kuomba

  1. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania Waziri Ummy Mwalimu kuomba World Vision mshirikiane kujenga madarasa tozo mnapeleka wapi

    Mhe Ummy ni Mgeni rasmi kwenye sherehe ya maika 40 ya World Vision Dodoma, anamuomba Mkurugenzi wa World Vision Gilbert washirikiane kujenga madarasa. Najiuliza walisema tozo zinatosha kabisa kwenye ujenzi wa madarasa, madawati na Hospitali hili la kuomba msaada inakuwaje tena, hapa nadhani...
  2. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Kwenye Barua ya Spika Ndugai kuomba radhi bado anatudanganya Wakristo, akiri wazi kuwa yeye Imani imempiga chenga

    Kwa mujibu wa kanuni za bunge ni marufuku kuzungumza kitu usichokuwa na uhakika nacho bungeni Ndugai amepotosha makusudi hata tusipozingatia hicho anachokisema yeye aliponyokwa lakini hata kwenye Barua yake bado anapingana na bibilia (luka 2:4) angalia Maneno yaliyoblodiwa kwenye Barua yake uone...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Tanesco Morogoro kila mara ni kuomba radhi tu?

    SHIKRIKA LA UMEME TANZANIA TANESCO MKOA WA MOROGORO. TAARIFA YA KUOMBA RADHI KUKOSEKANA KWA HUDUMA YA UMEME BAADHI YA MAENEO YA MKOA WA MOROGORO. Shirika la umeme Tanesco linaomba radhi wateja wetu wanaotumia laini ya Tungia,Mzinga,Kilosa,Mikese kwa kukosa huduma ya Umeme usiku wa kuamkia leo...
  4. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Taliban waichukua Kabul, Je Waarabu kuomba msamaha Marekani na kuwaomba warudi kuikomboa nchi

    Haya yanatokea wakati wanamgambo wa Taliban leo wakiuteka mji mwengine mkuu wa mkoa wa Ghazni ulioko kilomita 130 kusinimagharibi mwa Kabul, huu ukiwa ni mji wa kumi uliotekwa na waasi hao katika kipindi cha mashambulizi ya wiki nzima kote Afghanistan. Kutekwa kwa mji wa Ghazni ni pigo jengine...
  5. demigod

    JamiiForums Tanzania TFF Yatoa Rukhsa Klabu Za Ligi Kuu Kusajili Wachezaji 12 Wa Kigeni

    Juzi hapa niliwapenyezea za chini ya kapeti. Wengi walinijia Inbox na kuniuliza hizo habari nimezipata wapi ila sikuwajibu. Tetesi: - Walace Karia akubaliana na ombi la Simba SC kuongeza Idadi ya Wachezaji wa Kigeni kufikia 12 Sasa yametimia! Mabadiliko hayo ya kikanuni yamefanyika ndani ya...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Lazima kuna sababu za msingi sana kwa Msumbiji kuomba msaada wa kijeshi Rwanda kukabili waasi badala ya Tanzania ambao wana undugu nao wa damu

    Kuna wakati Tanzania ilijulikana kwa umahiri katika mapambano ya kivita, na jeshi letu JWTZ liliaminika sana katika uwanja wa mapambano. Hata waasi sehemu kama DRC walikuwa wakisema wazi, kwamba hawakuogopa kukabiliana na jeshi jingine lolote isipokuwa JWTZ ndio waliwaogopa sana. Tulijenga sifa...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Jaji Mkuu anapaswa kuomba Magereza yaongezwe au anapaswa kusaidia kupunguza mahabusu Magereza?

    Ukishangaa ya Musa utastaajabu ya firauni, nchi hii tunazidi kupoteana na Kama siyo kupoteana Basi tunazidi kuzama. Unapomsikia Jaji Mkuu akaiomba Magereza yaongezwe lazima ushangae, maana Magereza yaliyopo sasa yamejaa mahabusu. Badala akae na Watumishi wa mahakama wajadili kupunguza mahabusu...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Je, kutakuwa na awamu nyingine kuomba vyuo?

    Wakuu ndugu yangu kachelewa kuomba chuo hivyo nauliza kutakuwa na awamu nyingine baada ya kufungwa 05/08/2020 kufungwa? Asante
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Baada ya 'Kulikoroga' na kuona hapati 'Sapoti' ya Wanafiki wengi, hatimaye Haji Manara apanga Kuomba Radhi na Kuwaaga Wana Simba SC

    Taarifa ikufikie popote ulipo kuwa muda wowote ule kuanzia sasa aliyekuwa Msemaji wa Simba SC Haji Manara anapanga Kuzungumza na Vyombo vya Habari Kuwaomba Radhi na Kuwaaga Wana Simba SC wote. "Mimi ni Binadamu sijakamilika na siyo Malaika hivyo yawezekana nina Mapungufu yangu na kuna...
  10. Mzalendo_Mwandamizi

