Mkurugenzi wa Al-Hikma Foundation, Sheikh Nurdin Kishki amesema kati ya mabwana harusi 70 wanaofungishwa ndoa nusu yao wametoka Mkoa wa Dar es Salaam.
Hayo yamebainika wakati mkurugenzi huyo akitaja maeneo watakayopeleka mahari ikiwamo Dodoma, Lindi, Mtwara, Pwani, Mwanza, Morogoro, Manyara...