kuomba

  1. A

    TAMISEMI mfumo umeruhusu wasio walimu kuomba ajira

    Kwenu watendaji wa Tamisemi. Kuna vijana wengi wameomba ajira za ualimu ambao sio walimu na mfumo umewakubali kabsa bila shida Sasa kwa ushauri tu muanze na mchujo wa vyeti vya chuo kabla ya kitu kingine mtanishukulu badae
  2. H

    Hii ya mwanamke kuomba 100, 200 hii imekaaje?

    Nawatakia sikukuu njema Jf Ndugu zangu mwanamke ninaishi ishi naye amepata trip ya kikazi kwa miezi 6 sasa hivi inakaribia kumaliza mwenzi mmoja tangu aanze safari yake nikabaki mpweke. Kwa hulka zetu na kibailojia tulivyoubwa huwezi ukaakaa miezi bila kufanya mapenzi itakutesa Sana mwisho...
  3. L

    Kuhusu NACTE registration number kwenye kuomba ajira za ualimu

    Habari za leo wakuu. Kwa wale wenye diploma za ualimu tunaoomba nafasi za ajira tamisemi kwenye kipengele cha NACTE reg number tunajaza namba gani naona kwangu inagoma. Kuna namba iko kwenye cheti cha chuo ila nikiweka haikubali niweke nta level pia niattach cheti.
  4. DR HAYA LAND

    Mwanamke ukimtongoza anajiona tayari hiyo ni ajira, kutwa kuombaomba hadi kiberiti

    Why women fail to fight until they get Life and end up giving up naked to live with every Man who seduces them turns him into a source of money But we galla Love for them most of women are shit
  5. mwenye shamba

    Je, aliyewahi kuacha kazi anaweza kuomba tena kazi na akapata?

    Wakuu kwema? Wayback kidogo bro wangu aliajiriwa serikalini sekta ya afya huko mtwarwa, alifanya kazi kwa miaka 3 na akaacha kazi kwa sababu anazozijua yeye. Baada ya muda kupita maisha yamemnyoosha vilivyo,nimeona juzi anadai amefanikiwa kutuma maombi Swali; Je, anaweza kuajiriwa tena?
  6. gimmy's

    TAMISEMI kama mmeshindwa kuandaa mifumo mizuri ya watu kuomba ajira ni bora mkarudisha zama za posta. Mfumo umekuwa usumbufu

    Wanabodi salaam! Serikali kupitia Tamisemi wametangaza ajira tar 20 mwezi huu kwa kada ya afya na elimu.Tunaishukuru serikali kwa hizi ajira kwani kimsingi hali ya ukosefu wa ajira imekuwa janga nchini. Tatizo lililopo ni mfumo(system) kwenye uombaji hizi ajira unamatatizo yanayopelekea watu...
  7. K

    Ni mbinu gani huwa zinatumiwa na viongozi wa nchi za kiafrika kwenda kuomba hata msibani

    kati ya vitu vinavyonishangaza ni kitendo cha viongozi wa nchi za kiafrika kwenda kutembeza bakuri huko kwa mabeberu hata kama na wao vyuma vinakuwa vimewakazia nakumbuka mwaka 2007 kipindi kile cha financial crisis ya kule marekani mzee wa msoga hakukoma kwenda kuomba omba pesa kule kwa Obama...
  8. Meneja Wa Makampuni

    Barua za kuomba ajira za TRA utumishi tunaandika kwa mkono au Microsoft Word?

    Marafiki naomba kuuliza. Hivi barua za kuomba ajira za TRA utumishi tunaandika kwa mkono au Microsoft Word?
  9. Wababa13

    Nina Diploma ya Community Development. Kwa course hii naruhusiwa kuomba kazi ya Tax Management Assistant ya TRA?

    Habari za muda huu kwa mara nyingine, nina cha NTA Level 6 course ya Maendeleo ya Jamii. Naruhusiwa kuomba kazi ya Tax Management assistant II?
  10. JF Member

    Pesa za Anwani ya Makazi zimepigwa? Barua ya kuomba wafanya biashara kuchagia ya nini?

