatwa kodi ya asilimia 18 ya VAT. Halafu Mwigulu Nchemba anakuja na habari zilezile za kodi ikajenge...
  11. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Dawa za kuongeza makalio zinaua figo, maini na kusababisha saratani

    Wakati baadhi ya wanawake wakizichangamkia dawa za asili za kuongeza ukubwa wa makalio, watalaamu wamesema mpaka sasa hakuna dawa iliyothibitishwa na Mamalaka ya Dawa na Vifaatiba (TMDA) hivyo wajiepushe nazo. Tahadhari hiyo inatolewa huku matangazo ya dawa hizo pamoja na za kuongeza matiti na...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kuongeza masomo ya ziada nje ya Syllabus ya program husika

    Habari wadau! Ningependa kufahamu kama kufanya hizo course/masomo yaliyo nje ya program husika yatatokea kwenye Transcript? Mfano Bsc Economics nikaongeza soma kama information System
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Serikali inaangalia uwezekano wa kuongeza malipo ya mafao ya wastaafu

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Profesa Joyce Ndalichako amesema uamuzi wa kuongeza malipo ya kila mwezi utafanyika baada ya tathimini kuona uhimilivu wa mifuko ya Hifadhi ya Jamii. Ndalichako alikuwa akijibu swali kuhusu kuwalipa warithi 67% ya...
  14. Richard

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Upinzani utaanzaje kujipanga kwa uchaguzi wa serikali za mitaa wa 2024 na hatimae uchaguzi mkuu wa uraisi wa 2025 ndani ya mazingira magumu?

    Lengo la mada hii ni kuona wale wapenda demokrasia na siasa za kweli wakijongea hapa na kushusha nondo na madini mbalimbali katika kufanya kitu chitwa "brain storming". Katika muktadha huo basi, tutaweza kuangalia sera za chama cha CCM ambacho ndicho chaongoza serikali ya Tanzania kwa sasa na...
  15. Alexander Lukashenko

    JamiiForums Tanzania Usajili kuongeza nguvu Yanga

    Baada ya kuitazama Game yetu jana tar 11 sept 2022, tukimgaragaza mtu goli nne kwake. Nilifanya analysis yangu nikaona kuna maeneo yanahitaji kuongezwa Nguvu ili tufike mbali kimataifa. Tunahitaji kuongeza baadhi ya wachezaji ili kuimarisha kikosi chetu kwa ajili ya mapambano. Naamini GSM na...
  16. Equation x

    JamiiForums Tanzania Jinsi unavyozidi kufanikiwa, ndivyo unavyozidi kuongeza maadui

    Kama ulikuwa na biashara moja, na ukaongeza nyingine n.k jua ya kuwa unazidi kuongeza maadui; na adui mbaya zaidi ni yule mtu wako wa karibu, anaweza kuwa ndugu, kaka, dada, shangazi, mjomba n.k hawa wengine wa nje ni wapitaji tu, watakutikisa na watakuacha. Hata wale unaowashirikisha kwenye...
  17. I

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tuboreshe Upatikanaji wa Vitendeakazi vya Teknolojia na Digitali kuongeza Pato la Taifa

    Suala la ajira kwa vijana ni shida inayotusumbua nchi yetu kwa muda mrefu sasa. Moja ya masuluhisho ambayo yamekuwa yakipendekezwa ni vijana kujiajiri kupitia teknolojia, hasa mifumo ya mawasiliano ya kidigitali, kama mitandao ya kijamii, tovuti, programu, michezo n.k. Tuangalie kijana ambaye...
  18. H

    JamiiForums Tanzania SoC02 Namna viwanja vya wazi vinatumika kuongeza watumiaji wengi wa madawa ya kulevya Dar es salaam

    Serikali ilikua na lengo zuri sana kutenga maeneo ya wazi kwaajili ya matukio ya kijamii kama vile walsha, michezo, matamasha na vinginevyo vifananavyo na hivyo. Kama ilivyo adha kwamba kila kizuri kina kasoro basi, kwa utafiti wangu nilioufanya kulizunguka jiji la dar es salaam nimegundua...
  19. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania UAE watamba na teknolojia ya kupanda mawingu ili kuongeza kiwango cha mvua kwa mwaka

    Umoja wa Falme wa Kiarabu umezidi kuonesha umwamba katika kukuza teknolojia ya kutengeneza mvua ambapo kwa sasa wanapanda mawingu ili kutengeneza mvua. Wataalamu wa UAE wamesema teknolojia hiyo sio tu ile ya kutuma ndege na kuweka kemikali kwenye mawingu bali ku-modify hali ya hewa kwa ujumla...
  20. Fund man

    JamiiForums Tanzania Hatua gani za kufuata ili kuongeza mke(mke wa pili)?

    Habarini wana JF. Naomba msaada je, ni hatua gani za kufuata ili kuongeza mke(kuoa mke wa pili)? Hapa nazungumzia wale wasio waislam. Karibuni.
Back
Top Bottom