kuongeza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. AbuuMaryam

    JamiiForums Tanzania Usimuamini Mwanasiasa hata siku moja: Hili kuongeza mshahara lipo kisiasa sana

    Mwanasiasa akiingia ndani na akakwambia nje mvua inanyesha toka kahakikishe... Mwanasiasa akisema anakupenda... Geuza kwa upande wake kinyume... Akisema amekufanyia hivi au vile... Chunguza vizuri.. Kuna nini baadae... Mkikaa baadae mkatulia kwenye akili zenu mtajua tumepigwa changa la...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ni kinara wa maslahi ya wafanyakazi

    RAIS SAMIA NI KINARA WA MASLAHI YA WAFANYAKAZI. Na Bwanku M Bwanku. Jana Mei Mosi, Dunia iliadhimisha Siku ya Wafanyakazi na Nchi yetu ilifanya Maadhimisho haya Kitaifa Jijini Dodoma ambapo Rais Samia alikuwa Mgeni rasmi. Na Mimi Bwanku M Bwanku leo Jumatatu Mei 02, 2022 kwenye Gazeti la...
  3. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Pale mke anapofungwa miaka 30 jela na hurusiwi kuongeza mke, hii hali inatatuliwa vipi?

    Katika sheria za dini za kikiristo ni kwamba hurusiwi kuongeza mke na kifo pekee ndicho cha kuwatenganisha, kinyume na hapo ni nje ya sheria za ukristo. Sasa inapotokea mfano mke wako anafungwa jela miak 30 ama hata kifungo cha maisha na bado hamna hata mtoto, ndoa bado ilikuwa mbichi, hapo hii...
  4. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Mazungumzo yanafanyika kwa Norway kuongeza uzalishaji wa mafuta na gas

    Mawaziri wa nishati wanaishauri Norway kuongeza uzalishaji wa gas na mafuta ili kuziba pengo la gas na mafuta kutoka Urusi. Bulgaria na Poland wanategemea kiasi kikubwa cha nishati kutoka Urusi. Hata hivyo hatua za kuongeza uzalishaji zinahitaji michakato, mpaka kufikia michakato hiyo labda...
  5. BigTall

    JamiiForums Tanzania TMDA: Wanaotumia dawa za kuongeza nguvu za kiume watakufa

    Mkurugenzi Mkuu wa TMDA, Dk. Adam Fimbo amesema dawa za kuongeza nguvu za kiume zinaongoza kwa sasa kwa kununuliwa zaidi kwenye maduka makubwa ya dawa nchini. Watumiaji wa dawa hizi watakufa kwa sababu zinapanua mishipa ya damu. Mishipa ya kichwani ikishapanuka, itapasuka na hivyo mtumiaji wa...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Chongolo: CCM itaendelea kuweka msukumo kuboresha miundombinu ya barabara na vivuko Kigamboni

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Daniel Chongolo amesema CCM itaendelea kuweka msukumo kuhakikisha miundombinu ya barabara na vivuko inaboreshwa Kwenye Wilaya ya Kigamboni kwa sababu ni lango la uchumi wa Taifa. Amesema kwa sasa asilimia 90 ya bidhaa ya mafuta yanayotumika nchini...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kuongeza makato ya mkopo benki?

    Habarini! Najua kuna kila aina ya wataalamu humu. Nauliza kuna uwezekano wa kuongeza makato yako benki ikiwa mdaiwa umeamua hivyo? Yaani labda ulikuwa unakatwa 200,000 kwa mwezi, sasa umepanda daraja labda na unataka kilichoongezeka kiende ktk makato yako ili umalize haraka deni (ukatwe...
  8. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Ukristo unasema mwanamke anakuheshimu kabla ya ndoa ila ukishamuoa hufungua makucha yake. Dini (sio maandiko) imekataza kuongeza mke

    Wanawake ni viumbe wa mashindano, kwenye ukristo kabla hujamuoa mapenzi huwa ni moto moto maana geti la ushindani lipo wazi, akizingua anabadilishwa. Utapewa mapenzi moto moto huku nia yake ikiwa kukuingiza kwenye mtego wa ndoa, hapo kwenye ndoa ukishanasa ndio umefunga rasmi geti la ushindani...
  9. sky soldier

    JamiiForums Tanzania mwanaume mkristo anaenyimwa unyumba, mke hawawezi shiriki tendo, kuhamishwa mkoa kikazi, na hurusiwi kuongeza mke, mnakabilianaje na hii hali

    Hii hali huwa imekaaje kwa wakristo. Unakuta -Mke anakunyima game maksudi kabisa - Mke hawezi tendo labda ni mgonjwa -Mnaishi Dar ila mke anahamishiw kigoma. .... Na hurusiwi ongeza mke. hii hali dhambi ya uzinzi inaepukika?
  10. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Uke wenza: Ni adhabu ipi inamstahili mwanamke anayechukia ama kujaribu kukwamisha mpango wa mume wake kuongeza mke mwengine?

