Calvin 45
Member
- Aug 7, 2019
- 7
- 0
Wakuu habari za muda huu, mimi ni muhitimu wa diploma mwaka huu nahitaji kuendelea na elimu ya juu.
Nilikuwa naomba kufahamishwa je nilazima ukiwa unaomba mkopo wa elimu ya juu uwe umedahiliwa na university, ama unaweza omba tu mkopo hata kama hujapata chuo.
Maana yake naona kama muda ni mchache sana ukisema uombe chuo alafu usubiri hadi ukubaliwe ndy uombe mkopo.
MSAADA WENU NI MUHIMU SANA WAKUU.