    Nimepata hii barua ninmesikitika Sana. Wakati wa uzinduzi tuliambiwa pesa ipo. Sasa hii barua ni ya Nini? Au ndio kura kwa urefu wa kamba yake? Huku namuona waziri akiwa anatembea na Choppa. Nazani tumeona. Hii barua inamaana gani kwetu wananchi?
  11. M

    Ni njia gani sahihi unaweza kuitumia kuomba nafasi ya kujitolea ktk kampuni

    imagine kuna kampuni unaifahamu na hakuna mtu unayemfahamu pale lakini unataka kuomba nafasi angalau ya kujitolea ili upate angalau uzoefu hebu tupeane mbinu unaanzaje kufika na kujitambulisha, na ukifika haswa unatakiwa umuulizie nani ambaye atakusimamia mpka upate hiyo nafasi tuu maana...
  12. B

    Rais Uhuru atoa neno baada ya bodaboda kumbaka Bibi Mzungu

    Baada ya boda boda mmoja domo zege huko Kenya kufanya yake, rais Kenyatta amelazimika kutoa somo: "Kama uko na haja na mtoto omba pole pole." Amesikika Kenyatta. Kwa hakika rais huyu hajawahi kuishiwa masomo kwa hadhira zake. Ikumbukwe Dodoma hakutuacha bila bila na mambo ya azana. ========...
  13. BigTall

    Iringa: Vijana waeleza wanatishiwa na wazazi wao wakitaka kuomba mikopo

    Imeelezwa kuwa kutokana na uelewa mdogo na hofu ya baadhi ya wazazi juu ya mikopo mbalimbali inayotolewa na Halmashauri na taasisi nyingine za kifedha imesababisha kurudisha nyuma maendeleo ya baadhi ya vijana katika Wilaya ya Mufindi Mkoani Iringa ambao wamekuwa wakizuiwa na wazazi wao...
  14. allen sanga

    Je, inakubalika kuomba kazi tena utumishi wakati nipo kweme tasisi ya serikali kwa mwaka mmoja wa matazamio (probation)?

    Inawezekana ku apply kazi tena utumishi na huku nipo kwene tasisi ya serikali ndani ya mwaka wa kwanza wa matazamio (probation)?
  15. V

    Msaada wa kuomba kazi

    Habari wanajamii forums Naomba ushauri wenu kwa wanaojua Sana au kidogo juu ya hiki ilimradi nipate dondoo ata kidogo tuu ni hivi nimemaliza chuo mwaka jana nilisomea course ya education(ualimu) Sasa Kama mnavyojua ajira ni ngumu wandugu na mtaani ni kugumu usiambiwe. Sasa katika pita pita za...
  16. Iamhonest

    Msaada wa tarehe za kuzaliwa za wazazi kwenye tovuti ya kuomba passport ya kusafiria

    habari zenu. samahani nahitaji msaada ninafanya maombi ya passport kubwa ya kusafiria lakini nilipofika kwenye page ya kuingiza taarifa za wazazi baba na mama ninapata error inayosema tarehe siyo sahihi na wakati tarehe hizo zipo sahihi naweza kufanya nini maana bila kurekebisha hapo siwezi...
  17. 89N

    Naomba kujua namna ya kuhamia kufundisha vyuo vikuu, kutoka kuwa mwalimu wa sekondari

    Wakuu samahani, naomba msaada namba ya kuomba kibali Cha kuhamia kufanya kazi vyuo vikuu, kutoka kwenye shule ya sekondari (halmashauri). Ikiwezekana na sanduku la posta ni lipi.
  18. Mystery

    Lengo la Serikali ya CCM ni kuona Mbowe akisalimu amri na kuomba msamaha kwa Kesi ya ugaidi inayomkabili?

    Tulishuhudia hapo majuzi, Jaji Tigana akifanya uamuzi ambao umekuwa kinyume cha matarajio ya mamilioni ya watanzania, kuhusu Kesi ndogo inayohusu Kesi ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema na wenzake 2 ya kutaka kuchoma moto vituo vya mafuta na kutaka kupanga njama za kutaka kuwadhuru...
  19. Chura

    Tafakari juu ya maisha ya watu mashuhuri kama Prof. Jay na uhalali wa kuomba michango ya matibabu

    Anaandika mdau kutoka Facebook, Sibezi upendo wa serikali yetu chini ya mh.@Samia Suluhu lakini hatua ya serikali kutangaza kugharamia matibabu ya ndugu Prof. Jay ni aibu kwa taifa. Ndugu yetu Joseph Haule 1. Amekuwa msanii mkubwa hapa nchini kwa zaidi ya miaka 20 basi tuseme hakukosa 1DOM...
  20. Idugunde

    John Heche: Haji Duni na wenzake wanatumika na CCM kuua demokrasia. Mbowe hawezi kuomba msamaha kwa kosa la kubumba

    Akiongea leo, John Heche amesema kuwa "Akina Duni Haji ambao wamekuwa na historia nzuri lakini sasa wanatumika na CCM kuharibu ujenzi wa demokrasia, Freeman Mbowe hawezi kuomba msamaha kwa kesi hii ya kutengeneza"
Back
Top Bottom