kununua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Natafuta Air compressor ya kununua

    Salaam, Natafuta Air compressor kuanzia lita 100, kama unayo nichek Pm tufanye biashara chap!!
  2. M

    Msaada nahitaji kununua gari

    Wakuu katika miangaiko yangu nimejichangachanga hapa nimepata Mil 8 nahitaji kununua ndinga kwa mtu anayeuza tuwasiliane. Vigezo gari iwe katika hali nzuri, ambayo iko chini ya km 100,000 na ambayo haijawahi kupata ajari. Napendelea toyota allion, Allex au Runx
  3. Uwe makini zaidi unapotaka kununua gari kwa watu hawa

    Wengi tunataka magari ya bei nafuu, hii hupelekea kujikuta tuko tayari kununua gari bila kufanya uchunguzi wa kina, baada ya kujiridhisha kuwa gari unalotaka kununua lipo katika hali inayokuridhisha, ni. Ni muhimu kujua gari hilo liliingiaje nchini, hapa nazungumzia documents. Watumishi huwa ni...
  4. GE2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu

    Jiji la Dar es Salaam ambayo ni ngome Kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo linatarajiwa kusimama kwa siku tatu kupisha uzinduzi wa kihistoria wa mgombea Urais wa Chama hicho. Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chadema Tundu Lissu atazindua Rasmi kampeni zake kuelekea Ikulu ya Magogoni na...
  5. K

    GE2020 CCM walijikita kununua wapinzani wakaacha kuwekeza kwa wapiga kura

    Natabiri kuondolewa kwa katibu Mkuu CCM na katibu Mwenezi wa CCM Mara tu uchaguzi utakapomalizika. Chama dola hakiwezi kuishi kwa kutegemea dola pekee bali kinapaswa kuyaishi wanayowaza na kuyataka wananchi. Chama dola kilichojikita kutegemea dola hudhalilika ifikapo kipindi Cha kampeni, leo...
  6. ulishawai kununua bidhaa dukani badae ukagundua umepigwa pia nifeki

    wadau habarini mi nimenunua mzgo flani bana nimejitapa nao kweli sasa nimegundua kumbe ishu ni feki na nimepigwa mana inauzwa laki 3 mi nimetoa 4 na nusu najisikia vibaya sana tuweni makini ujinga na ushamba mbaya
  7. E

    Swali kuhusu kununua vitabu mtandaoni

    Habari wakuu, Samahani nauliza ukinunua kitabu mtandaoni, halafu ukawa huna hela ya wao kukutumia Kama ni cha kutoka nje ya nchi unaweza ukakisoma kwa soft copy baada ya kununua? Na pia, Kama kuna mtu anajua hivi vitabu Chemistry demystified 2nd edition vinapatikana wapi hapa Tanzania anijulishe.
  8. B

    GE2020 CCM isiwalamishe watumishi kwenda Kwenye mkutano ya kampeni, ilaumu muda waliotumia kununua wagombea wakawasau wapiga kura

    Miaka mitano CCM iliangaika na wagombea na viongoz wa upinzani nakusau kwamba uchaguzi unategemea kura za wananchi kuliko kura za viongozi. Baada ya miaka mitano Leo majimboni kumedoda hakuna kipeperushi wa hamasa ya kampeni na hata wale walionunuliwa nao nguvu ya kuzunguka kukinadi chama...
  9. Msaada jinsi ya kununua shares za makampuni ya nje ya nchi

    Wakuu naomba msaada wa kujua kama kuna uwezekano wa mimi mtanzania kununua shares za kampuni yoyote ya nje ya nchi, hasa Ulaya. Naomba kama kuna aliyeweza kufanya hivyo anisaidie kunipa mawazo.
  10. Kununua Nyumba Vs Kujenga Nyumba

    Ndugu zangu; Kwa desturi yetu sisi watanzania,kumiliki mjengo ni moja kati aya ndoto za watu wengi na pia ni kama kipimo cha kiwango cha ukwasi(Networth).Katika kutafuta maisha wengi wetu tunafikiri kwamba kupanga nyumba ni umaskini. Leo nawakaribisha tujadili kwa pamoja juu ya hizi options...
  11. J

    Mwigulu Nchemba anashangaa Waziri kufua nguo Ulaya hajui kuwa mabeki tatu walikuwa wanatumwa buchani SA kununua kitoweo

    Namfahamu mwanasiasa mmoja ambaye alikuwa akimtuma house girl kwenda kununua nyama buchani/ supermarket Afrika ya Kusini kila wiki. Hili la kufua nguo Ulaya, Nairobi au Pretoria ni la kawaida sana kwa viongozi na wengi wao wanakwepa dry cleaners za hapa nyumbani kwa kuhofia kulogwa kupitia nguo...
  12. GE2020 Kulikuwa na ulazima gani kununua ndege za kibiashara kwa cash kuliko kununua matrekta na kuyagawa kila kijiji ili kulitupa jembe la mkono?

