kununua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Msaada: Namna ya kununua shiba coin

    Wakuu tafadhali mwenye kujua ABC about shiba coin namna ya kuji-regist; kununua...nimevutiwa na aina hii ya uwekezaji wa pesa ya kidigtal Mwenye kujua steps by steps tafathali anielekeze, niko tayari hata nimpoze ya voucher kwa usumbufu na muda atakaokuwa amepoteza. Nawasilisha.
  2. CHADEMA wanavyochangishana kununua chakula mahakamani kesi kina Mbowe

    Wafuasi wa CHADEMA wanaofika katika Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi kufuatilia kesi ya Mwenyekiti wao Freeman Mbowe na wenzake watatu wamebuni utaratibu wa kuandaa na kupata mlo wakiwa mahakamani hapo. Mbowe na wenzake wanakabiliwa na mashtaka sita ya uhujumu uchumi...
  3. S

    Kweli Tanzania kutumia shilingi trilioni 1.7 kununua ndege?

    Someni hii:
  4. Udanganyifu wakati wa kununua magari kwenye showrooms

    Hii Case nimeizoea kukutana nayo wa watu na huwa naichukulia kawaida ila leo nimeshangaa kuikuta kwenye moja wapo ya Showroom hapa Dar. Kikawaida gari nyingi tukitaka kuangalia mwaka ambao gari hiyo imetengenezwa huwa tunaangalia lebo iliyopo kwenye mkanda (yaani seat belt). Lakini it seems...
  5. K

    JATU PLC wataharibu imani ya Watanzania kununua hisa kwa kampuni ndogo za Watanzania

    Jatu PLC imeanza kunuka wizi mapema kabla hakuja kucha tayari wakulima wadogo wanadai hela zao za mazao hawajalipwa kwa muda mrefu huku wakulima wakubwa pia wakidai hela zao. Bidhaa zimeshuka Bei haswa maharage Wana nunua kwa Bei chini ya kiwango walichosema mbali na kwamba walisema mazao yana...
  6. Kununua stocks/Hisa za Kampuni za Marekani

    Wakuu habari. Nimehangaika sana kupata platform ninunue hisa za Lucid Motors,kila App nayopata hawasapoti Tanzania.Sasa nitumie njia gani?
  7. Kwa akili ya kawaida, watu wa maeneo ya Tandale, Temeke, Buza, Buguruni na Uswazi yooote wataweza kwenda Coco Beach kununua bidhaa?

    Huku ni kukosa mipango ya kiuchumi na mipango miji
  8. Umoja wa Afrika kununua chanjo milioni 110 za Moderna

    Umoja wa Afrika (AU) unakusudia kununua dozi milioni 110 za chanjo ya COVID-19 kutoka Moderna Inc katika mpango ulioratibiwa kwa sehemu na Ikulu ya Marekani, White House. Dozi hizo zitatolewa katika miezi ijayo, huku milioni 15 zikiwasili kabla ya mwisho wa 2021, milioni 35 katika robo ya...
  9. Tafakuri: Tupo tayari kununua bidhaa na kupata risiti?

    Ni wazi mpaka sasa wengi hasa waliopata/walio na kazi Rasmi pamoja na wenye vipato vya uhakika wanafurahia sana zoezi linaloendelea la wamachinga kuondolewa kufanya biashara zao barabarani ambazo kiukweli walisaidia kwa kiasi kikubwa watu kujipatia bidhaa/vitu kwa bei nafuu zaidi. Ok tuseme...
  10. Nimepata mic ya kununua lakini sina uhakika na ubora

    Wakuu katika pita pita zangu nimekutana na hii Mic je katika kazi zangu za Online TV itanifaa
  11. Nahitaji kununua wireless microphone kwa ajili ya online TB

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza naitaji Wireless Mic ya kununua ya Bei nafuu kwaajili ya Online TV.
  12. M

    Nahitaji kununua laptop

    Wakuu habari za majukumu, Nilikuwa nahitaji laptop used ya kununua .specification ziwe hizi processor core 5 au 7. Generation ya 5 au ya sita HDD 500gb bajeti yangu Ni 400000 - 500000. Location Niko Mwanza . Kama iko dar pia mzigo naweza kuufata.
  13. Nataka kununua mbwa aina ya bull dog. Ni wapi nitapata?

    Natafuta bulldog Wapi nitapata? Nikikosa bulldog Basi mbwa Kama huyu. Call 0655173113
  14. Twenzetu Uganda: Jinsi ya kununua hisa za MTN Uganda

    Uwekezaji nikiimanisha (investment ) ni jambo la busara kwa kila mtu sababu linatengeneza Passive income. Tukija kwenye masuala ya Hisa ama Stocks wale wanaoinvest kwa mfumo wa kupata Dividend na sio speculation mara nyingi wanatoboa sana,sababu eventually price ya hisa mara nyingi itakuja kuwa...
  15. Wanasema pesa haiwezi kununua furaha; lakini je, umasikini unaweza kununua nini?

    They say money can't buy happiness, money can't buy love. Okey fine, I agree But, what can poverty buy? Ukiona mtu anasema bora yeye na Umaskini wake ila anaishi kwa amani..huruma kubwa inamhusu maana hajui alinenalo wala alitendalo hakuna maskini mwenye amani Dunia hii. Hapa duniani hakuna...
  16. E

    Nina 5,000,000 tu. Naweza kununua gari ipi ikiwa na hali nzuri?

    Waungwana nimechoka kutembea kwa mguu, nina ka milioni 5 nilitaka nitafute ka miguu minne nipumzike shida kutembea, ila sina uzoefu na mambo ya magari ni aina zipi za magari naweza kununua ikiwa na hali nzuri kwa hiyo bei?
  17. Bahati iliyoje Ukraine firm kununua ndizi zote za Tanzania

    Je! Ninyota! Nibahati au Niwakati tu wa Rais Samia Suluhu kuwa juu umefika? || Nineema iliyoje Ukraine firm kununua ndizi zote za Tanzania zinazohitaji pesa, "Hakuna kama Samia" Bara la Africa linauza nje ndizi zinazofikia thamani ya zaidi ya $4.3bl karibu Tshs 10trilioni,Wakati 50% ya ndizi...
  18. Naomba kuuliza, Tsh. bilioni 300 zinaweza kununua matekta madogo mangapi?

    Hivi bei ya trekta ndogo kama hii ni kiasi gani? Na kwa bilioni 300 tunaweza kupata matrekta mangapi kama haya?
  19. Je, hawa wanaouza akaunti za instagram ni matapeli? Kuna mtu ameshawahi kununua? Tunaomba uzoefu juu ya hili

    Kuna sehemu nimekuta mtu anauza akaunti ya instagram yenye followers 151K kwa shillingi 85,000/=, hii mbona haiingii akilini kabisa, ni kweli au ni utapeli akaunti kubwa hivyo ikauzwa kwa bei ya kutupa kabisa
  20. TANESCO hali mbaya, Serikali yasuasua kununua mita na nyaya za kuunganishia umeme

    Tanesco katika maeneo Mbalimbali Hasa Jiji la Mwanza imeshangaza wananchi zaidi 2000 katika eneo la Nyakato kushindwa kuunganishia watu umeme, Hali hiyo inafanya baadhi ya watu kupitia njia za panya kutoa rushwa ili kufungiwa umeme, wananchi wamelalamika bila msaada Tunatumaini 1)Uteuzi Mpya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…