kuliko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    JamiiForums Tanzania Kumbe Doctor of Letters (honorary) Ina hadhi kubwa kuliko PhD?!

    Nimesikia kwa Mkuu wa Chuo Kikuu Dare salaam kuwa Udaktari wa heshima ndio una hadhi kuliko Udaktari wa kusoma na utafiti wa falsafa (PhD). Embu mwenye uelewa atupe tuition kidogo.
  2. JamiiForums Tanzania UDSM ina upekee gani wa kumtunuku mtu Udaktari wa Heshima kuliko vyuo vingine?

    Kama swali linavyojieleza. Natamani kujua kama kuna vigezo vinavyoidhinisha au vinavyofikiwa kwa chuo kikuu iwe hapa Tanzania au Duniani kote katika kumtunuku mtu udaktari wa heshima. Nauliza hivyo kwasababu kwa hapa Tanzania kila mara utasikia UDSM imemtunuku mtu fulani udaktari wa heshima na...
  3. JamiiForums Tanzania Ule uwanja wa makontena wa Qatar unaweza kufika nchini mapema kuliko tulivyodhani

    Mama kashamaliza hilo suala, Waqatar wamesema haina shida na walikuwa hawana mpango wa kuendelea kubaki nao. Maamuzi ya awali yanaonesha uwanja huo utafungwa Mwanza. Waziri wa michezo juzi alikuwa maeneo ya usagara kuangalia eneo utakapofungwa.
  4. JamiiForums Tanzania Godbless Lema: Bora ya Magufuli kuliko Samia

    "Nilifurahi mno siku alipoapishwa Samia kuwa Rais na niliamini nchi ilipata mwarobaini wa yote mabaya yaliyopata kufanywa na mtangulizi wake. Na hali ile ilifanya nimpigie simu mstaafu mmoja na kumweleza ninataka kurudi nyumbani." "Lakini kwa yanayoendelea sasa ndani ya utawala wa Samia ni ya...
  5. JamiiForums Tanzania 'Wasimamizi wa ndoa ni 'Pisi Kali' kuliko Mabibi Harusi'

    Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dk Amon Mpanju amesema siku hizi wasimamizi wa ndoa wamekuwa ni fasheni na siyo wale wenye sifa ya kufanya kazi hiyo katika ndoa. Sambamba na hilo amesema wakati mwingine wanakuwa ‘pisi kali’ kuliko bibi...
  6. JamiiForums Tanzania Huyu Ndiye kiongozi niliyemkubali kuliko wote ktk utawala wa hayati Magufuli

    Simjui Jina ila nakumbuka alikuwa Engineer na mkuu wa mkoa Geita, mfuasi wa jamaa mmoja tajiri na mchungaji Nigeria, Mzee Oyadepo wa winners chapel nadhani. Jamaa alikuwa anaongea mambo ya kitaalam Kwa nguvu nyepesi Sana. Nikiwa kwenye Bajaji na jamaa wawili waliokuwepo Geita enzi za huyo...
  7. JamiiForums Tanzania Jengo refu kuliko yote Tanzania hadi mwaka 2022

    Opened in 2019 this is currently the tallest structure in Tanzania located along Sam Njuoma road in Dar es Salaam the building was constructed by Estim a Tanzanian company. The builiding is a complex with a 35flr tower and a 9 flr tower for office and commercial purposes with an ample parking...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Sasa Serikali iamue lugha ya Kiingereza iwe ya kufundishia shule ya msingi kuliko kuruhusu mikoa na wilaya kujiamulia. Huu ni ubaguzi!

    Hivi sasa kuna utaratibu usio rasmi kuwa kama shule ya msingi ya serikali inao uwezo wa kuendesha mafunzo ya elimu ya msingi kwa lugha ya kiingereza hupewa ruhusa ya kubadilisha na kuwa english medium. Kwetu sisi wazazi tunaona kuwa ni jambo jema kabisa kwani tumekuwa tukilihitaji kwa muda...
  9. JamiiForums Tanzania Ushamba wa Wabara una Ujanja kuliko Ujanja wa Wazaramo au Wapwani

    Dar Es Salaam mzee wangu alikuwa anataniwa na rafiki majirani Wazaramo ...." We wakuja" anacheka sana. Akawa anawatizama tu anacheka. Leo hii wale waliokuwa wanamwita mzee mshamba wameenda kuishi huko Kisarawe na Mbele ya Vikindu. Mzee alinunua nyumba zao pale Jirani akabomoa akatanua uwanja...
  10. JamiiForums Tanzania Jicho la tatu: Kombe la Dunia Qatar litautangaza zaidi ushoga kuliko kuupunguza

    Mambo mengine (hasa mambo ya hovyo kama ushoga) ukitaka yasienee hutakiwi kuyazungumzia kabisa. Nguvu wanayo itumia Qatar kupambana na ushoga kwenye kombe la DUNIA itafanya hata wale ambao walikuwa hawajui ushoga ni nini wawe curious kujua ni kitu GANI hicho. Sasa hivi ushoga unatajwa mara...
  11. M

    JamiiForums Tanzania TaifaStarz ni wazuri kuliko Senegal. Basi tu ipo siku tutatoboa

    Hakuna ubishi. Staz wanakipiga kuliko Senegal. Kila mtu anaona kwa macho yake. Au mnabisha?
  12. JamiiForums Tanzania Ndugu Nape Nnauye umeona kombe la dunia ndiyo kipaumbele kuliko matatizo mengine?

