kununua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kwanini TBC wanashindwa kununua mechi za Fenerbahçe watanzania wamuone Samatta?

    Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa hapa jamiiforums. Ndugu zangu watanzania; Kwanini TBC wanashindwa kununua mechi za Fenerbahçe watanzania wamuone Samatta? Tulishindwa kununua mechi za Aston Villa kwa maana ligi kuu ya Uingereza inajuliakana kuwa ni aghali dunia nzima...
  2. Hivi TANESCO hawawezi kuunda app ya kununua umeme na kuingiza?

    Ununue na kuingiza kupitia simu, hutu tududu twao twa kuingizia umeme huwa tunanikera sana. Inawezekana?
  3. B

    Ukiwa Tanzania unaweza kuwekeza kwa kununua GOLD COINS?

    Ndugu wananchi, nikiwa Tanzania nnaweza kuwekeza kwa kununua GOLD COINS? Kama zinapatikana, ni wapi?
  4. Tunauza Viwanja na Mashamba kwa bei nafuu

    Habari wana JF.Nina hekari 2,000 za shamba maeneo ya mazinde wilaya ya korogwe mkoani Tanga. Ninatumia heka 1,000 tu.Zimebakia heka 1,000 kwa mwekezaji yoyote wa kilimo aje. Pembeni limepakana n mto ambao haujawahi kukauka maji. Nauza 1,000,000 Kwa Heka 1. DIRECTION YA SHAMBA LILIPO Ukiwa...
  5. Madiwani wa Temeke: Mkurugenzi alitumia ubabe kununua gari la milioni zaidi ya 400

    Kauli ya Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa, kuzitaka Halmashauri zilizonunua mashangingi ya bei mbaya mkoani Mwanza, kujieleza, imeendelea kuungwa mkono. Baadhi ya madiwani wa Manispaa ya Temeke Jijini Dar es Salaam, wameibua madai mazito wakidai sheria ya manunuzi ya umma haikuzingatiwa...
  6. B

    APP ya kununua na kuuza wazo la biashara!

    Habari wazawa ! Leo ningependa nije na wazo jipya ambalo litasaidia watu kupata wazo la biashara kwa kununua kutoka kwa watu wenye wazo la biashara ambao hawana mtaji wa biashara. Offcource ata mimi nina mawazo mengi sana ya biashara ambayo sidhan kama nitaweza kuyatimiza yote , nimeona na mimi...
  7. Kisa hiki ni somo kubwa sana la uadilifu hasa wakati huu wakurugenzi walipoamua kununua magari badala ya madawati

    Nkirwa world wide JSulmtSpdorunsnote r11r,e 2gnd016iiih · UTU NI ZAIDI YA FEDHA NA HESHIMA YA DUNIA... Mwaka 1993 mwezi March Mpiga picha maarufu wa Africa kusini (PhotoJournalist) Kevin Carter alitembelea Nchi ya Sudan kwa ajili ya kupiga picha za habari kuhusiana na baa la njaa...
  8. Kuna Tatizo la kununua Umeme wa LUKU kwa kutumia simu?

    Habari wadau, Kuna shida yeyote ya kununua umeme kwa Luku? Nimejaribu kununua umeme kwa halopesa naona inagoma,vipi ni mitandao yote au ni halopesa tu? KK, MINJINGU.
  9. B

    Waziri wa TAMISEMI wakatazeni wanao tuchangisha pesa za ujenzi wa shule ndege mnazo panga kununua zinatosha watosha

    Leo nimepigiwa simu eti kamati inaomba nichangie pesa za simenti au matofali ili wafanikishe kujenga vyumba vya madarasa, mimi kama mdau wanahitaji mchango wangu. Kama mwana JF hata mmoja haja hamasishwa au kufuatwa nyumbani basi subirini ni mkakati wanakuja. Kusema ukweli nimewapa lugha...
  10. Hivi huyu Mkurugenzi aliyenunua gari la milioni 400 anajiamini nini?

