Mpango wa raisi Biden ili kumaliza vita vya muda mrefu vya Israel na Hamas una hatua tatu muhimu.
YA KWANZA
Ni kusitisha vita kwa muda wa wiki sita(mwezi unusu) ili mateka wa Israel hasa wa kiraia,wanawake na wagonjwa waachiwe sambamba na kuachiwa kwa wafungwa wa kipalestina.
Hatua hii...
Acheni jamani,
Naumwa.
Yani nina kama burn out fulani, hata siwezi kupokea simu za watu.
Ujenzi unachosha sio tu mfuko, na wewe pia unayesimamia unachoka hovyo kabisa.
Nilianza mwezi wa saba mwaka jana, na mwezi huu nimemaliza. Utukufu kwa MUNGU Mkuu.
Utangulizi
Umaskini ni moja kati ya matatizo yanayofanyiwa utafiti sana duniani, kwa ujumla Umaskini ni hali ya ukosefu wa mahitaji ya msingi ya binadamu kama vile chakula, maji salama, sehemu nzuri ya kulala, huduma za afya na mavazi kutokana na kukosa uwezo wa kuvinunua. Hii pia inajulikana...
source: www.urban municipal council
Utangulizi:
Migahawa ni sehemu muhimu ya tamaduni ya kula katika jamii zetu, lakini mara nyingi hatufahamu yale yanayotendeka nyuma ya pazia. Wakati tunapofurahia sahani tamu au chakula cha kufurahisha, hatari za usalama wa chakula zinaweza kusahaulika au...
"SIKU MOJA MOJA SIYO MBAYA"
Leo nimekumbuka mwaka 2020 kipindi cha Pasaka, Jijini Arusha, hapo dili la ku-design michoro ya Majengo kadhaa ya Taasisi ya Kanisa limetiki na nka kabidhiwa pesa ya Advance Millioni +.
Sikukuu ya Pasaka ilipofika mwenyeji wangu akasema twende kusherekea kwenye Bar...
Ni kama wiki hivi tumekuwa tukifurahia umeme hata kipindi hiki cha mvua zinazoambatana na upepo. Nikasema, hapa sasa serikali imemaliza hii kero ya kukatika umeme.
Nikapanga jumapili hii basi niandike message yangu kuipongeza serikali. Kabla sijaandika nikasema niangalie kama umeme upo. Si...
Nimesikitishwa sana na kitendo cha mwanariadha Mtanzania Gabriel Geay kutomaliza mbio za Boston Marathon na kuachia katikati mara baada ya kuvuka 21km.
Huu ni ukosefu wa uzalendo na kukata tamaa. Hii sio mara ya kwanza kwa kijana wetu kufanya hiki kitendo cha hovyo. Mbio sio kuanza ni kumaliza...
Na kumbukeni Simba SC ikifanikiwa tu Kuwafunga katika Derby ijayo Pengo ( Gap ) litabaki la Alama ( Points ) Tatu ( 3 ) na kwa Mkakati wa Dharula wa Kimafia ambao nimeusikia unapangwa mahala upo Uwezekano mkubwa wana Yanga SC wanaojiamini kuwa tayari Wameshakuwa Mabingwa kutokana na Matokeo...
Je, unazingatia 'dozi' unapoandikiwa na Daktari?
'Kuzingatia dozi' hujumuisha....
Kutumia dawa kwa Kipimo sahihi
Kumeza/Kunywa Dawa kwa wakati
Kumaliza dozi kamili
Kutotumia dawa nyingine kujitibu
Kuzingatia dozi ya dawa kunajumuisha kufuata maelekezo ya daktari au maelekezo yaliyomo...
WAZIRI MAVUNDE AAINISHA MIKAKATI YA KUMALIZA MIGOGORO MIRERANI
-Serikali yarusha ndege ya Utafiti ndani na nje ya ukuta kupata kupata viashiria vya mwamba wa madini
-Taarifa za utafiti kusaidia kuwaongoza vizuri wachimbaji
-Atoa tuzo kwa wachimbaji wanaorudisha kwa jamii(CSR)
-Aongoza futari...
Ni watu wachache ambao imewabidi kazi yao wanayofanya Kwa sasa waikubali tu Kwa sababu walijikuta wamesema vyuoni na inawapa Hela na ukizingatia uchache wa ajira ila wengi Kiukweli baada ya kumaliza form 4 hawakuwa na akili kama waliyonayo Kwa sasa.
Binafsi ungenirudisha Tena form four 2012...
Habari wanajf,
Kipindi tupo O level tulikuwa tunakatazwa kuingia kwenye mahusiano huku tukiambiwa tutayakuta chuo.
Tukaenda advance tukaendelea kutiwa moyo zaidi huku tukisisitiziwa kwamba chuo hata boy anatongozwa.
Lakini sasa ni miezi kadhaa tangu nifike chuo sioni dalili zozote za kupata...
Timu zote isipokuwa Yanga zimewahi kushika nafasi nje ya tatu, Why ?
Kwa upande wa Simba imewahi kunusurika kushuka daraja mwaka 1987, 1988 na 1989, kwa mwaka 1988 na 1989 mechi za mwisho zilikuwa dhidi ya Yanga, mara zote hizo Yanga waliombwa wasishinde ili Simba asishuke daraja maana ligi...
Marekani na Uingereza zimefanya mashambulio mfululizo ya anga dhidi ya maeneo kadhaa yaliyolengwa ya kundi la Houthi la nchini Yemen hivi karibuni, lakini kundi hilo linadai kuwa, halijayumbishwa na mashambulio hayo na kuahidi kulipiza kisasi.
Wachambuzi wanasema, mashambulio hayo ya kijeshi...
Nimeona sehemu kuwa kupakata laptop kwenye mapaja kunasababisha uzalishwaji wa mbegu za kiume kuwa hatarini na nguvu za kiume zinaweza kupungua.
Je, suala hili lina ukweli?
Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Tulia Ackson, amesema kuwa Bunge limewapa Tanesco muda kufikia mwezi wa sita mgao wa umeme uwe umeisha.
"Wacha tuipe serikali muda, kwa maana ipi wao walijipanga mwezi wa sita (shida ya umeme kuisha) wakarejesha nyuma mwezi wa pili...
bunge
juni
kumaliza
lazima
maajabu
machi
mgao
mgao wa umeme
mgawo
miezi
miezi 3
mpaka
mwezi
nishati
serikali
spika
spika tulia
umeme
wakati
wizara ya nishati
Nachopendekeza katika migogoro inayo endelea Congo DR ni kuwa malalamiko yote ya makundi ya waasi yasikilizwe.
Yale malalamiko yanayoweza kutatuliwa yatatuliwe yale yenye ugumu yaingiwe makubaliano ya pande mbili kufikia upatikanaji wa amani.
Lazima malalamiko ya waasi wajulishwe Wacongo na...
Embu angalieni clip hii.
Saidoo alipoupiga mpira, kwa angle na mguu aliotumia, ule mpira bila kuingiliwa na mtu mwingine ulitakiwa uzungukezunguke kwenda upande wa kulia lakini kutokana na kuparazwa na mchezaji wa Singida, ule mzunguko ukabadili uelekeo na kuanza kuzungukazunguka kushoto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.