    Imeshaandikwa katika vitabu vitakatifu mwanaume anaweza kuwa mpaka na wake wanne kwa mpigo, maana kwa jinsi mwanaume alivyoumbwa kaumbwa kuweza hili. (hata kwenye Biblia kuna manabii wengi sana walikuwa na wake wengi) Sababu za kuomgeza mke inaweza kuwa mke wako ni tasa na mmejaribu sana ila...
  11. Titia

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri, nataka kufuga kuku chotara kidogo kwa ajili ya kuongeza mzunguko wa hela

    Habari wana jamii, Naomba mnishauri, mimi ni mfanyakazi serikalini. Muda mrefu nafikiria biashara ya kufanya lakini nashindwa. Sasa hivi nimeamua kuanza kufuga kuku chotara. Nataka kununua kuku chotara vifaranga mia moja. Nivitunze na kuvilisha vzr, lengo nataka muda ukifika 40 niviuze halafu 60...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Ili Kuongeza kipato kwa Serikali nimewaza kitu kimoja

    Kupunguza msongamano mjini nashauri serikali iuze petrol lita moja tsh 5,000. Na pia serikali izingatie sana uingizaji wa magari nchini. Magari ya maana ni kuanzia CC 3000 PLUS angalau ya kuaanzia mwaka 2015. Iwe gari zinazoingizwa nchini zisiwe zimepita miaka 5 toka kutengenezwa na zisome...
  13. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Sahihi Serikali kuongeza ndege nyingine tano ilihali huduma za afya bado zipo duni?

    Nimeona kwenye news kuwa serikali imefanya malipo ya ndege tano mpya. Dreamliner moja, boeing 737-9 mbili na Dash 8 q 400 moja. Malipo haya kwa haraka haraka yanakadiliwa kugharimu zaidi ya tril 1.8. Kwa jinsi watanzania wanavyohangaika kupata huduma za afya ni bora pesa hizi zingewekezwa...
  14. Fifteen

    JamiiForums Tanzania Ukipewa nafasi ya kuongeza Sheria moja kwenye soka ungeongeza ipi?

    Habari wanamichezo, Ikatokewa umepewa nafasi ya kuongeza Sheria moja mpya kwenye mpira wa miguu ungeongeza ipi?
  15. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Nishati igawanywe mara mbili ili kuongeza ufanisi

    Wizara ya nishati ina mambo mengi makubwa, Kuna mafuta yanayo endesha uchumi wetu. Kuna gesi, sekta iliyo na matrillioni ya gesi ambayo ikiiuzwa mapema hatuta hangaika pesa za kuendeshea nchi. Mwisho kuna umeme, unaoimulika Tanzania. Napendekeza hii wizara ili kuharakisha haya mambo tuigawe...
  16. TECNO Tanzania

    JamiiForums Tanzania TECNO Yatangaza Teknolojia ya Ubunifu ya Kuongeza Ufanisi wa RAM na Programu

    Kampuni ya simu TECNO ilitangaza kutolewa kwa teknolojia mpya ya upanuzi ya Random Access Memory (RAM) kwa watumiaji wake ili kuongeza uwezo wa RAM wa simu zao kwa ufanisi bora. Teknolojia hii bunifu itapatikana kwa watumiaji wa CAMON 18 na SPARK 8 katika muda wa wiki mbili zijazo. Teknolojia...
  17. itel Mobile Tanzania

    JamiiForums Tanzania Itel kuongeza idadi ya watumiaji wa smartphone Tanzania

    Hivi karibuni serikali kupitia wizara ya Habari Mawasiliano na Teknolojia ilitoa takwimu za watumiaji wa simu janja/smarthpone na kusema ni 27% tu ya Watanzania wanaotumia smartphone. Pengine mtu anaweza kujiuliza kwanini kiwango hiki ni kidogo sana ukilinganisha na idadi ya watu waliopo...
  18. Mtamba wa Panya

    JamiiForums Tanzania Algeria yapuuzia maombi ya kuongeza uzalishaji wa gesi kufidia gesi ya Urusi

    Taifa la Algeria mpaka sasa limeendelea kuwa "Neutral" na limekataa kuongeza uzalishaji wake wa gesi kwa ajili ya soko la Ulaya kufidia "gepu" lililoachwa na nchi ya Urusi, Vyombo vya habari vya nchi za kiarabu vimeripoti. Miundombinu ya LNG Msimamo huo wa Algeria umedhihirisha umuhimu wa...
  19. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Russia: Benki Kuu yaongeza riba kudhibiti thamani ya shilingi na mfumuko wa Bei

    Benki kuu ya Urusi imetangaza kuongeza kiwango chake kikuu cha riba kufikia 20%, kutoka 9.5%, ili kukabiliana na hatari ya kushuka kwa thamani ya fedha yake na mfumuko wa bei wa juu, huku maafisa wakishindana kudhibiti vikwazo kutoka kwa vikwazo vya Magharibi. Moscow pia imeamuru makampuni...
  20. TECNO Tanzania

    JamiiForums Tanzania Je, wajua kuwa unaweza kuongeza uwezo wa RAM kwenye simu yako?

    Toleo letu jipya la simu za CAMON 18 Series ndio simu janja kwa sasahivi yenye sifa kabambe. Sifa kubwa zinazopatikana katika simu za CAMON 18 Series ya kwanza ni GIMBAL CAMERA hii ni feature inawezesha video kuwa clear na steady, maana yake unaweza kurekodi video hata kama upo kwenye movement...
Back
Top Bottom