Bima ya afya NHIF yashindwa kulipa miezi 7 hospitali zinazohudumia, wananchi wateseka, serikali iko kimya

nusu kaputi

Member
Feb 1, 2014
42
99
Shirika la bima ya afya NHIF limekuwa na mabadiliko makubwa yanayosababisha wanachama kukoswa HUDUMA imara, HUDUMA nyingi za upasuaji zimeondolewa na kumfanya mwanamchi kulipia topup, serikali na watumishi wake ndio wemeweka Huu utaratibu huku WANANCHI wakitekete kwakisubili kuongezeka Hela

Hospital zote mpaka Sasa zina Miezi 7 hazijalipwa Hela zinazodai Kwa wanachama w zinazowahudumia , na zimefikia kukoswa vifaa vya kumuhumia Mgonjwa Kwa sababu hazina pesa.

Huku serikali imekaa Kimya na wizara ya afya
 
Miazi saba ni mingi nyingi zingekua zimesha funga kutoa huduma hizo hospitali kwa 60% hutegemea wateja wa bima.
Hili suala la bima ni gumu sana kutekeleza Tanzania kwa sababu ya corruption na uaminifu. Ni mara nyingi unakuta mtu anachukuwa bima ya mtu mwingine anaenda kutibiwa nayo au hizo hospital nazo zinakuwa na makandokando yakufanya zipate fedha zaidi.
 
Siku hizi sio rahisi kutumia kadi ya mtu wameweka verification measures nyingi, ila miazi saba bila malipo sio rahisi hospitali zina kufa kwasbb zitakosa pesa ya kuninulia dawa.
 
Shirika la bima ya afya NHIF limekuwa na mabadiliko makubwa yanayosababisha wanachama kukoswa HUDUMA imara, HUDUMA nyingi za upasuaji zimeondolewa na kumfanya mwanamchi kulipia topup, serikali na watumishi wake ndio wemeweka Huu utaratibu huku WANANCHI wakitekete kwakisubili kuongezeka Hela

Hospital zote mpaka Sasa zina Miezi 7 hazijalipwa Hela zinazodai Kwa wanachama w zinazowahudumia , na zimefikia kukoswa vifaa vya kumuhumia Mgonjwa Kwa sababu hazina pesa.

Huku serikali imekaa Kimya na wizara ya afya
Acha propaganda, yaaani taasisi itoe huduma miezi yote hiyo na isilipwe, hayo makubaliano gani,
 
Tulishauri wakaze kipindi kile wanavutana kuhusu vitita wakajidai kurudi mezani huku wakiendelea kupokea wenye bima.
Acha wasoteshwe kama wastaafu.
 
Shirika la bima ya afya NHIF limekuwa na mabadiliko makubwa yanayosababisha wanachama kukoswa HUDUMA imara, HUDUMA nyingi za upasuaji zimeondolewa na kumfanya mwanamchi kulipia topup, serikali na watumishi wake ndio wemeweka Huu utaratibu huku WANANCHI wakitekete kwakisubili kuongezeka Hela

Hospital zote mpaka Sasa zina Miezi 7 hazijalipwa Hela zinazodai Kwa wanachama w zinazowahudumia , na zimefikia kukoswa vifaa vya kumuhumia Mgonjwa Kwa sababu hazina pesa.

Huku serikali imekaa Kimya na wizara ya afya
Hesabu hazidangsnyi, bajeti yetu tlioni 44,makusanyo tilioni 29! Hiyo nakisi ya tilioni 15 , inabidi tupate mikopo ya wazungu, wakigoma tunaumia, zingine samia inabidi aibe kwenye mifuko ya bima, hifadhi ya jamii, hata tukipata zote 44,38 ni mishahara, msfuta, na posho, 3,maendeleo, zingine kulipa mikopo!
Li nchi limeishajifia, CCM wanajua hili, Ila hawataki watz walijue vzr, ndio maana, watawapoteza lengo kwa mpira yanga na Simba, samia kununua magori,
Matukio ya makonda
 
Uongozi mbaya ni tatizo kwa Taifa hili suala la Bima naona linafanyiwa mzaha sana na mbaya zaidi hata waizri wa Afya ni Muigizaji na sio mtendaji kwa vyovyote vile bima haiwezi kuwa na ufanisi kama hamna mpango wa mathubuti wa Serikali wa kucontrol magonjwa yanayoambukizwa
 
Uko sahihi Mkuu Kwenye afya za watu viongozi wanaleta siasa na maigizo kibao
 
Hawa mawaziri wa afya akiwemo
Yule mwenye kipara kinaangalia juu hata hawaeleweki

Ova
 
Acha propaganda, yaaani taasisi itoe huduma miezi yote hiyo na isilipwe, hayo makubaliano gani,

kama hujui kinachoendelea Kwenye Kwenye mahospitali na Bima ya afya unaweza kusema tuko salaama ,ukweli Hali ni mbaya ni kibaya zaidi wanasiasa na viongozi Kwa Sasa hivi wananchi hata wakifa haiwahusu Kwao wanachojali ni Kula na kuiba pesa basi, Hili wanalifahamu lakini siasa za uongo zimewajaa rohoni
 
Back
Top Bottom