kumaliza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. STUKA M1

    JamiiForums Tanzania Tarehe ya kufunga na kufungua shule za serikali kwa likizo ya kumaliza muhula wa 1, 2021

    Waalimu naomba mnisaidie hii, Ratiba ya mwaka inaonesha ni tarehe ipi shule za serikali zinategemea kufungwa kwa likizo hii ya June 2021 na tarehe ya kufungua pia...?
  2. Mlaleo

    JamiiForums Tanzania Iran kaingiwa na nini Israel? Anataka ipigwe kura kutoka kwa Wayahudi, Wakrito na Waislam Israel kumaliza Mgogoro

    Vyanzo kutoka Iran, Vinasema kutatua mgogoro wa wa Karne nyingi kati ya Israel na Palestina ni kupiga kura miongoni mwa wakazi wote waishio katika maeno ya mgogoro wa kiuraia, utamaduni au udini. 'Lengo letu 'Wairani' wa utatuzi kwa Wapalestina ni kuitisha kura ya Maoni kwa kuwajumuisha jamii...
  3. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mkataba wa EU na AstraZeneca kumalizika Juni, EU imeanza maongezi na Pfzer

    Kamishna wa Umoja wa Ulaya anayehusika na Soko la Ndani, Thierry Breton amesema umoja huo haujarefusha mkataba wa kuendelea na chanjo ya Covid-19 ya ubia wa makampuni ya Kiingereza na Kisweden ya AstraZeneca. Breton ameiambia televisheni ya Ufaransa "France International" kwamba hawajarefusha...
  4. Extrovert

    JamiiForums Tanzania Wazazi hebu leteni maoni yenu hapa

    Ikiwa mzazi ambaye anamuwazia mazuri mtoto akimaliza elimu yake ya juu kwa atatumia mahela kibao kugharamia elimu ya mtoto ila by the end! 1. Mtoto anatakiwa akanunuliwe mashine ya popcorn aiweke stand aanze kuuza bisi! 2. Anunue mashine ya kukamulia juisi ya miwa na glass! 3. Aanze kuuza uji...
  5. Nyendo

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU: Faili la Uchunguzi wa aliyekuwa Mkurugenzi wa TPA lakamilika, imebaki ofisi ya CAG kumaliza mchezo

    Dar es Salaam. Taasisi ya Kuzuia na Kupamabana na Rushwa (Takukuru) imesema imekamilisha faili la uchunguzi kuhusu tuhuma zinazomkabili aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Deusdedit Kakoko. Machi 30, mwaka huu taasisi hiyo ilimkamata Kakoko ili kuhojiwa kuhusu tuhuma...
Back
Top Bottom