    JamiiForums Tanzania Baada ya Lema kuomba michango ya nauli ya "Kuzunguka Dunia Nzima," Sasa kuna tisheti za "He's Not a Terrorist" 🤔

  11. ngotho

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuomba mkopo..

    wakuu habari za kushinda???.. ndugu zangu wakuu.. naomba mwenye kujua hili anisaidie na aseme lolote.. nilipokuwa naomba mkopo.. nilijaribu kuwa makini sana na kuweka all required details kulingana na current guidline.. cheti cha kuzaliwa na cha kifo niliviatach .. lakini baada ya kumaliza...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Ombi: Vyuo vya Ualimu Kilimo vya Serikali kwa Diploma 2021

    Jamani naomba link ya kuniunganisha kuomba online vyuo vya Diploma ya ualaimu kwa Chemia na Biology au Vyuo vya kilimo. Nimeangalia NACTE sioni Link pakuomba. Mwanafunzi ana CEE ya CBG. Asanteni Sana
  13. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Ili mtu au taasisi iweze kuomba donation kwa Tanzania inatakiwa kuwa na sifa zipi?

    Habri wakuu. Kwa wenzetu mtu amaweza kuanzisha kitu na akahitaji donation kwa wale walioguswa kuchangia. Kama vile wana CHADEMA walivyochangia kupata pesa ya faini. Au kama tulivyomchangia Tundu Lissu alipopatwa na yale majanga. Au watu wanapoamua kuichangia yanga. Lakini nafikiri michango yote...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Serikali inatudanganya kuhusu Corona au ni siasa za kuomba hela IMF na Europian Union?

    Jana ilikuwa final za Euro 2020, 95%ya mashabiki wameingia uwanjani bila barakoa, chini za wenzetu wanaona haya mambo ya barakoa ni UPUUZI, England imetanganza from 19th July hamna haja ya Barakoa Sasa serikali ya Mama Samia kila siku mabarakoa na kuwatia watu hofu Nawashukuru watanzania...
  15. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wanakosea kwenye mpangilio wa kuomba Katiba Mpya

    Mimi ni mdau ambaye naunga mkono sana mabadiliko ya Katiba lakini mpangilio wa sasa ambao unaongozwa na CHADEMA sijaupenda na hautasaidia mafanikio haya kwasababu zifuatazo 1. Rais mpya Samia hawezi kukubali kufanya katiba wakati mapema kwa kuzingatia ameingia majuzi tu na kachukuwa madaraka...
  16. Msela Lowkey

    JamiiForums Tanzania Msaada: Hatua za kuomba mkopo kwa Diploma

    Habari wakuu, Hivi zipi process za kuomba mkopo kwa Diploma ambao awana transcript yan maanisha ambao atújamalza semister ya mwisho. Msaada wakuu
  17. T

    JamiiForums Tanzania Itapendeza zaidi kuomba radhi, kulinda hadhi ya kuendelea kuitwa mama

    Mama omba radhi Watanzania kauli yako ya kusubiri kwanza kufufua uchumi ndiyo turuhusu marekebisho ya katiba na mikutano ya kisiasa hii umechemka. 1. Utachukiwa kuliko hata JPM 2. Utapoteza heshima ya kuitwa mama 3. Utazalisha akina Sabaya na Makonda wengi kuliko JPM 4. Unaweza kuwa Rais wa...
  18. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Chato: Wauguzi wahamishwa kituo madai kuomba wagonjwa rushwa 90,000/-

    WAUGUZI wawili wa Kituo cha Afya cha Bwanga wilayani Chato mkoa wa Geita, wamehamishwa, kwa kutuhumiwa kuomba Sh. 90,000 kwa wagonjwa waliokuwa wamelazwa. Wanadaiwa kuomba fedha hizo kwa wagonjwa ili kuitumia kama nauli kwenda kufuata damu katika vituo vingine vya afya kutokana na kituo...
  19. M

    JamiiForums Tanzania NMB tuoneeni huruma, kiwango mnachokata baada ya kuomba risiti ni sh10,000 -- ni kubwa mno

    Niende moja kwa moja kwenye mada, leo nimekwenda kuchukua fedha kwenye ATM zao na nikaomba risiti, kiwango kilichokatwa nikikubwa mno (sh 10,000). Hii gharama ya huduma ya kibenki ni kubwa mno, sikuamini macho yangu, ilibidi niangalie mara mbili kama ni sh 10,000 au 1,000. Nawashauri NMB...
  20. KIBEBENYEKE

    JamiiForums Tanzania Je, naweza kuomba chuo tena baada ya kumaliza mosomo kama mwaka wa kwanza?

    Naumba ushauri ndugu zangu mm nasoma chuo kikuu ila nipo mwaka wa mwisho na semester ya mwisho je naweza kuomba tena chuo kwa kozi nyengine kama mwaka wa kwanza na baada ya kumaliza semester hii kukubaliwa kuendelea na kozi nyingeni kwa mwaka huu mpya wa masomo uko Bado sijagraduenti.
Back
Top Bottom