Hamjambo!
1. Panapokuwa na vita baina ya watu wawili njia pekee ya kutopanua vita hiyo ni kutoongeza wahusika.
2. Mbinu nyingi ni kuhakikisha vita haidumu muda mrefu. Kwa sababu vita kadiri inavyochukuaa muda mrefu ndicho hasara na mgogoro unavyopanuka na kuongeza wahusika.
3. Kupigana muda...
👇🏻👇🏻👇🏻
"Uislamu hauruhusu mambo haya dhidi ya Mtawala: Kumkosoa hadharani, kumdhalilisha, kufanya maandamano na kutoka dhidi yake"
https://www.jamiiforums.com/threads/uislamu-hauruhusu-mambo-haya-dhidi-ya-mtawala-kumkosoa-hadharani-kumdhalilisha-kufanya-maandamano-na-kutoka-dhidi-yake.2346643/...
Wanaukumbi.
Baadhi ya nchi kama Qatar, Misri, Uturuki, Pakisatan, Jordan, Falme za Kiarabu, Iran na Ulaya, kuomba Hamas kukubali mpango wa Amani.
Hamas imewasilisha majibu yake kwa makubaliano ya Rais wa Marekani Donald Trump ya kusitisha mapigano Gaza, ikikubali kuwaachilia mateka wote wa...
Nimesoma huo mpango wa point 21 wa kuleta amani Palestina naona ni kama mtego kuwaachia mateka na kujisalimisha rasmi katika utawala wa kimabavu wa Israel.
Eti Baraza la amani la mpito la Palestina litaongozwa na Trump na Tony Blair.
Wapiganaji wa Hamas waweke silaha chini na kuwaachia mateka...
Kusini kunachekesha Sana yaani siku ya mahafali ya shule ya msingi mzazi anakwenda kukopa hela kabisa ili afanye shughuli nyumbani karibia mziki wa kukodi laki tatu chakula laki mbili eti kusherehekea mtoto kamaliza la Saba kweli jamani elimu ya msingi ni kitu cha kujivunia hivyo?
Sumu zinazotumiwa na majasusi kuua mtu, hata akiwa kwenye msongamano wa watu, kwa kawaida huwa za hali ya juu, za haraka, na ngumu kugundulika. Baadhi ya sumu zilizotajwa katika visa vya kihistoria na vya sasa ni pamoja na:1. Novichok: Hii ni kemikali ya kulemaza neva iliyotengenezwa na Soviet...
Huyu jamaa bwana Amos Makala ndiye aliyekuwa mastermind wa ujenzi wa project ya CHAUMMA. Pia ndiye aliyeratibu Lissu afunguliwe uhaini.
Hakuishia hapo. Pia Project ya kuengua viongozi wa Chadema ndiye aliyeisimamia.
Kwa ufupi sana baada ya kumaliza kazi amerudishwa alipotolewa. Kwa uhakika...
Niwe mkweli, public reception ya Mpina haijawa kubwa kivile kama ilivyotegemewa. Hii ni tofauti na public reception waliyopata Maalim Seif alipoanzisha KAMAHURU na baadaye CUF, Mrema kuhamia NCCR na Lowassa kuhamia CHADEMA. Hawa walipohama walihama na wanachama wa CCM na viongozi wao na jamii...
Baada ya kutamatika kwa muhula wa pili wa masomo kwa chuo kiukuu cha SAUT utaratibu huwa ni mtihan ya Special na supplementary za semester ya kwanza kufanyika.
Kwa ratiba ya chuo kuku cha SAUT mitihan imeanza kufanyika tarehe 12 /08 2025 na inatarajiwa kutamatika tarehe 19/08/2025 lakini...
Anonymous
Thread
ada
chuo
kumaliza
kwanza
muhula
saut
special
wanafunzi
wanafunzi wa chuo
Waziri Kombo amuaga Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa wa Canada baada ya kumaliza ziara ya kikazi nchini
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb), ameagana na Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa wa Canada Mhe. Randeep Sarai katika Uwanja wa...
Rais wa Marekani Donald Trump, ambaye kwa mara nyingine ameonyesha kusikitishwa kwake kutokana na tabia ya mwenzake wa Urusi Vladimir Putin mnamo Jumatatu, Julai 14, ameipa Urusi siku 50 kumaliza vita la sivyo itakabiliwa na vikwazo vikali, na akatangaza kukaribia kusafirisha idadi kubwa ya...
Mawakili wanaojiita WASOMI wa CHADEMA wanashindwa kugundua hilo,
kesi kila siku mapingamizi hayaishi kesi itaishaje jamani
hawajui value ya muda katika kesi ndio linawa cost mwaka utaisha wapo kwenye mapingamizi kesi haijaanza halafu wanakuja kulaumu mahakama wakati wanashindwa kucheza na muda...
Wasalaam
Hayati Magufuli alifanya nini kumaliza ajali za barabarani?Hii sio kitu kwa watawala na wanaowajibika kwa usalama barabarani?
Au tutolee mfano familia za watawala kama swala la utekaji?
Pole wote wanaojeruhiwq lakini wapumzike kwa amani wote waliotangulia kwa ajali hizi
Twaelekea kwenye uchaguzi. Tumtathmini rais Samia Suluhu Hassan.
Nionanvyo mimi, amfanikisha yafuatayo:
Mosi, kuwakamata wapinzani na kuwafungulia kesi za kubambikiwa,
Pili, ameweza kuwa daktari kwa muda mfupi tena bila kupoteza muda darasani,
Tatu, amejitahidi kukaa kimya na kusema sana kiasi...
Wakuu habari, naomba msaada. Nimechoka kupretend kuwa sina shida, ukweli ni kwamba nimelemewa na panya nyumbani.
Nimejaribu kila aina ya dawa — nimenunua dawa nyingi tu zikashindwa, nikaelekezwa ninunue zile zilizochorwa dagaa na panya, nikaambiwa nikiboko — lakini wapi wanakula dagaa bado...
Ndugu zangu Watanzania,
Nimeota Na kuonyeshwa Ndotoni ya Kuwa Mheshimiwa Hamad Masauni ndiye atakaye Pokea Kijiti cha Urais Kutoka kwa Mheshimiwa Dkt Husseni Mwinyi atakapokuwa anamaliza muda wake Mwaka 2030.
Ambapo nililetewa kikaratasi na kufunguliwa kisha kuonekana Jina la Hamad Masauni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.