    Binafsi nimewahi kupanda ndege mara moja tu ukubwani na utotoni sidhani kama nimewahi kupanda. Nililipa 120k tu kwenda Mbeya na kurudi kwa Fast Jet 2015 kabla midege yetu haijapata sifa hizi. Sasa hizi ndege zimeleta faida kwa kundi lipi kama tangu awali kabla ya ujio wa haya ma bombardier na...
  13. B

    GE2020 Huyu siyo Abood ninayemjua. Huwezi kuwa mwema utotoni ukawa shetani uzeeni

    Kuna mtu anamiki kampuni ya mabus, tunapanda tunalipa nauli na kusafirisha mizigo, anamiliki radio, tunasikiliza tunashirikiana naye anafanikiwa. Fedha zetu za nauli anazitumia kuhonga kwa tume na wagombea asipige kampeni Bali apite bila kupingwa. Mtu huyu anashindwa kujua riziki inatoka kwa...
  14. Wakuu nataka kununua gari kwa Mara ya kwanza na ninaishi mazingira ambayo ni rough kiasi. Naomba kujua ni gari gani dogo linaweza kuvumilia

    Wakuu naomba ushauri wenu especially kwa anaejua. Nataka kununua gari kwa Mara ya kwanza, naishi Nyasa Ruvuma ambako barabara ni rough Sana. Naomba kujua gari gani dogo la bajeti rafiki linaloweza kuvumilia mazingira haya na kula mafuta kidogo?
  15. Ram Singh: Kijana alidunduliza sarafu ndani ya gunia la kilo 35 kwa muda wa miaka 12 ili aweze kununua zawadi ya Friji siku ya birthday ya mama yake

    Ram Singh: Kijana alidunduliza sarafu ndani ya gunia la kilo 35 kwa muda wa miaka 12 ili aweze kununua zawadi ya Friji siku ya birthday ya mama yake. Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the...
  16. Nimejenga nyumba na kununua gari ndani ya miaka hii 3 lakini kura yangu kwa Lissu

    Nitampa kura Lissu au mgombea yeyote wa chama cha upinzani kwakuwa nataka kuona changes ndani yangu na ndani ya Tanzania. Licha ya kuwa na nyumba ambayo nimeijenga kwa mkopo ninaokatwa kwenye mshahara wangu na gari niliyonunua kutokana na kusave posho kidogokidogo kura yangu kwa Lissu...
  17. Je, hii ndio siasa tunayopaswa kuwa nayo kama taifa? Magazeti haya hayaguswi

    Wakuu, kwa hali ya mambo ilivyo ni dhahiri kuwa kwa mtu yeyote mwenye kuona mbali, mwenye mapenzi ya dhati na nchi yake na pia mwenye kuheshimu utu na haki za raia wenzake, kamwe hawezi kufurahishwa na ujinga huu unaondelea hapa nchini unaoitwa siasa. Sote tunafahamu siasa inapofanyika kwa...
  18. Msaada Muongozo wa namna ya kununua ardhi ambayo tayari ipo kwenye process ya kupimwa

    Wataalamu naomba msaada wenu, kuna Ardhi nataka kununua, muuzaji tayari alishalipia kwaajili ya upimaji na usajili lakini wapimaji bado hawajafika kwa ajili ya upimaji, je ni namna gani bora ya kuweza kununua kiwanja hiki ili kuepuka migogoro ya umiliki ambayo inaweza kuja kujitokeza baadae?
  19. Ficheni nyaraka za kununua wapinzani, mgombea wangu hana breki

    Muda umewadi wa kumwaga kila kitu umefika. Hakuna baya halitasemwa, nyekundu itaitwa nyekundu na njao haitarembwa. Mgombea wangu hana breki yeye kumwaga kashfa kubwa hadharani kwake ni kama kusukutua tu. Niwakumbushe kuficha mbali sana nyaraka na miamala ya kununua wabunge na viongozi wa...
  20. Yaliyonifanya niache kununua 'Dada Poa'

    Wakati nimehamia sasa hapa mkoani Mbeya ilifika kipindi bwana nina ugwadu hatari, sina mke wala demu. Katika pita pita za hapa na pale nikasikia kuwa pale njiani majira ya usiku kunakuwa na danguro saaaafi kabisa. Siku hiyo nikatoka zangu mwenyewe mdogo mdogo nikaelekea Maeneo ya Mafiati kwenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…