Uamuzi huo umefanywa na Jaji Alexandre de Moraes ikiwa ni miezi miwili tangu Mtandao huo ilipofungiwa kutoa huduma zake nchini humo kwa madai ya kukiuka Sheria ya Mitandao
Brazil's Supreme Court has said it is lifting a ban on the social media platform X, formerly known as Twitter.
In his...
Katika hali inayoonekana kama njia ya kupunguza na kuondoa taharuki huko mashariki ya kati, serikali ya Marekani imesema ipo tayari kulipa fidia kutokana na madhara ya mashambulizi ya makombora kutoka Iran wiki iliyopita!
On Sunday, Israeli TV channel Kan11 claimed that Washington had offered...
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, akizindua Tume ya Rais ya Marekebisho ya Kodi leo tarehe 04 Oktoba 2024, jijini Dar es Salaam, amesema kuwa malalamiko ya walipa kodi yanatokana na ukweli kwamba kodi ni jambo gumu na mara nyingi si rahisi kukubalika. Amesema kuwa ni kawaida kwa mtu kuwa tayari...
Wakati Israel inashambulia magaidi wa Hamas na Hizbola ilianza kushambulia Israel ili ipoteze lengo
Lakini wakaawacha tangu October 7 Hadi juzi zamu yao ilipofika
Ayatollah akae Kwa kutulia asubiri zamu yake INGAwa Nia na nguvu ya kupigwa ilikuwepo sababu ndo ilikuwa inatafutwa
Kwa Sasa sababu...
Katika uamuzi wa hivi karibuni kutoka kwa Mahakama ya Usuluhishi wa Migogoro ya FIFA (FIFA Dispute Resolution Chamber), Yanga SC, moja ya klabu maarufu za mpira wa miguu nchini Tanzania, imetakiwa kumlipa mchezaji wa zamani wa Bechem United, Augustine Okrah, kiasi cha dola za Kimarekani 24,400...
Kuna hii tabia ya watumishi walioajiriwa na serikali kukaa kwenye ajira kwa miaka kadhaa halafu wanaandika barua kwenda masomoni kujiendeleza au wengine wanabadili fani kabisa ,kama alikuwa mwalimu anabadili fani kwenda fani nyingine ambayo kwake ataona inamfaa.
Sasa ubaya wa hili jambo ni pale...
Mwanaume aliyemshtaki Sean "Diddy" Combs kwa kumnyanyasa kingono katika sherehe iliyofanyika karibu miaka 30 iliyopita ameshinda kesi ya madai ya dola milioni 100, kulingana na ripoti ya Detroit Metro Times.
Derrick Lee Cardello-Smith, mfungwa wa miaka 51 huko Michigan, alipewa amri ya muda ya...
Mwez ujao kuna rafiki yangu anataka kufungua kijiduka cha mtaaji wa laki 8 vip TRA hawatamsumbua? Na kama watamsumbua ili kuepuka afanye nini? Kuepuka? Au kitambulisho cha mjasiriamali vip?
BILIONI 2.5 ZILITUMIKA KULIPA FIDIA KWA WANANCHI WALIOPISHA UJENZI WA BARABARA YA KIDATU – IFAKARA
Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi ililipa fidia jumla ya Shilingi 2,576,081,789.00 kwa wananchi 142 waliopisha ujenzi wa barabara ya Kidatu - Ifakara (km 67) ,kwa Wananchi ambao nyumba zao zipo...
Hayo si maneno yangu, ni maneno ya kilaza mmoja aliechangamka ambae anaamini kwamba umasikini unasababishwa na kutojua lugha ya kiingereza utotoni. ( 😂😂😂 utoto raha nyie/ you can just think any how)
Si yeye peke yake bali hadi ndugu zake (kaka zake) wengine wanne ( wa tumbo moja) wote...
Taarifa hii inaonyesha kuwa kuna utata katika uhamisho wa leseni za madini kutoka kampuni ya Bafex Mining kwenda Shanta Mining.
Hapa kuna mambo machache ambayo yanaweza kutokea:
Uhamisho wa leseni haukuendana na sheria: Huenda sheria za Tanzania zinahitaji serikali kuwa na hisa fulani katika...
Mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu, imeiamuru kampuni ya Azam Media Group Ltd kumlipa kiasi cha shilingi milioni 100 mpishi maarufu nchini Master Chef Fred Uisso maarufu kama ‘Mzee wa Maspatasapta’ baada ya kushinda kesi dhidi yake na wenzake watatu baada ya kampuni hiyo kumtangaza mpishi huyo...
Is it coincidence? Au dunia imeamua KUNIKUTANISHA na watu wenye mtazamo kama wangu?
Au dunia imeamua kuni - prove right kuhusu mtazamo wangu kuhusu English Mediums za Tanzania?
Only God knows, hivyo ndivyo unavyoweza kusema but all in all, watu wameanza kuamka sasa.
Back to the topic 👇👇...
Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA) imefafanua juu ya kinachoendelea katika Kampuni ya Insurance Group of Tanzania (IGT) ambapo kuna Watanzania wanaodai kuwa wanaidai Kampuni hiyo lakini imekuwa ikiwazungusha malipo yao kwa miaka kadhaa sasa.
Awali andiko la Mwanachama wa...
Wakuu Habari zenu?
Kwa maisha ya kawaida hapa duniani kukosana kupo kwenye haya maisha.
Lakini ni kwa kiasi gani unaweza kubeba maumivu ya kile ulichokosewa na ukaamua Kusamehe.
Kisasi kinaweza kumpa mtu hasara kwa namna moja ama nyingine Mfano
Kwanza mtu aliyekosewa kukosa utulivu wa...
https://www.youtube.com/watch?v=FnzBLvOFB6w
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasalimia Wananchi wa Tunduma Njiani kuelekea Dodoma Mara baada ya Kumaliza Ziara yake Mkoani Rukwa leo tarehe 18 Julai, 2024.
Kwema Wakuu
Nimeletewa barua ya serikali za mitaa ikiwa na wito WA kutaka niende ofisi za serikali za mitaa.
Kisa na mkasa NI kugoma kulipa Pesa ya taka na ulinzi àmbayo haizidi elfu Tano. Yàani taka 3,000/= ulinzi 2000/=
Walijaribu kunipa risiti za kawaida nikawakatalia nikawaambia waje na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.