    Ewe bwana mdogo nape, nimeiona kauli Yako juu ya malalamiko ya watu juu ya uonyeshwaji wa kombe la dunia Sasa wakati tunalalamika na vifurushi Kwa Zaidi ya mwaka mzima hujatoka hadharani kukemea. Msitufanye kama watoto wadogo, kutupa makopo tuchezee huku mnapiga madili. Acheni kabisa hizo...
  13. T

    JamiiForums Tanzania CCM muwekeni Bashiru jirani ana nguvu sana kuliko balozi Polepole

    Naombeni nitoe angalizo kwa CCM na viongozi wake, najua sasa Dkt. Bashiru ataanza kusakamwa na vijana wa Lumumba naomba msiruhusu hilo, ni hatari sana. Ukimya wa Dkt. Bashiru ni heri ya CCM na kuongea kwa Bashiru ni pigo kwa CCM. Dkt. Bashiru ana nguvu sana tena sana ni Mara 100 ya nguvu ya...
  14. JamiiForums Tanzania Ni bora utumwani penye mahitaji muhimu kuliko uhuru pasipo na mahitaji muhimu

    Hata waisrael walifikia kipindi kuchoka na shida wanazopata safarini kuelekea kaanani walitamani Musa awarudishe Misri kwa farao utumwani walipata mahitaji muhimu.
  15. JamiiForums Tanzania Namshangaa mke wangu ananunua sana CHUPI kuliko Sindiria ona sasa matiti yanadondoka TUBWi, hadi wa Ng'ambo wanaliona TITI lililo lala ni aibu

    Miaka kadhaa iliyopita nikiwa maeneo ya Namanga Makangira nikiwa njiani kuelekea kanisa la St Peter pale, nilipofika karibu na shule ya msingi Mbuyuni Kuna gari moja ilitokea Mwenge, karibu na Mbuyuni palikuwa na kijishimo uchwara yule bwana aliendesha gari Kwa kasi na kunimwagia Yale maji(kama...
  16. JamiiForums Tanzania Vyuo Vikuu vya Tanzania vinazalisha zaidi wahuni kuliko hata wasomi

    Tafsiri nyepesi ya chuo kikuu ni sehemu inayotoa elimu huru. mwanafunzi anakuwa huru katika masomo yake na usimamizi wake binafsi. Yaani hapa mwanafunzi anaenda kusoma pasi na usimamizi mkubwa kutoka kwa walimu wake. Lakini kwa nchi yetu hii elimu ya vyuo vikuu naona kama haipo sawa na...
  17. JamiiForums Tanzania Dubai: Maji yana bei kubwa kuliko mafuta

    "Kama imewezekana kutengeneza bomba la mafuta kutoka Uganda hadi Tanga inawezekana kabisa kutoa maji Ziwa Victoria kupeleka Mbeya, Morogoro na maeneo mengine sababu ni suala la bomba tu, nimeenda Dubai nimekuta maji yana bei kuliko mafuta. Kwanini tusitafute bomba kubwa linaloweza kutoa maji...
  18. JamiiForums Tanzania Aziz Ki Kufungiwa kucheza mechi 3 ni faida kwake kuliko Clatous Chama

    Aziz na Chama wote wamefungiwa na TFF kukosa mechi 3 kwa kosa la ulozi kiwanjani. Hata hivyo, Yanga ilikuwa inafanya vizuri uwanjani hata kabla ya ujio wa Aziz Ki lakini Simba ilikuwa haifanyi vizuri kabla ya ujio wa Clatous Chama. Hivyo ni dhahiri kuwa Yanga haitatetereka kuliko Simba kwenye...
  19. JamiiForums Tanzania M-BET: Mdhamini pekee wa timu katika NBC PL mwenye furaha kuliko wote

    Kwa hali ilivyo sasa kama mdhamini katika NBCPL anataka kupata return ya haraka kwa hela aliyowekeza, Simba SC ni sehemu sahihi. Hili limejidhihirisha msimu huu (2022/23) ambapo M-BET anapata marejesho lukuki. Katika msimu huu (2022/23); 1. M-BET imemwaga bilioni 1 Simba Queen. Kwa sasa Simba...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi; Usafiri wa ndege ni salama kuliko usafiri mwingine wowote, ajali ya precision lawama kwa waokoaji. Hongera rubani

    Ndege ni chombo cha usafiri kinachoongoza kwa usalama kuliko vyombo vingine! Ukubwa wa ajali ya ndege hutegemea na uzembe wa mamlaka zingine saidizi! Ndege ina injini zaidi moja, mfano zilizopo Tanzania nyingi zina injini tatu! Injini moja ikifeli haizuii ndege kutua kwa kutumia injini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…