    Nafikiri hili saga mnalijua. ukimtazama anavyoongea inaonesha kuna kitu kipo nyuma yake. https://www.jamiiforums.com/threads/rais-magufuli-amtumbua-mkurungenzi-wa-geita-kwa-kununua-gari-la-zaidi-ya-tsh-milioni-400.1818248/ Chanzo cha majibu hayo ni hoja hii ya Msukuma
  11. Ufafanuzi kuhusu thread yangu ya kununua wazo la biashara

    Salaam wakuu naomba kutoa ufafanuzi kidogo kama watafutaji na wapambanaji wazo ndio kila kitu ukiwa na wazo ni rahisi kutengeneza pesa! Napokea ujumbe mwingi pm watu ambao wako serious tunajadiliana naomba watu mjue kuhusu kiwango ambacho ninacho kinafit kwa wazo dogo na hata kubwa half of one...
  12. TACAIDS: Wafadhili wanaendelea kununua ARVs

    Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS) imekanusha taarifa iliyochapishwa na gazeti la Mwananchi iliyosema wafadhili wajitoa dawa za UKIMWI. TACAIDS imesema taarifa hiyo si ya kweli hakuna wafadhili waliojitoa, kwa kuwa hadi sasa mahusiano ya Tanzania na wafadhili yako vizuri. Wamesema...
  13. Wakuu mwenye uzoefu na decoder ya canal +, nahitaji kununua

    Nahitag kununua decoder aina ya canal + mwenye uzoefu na hii decoder kuanzia kwnye installation mpka kwenye matumizi na ulipaji wa vifurishi tafadhari msaada.
  14. Kuagiza Gari nje ya nchi vs Kununua Yard

    Ndugu wazalendo nawasihi kwa Upendo Mkuu Kama unataka Gari nzuri na kwa Bei nafuu ni Bora kuagiza kuliko kujilipua Yard ambako Gari zinakua zimetumika Sana Zanzibar Kisha zinavushwa Bara wanaondoa zile Plate number za kule na kupeleka carwash na kupulizia perfume ukijichanganya imekula kwako...
  15. Anayejua biashara ya kununua simu used toka Kenya?

    Habari wadau. Mtu anayejua wapi unaweza nunua simu used kwa bei nafuu nje ya nchi katika huu ukanda wetu wa SADC na kuzi import hapa Tz. Asanteni.
  16. Kununua gari yenye 2,000cc ni kupoteza hela!

    Hutopata acceleration na pia hutopata fuel economy. Mie naona ni bora kununua gari yenye 1,500 cc kushuka chini ili upate fuel economy au ununue gari ya Petrol yenye 3,000cc kwenda juu upate gari yenye acceleration ( inayotoka unyoya) kuliko kununua gari ambayo huku haipo na kule haipo yenye...
  17. Kununua magazeti siku hizi ni kupoteza pesa yako

    Mfumo wa chama kimoja utafanya maisha ya mtanzania kubadilika kabisa, kiuchumi, kijamii nk. Tukiongelea upande wa magazeti hamna kipya kwa kweli, habari ni zile zile na watu ni wale wale tutakaowasikia. Hiyo ni mbaya maana itapelekea watu kutonunua magazeti na mwisho wake waandishi kwenye...
  18. U

    Mbunge wa Arusha Mjini kupitia CCM,Mrisho Gambo aanza kazi kwa kishindo kwa kununua nondo zenye thamani ya milioni 25 kwa ajili ya ujenzi wa sekondari

    Mrisho Gambo amekabidhi Nondo hizo zitakazotumika kujenga Sekondari ya Ghorofa maeneo ya Unga Limitedi Jijini Arusha Tuliahidi Tunatekeleza
  19. Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

    Imekuwa ni shida sana kwa watanzania wengi kununua bidhaaa katika masoko haya ya mtandaoni kwani mengi huwa hayakupi fursa ya kutumiwa mzigo wako moja kwa moja Tanzania. Baadhi ya thread zilianzishwa na zimeelezea mengi sana kuhusiana na manunuzi haya ya mtandaoni, ila tulipata ufumbuzi mdogo...
  20. Rais ajaye, tunaomba upunguze gharama ya kununua units za kutumia maji ya bomba

    Hii ni turufu nzuri kwa mwanasiasa, natamani kusikia Mgombea yeyote wa Urais akilizungumzia hili, licha ya baadhi ya maeneo kukosa maji, haiwezi kuhalalisha maeneo yenye maji ya bomba kuuziwa Tsh 1200/= kwa unit ilhali tukijua maji ni uhai lazima yatumike Kila muda. Rais ajae alimulike hili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…