kuliko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kwa Nini Marvel Inaonekana Bora Kuliko DC Katika Ulimwengu wa Filamu

    Kwa zaidi ya muongo mmoja, Marvel Studios imefanikiwa kujijenga kama kampuni inayoongoza katika utengenezaji wa filamu za mashujaa duniani. Ingawa DC ina baadhi ya wahusika maarufu zaidi kuwahi kuundwa kama Batman, Superman na Wonder Woman, bado Marvel imeweza kutawala soko la filamu kwa kiwango...
  2. JamiiForums Tanzania Kwa nini waislamu wanaona mbwa ni haramu kuishi nae ila historia inasema mbwa ndio kaishi na binadamu kuliko paka.

    Kuna tafiti na zilishakuwepo sana ila uwezi kusema mbwa ni haramu kuishi nao. Jamii ya mbwa tokea kuwepo mwanadamu walianza kuwa marafiki au kutafuta urafiki ulianza hivi. Mbwa walikuwa ni jamii iliyoshindwa kukabiliana na wanyama wenye nguvu kwenye kundi lao la jamii kama simba na wote wenye...
  3. JamiiForums Tanzania Zanzibar ya Zamani Ilikuwa Mbele Kuliko Bara – Kwa Nini Leo Imerudi Nyuma?

    Wakati wengi wakizungumzia maendeleo ya Afrika Mashariki, mara nyingi husahaulika kwamba Zanzibar ilikuwa miongoni mwa maeneo ya kwanza kabisa Afrika kupata umeme mwaka 1888 chini ya utawala wa Masultani. Wakati huo huo, Zanzibar ilikuwa tayari na reli ya Bububu, mojawapo ya reli za mwanzo...
  4. JamiiForums Tanzania Mashindano makali zaidi kuliko ya kombe la dunia

    Wakati mashindano ya Kombe la Dunia yanaendelea na mamilioni ya watu wakifuatilia kwa hamu kuona nani atainua kombe, nakukumbusha kwamba mashindano makali zaidi duniani hayafanyiki katika viwanja vya michezo bali ndani ya moyo wa mwanadamu. Ni mashindano kati ya mwili na roho. Mwili unatamani...
  5. JamiiForums Tanzania Dar Es Salaam Jiji, linalokua haraka kuliko Mipango yake

    DAR ES SALAAM, JIJI LINALOKUA HARAKA KULIKO MIPANGO YAKE Nianze kwa RAI kuhusu upanuzi wa Barabara za Sam Nujoma na New Bagamoyo kwa kutumia njia zile zile za awali. Kwa maoni yangu, huenda tumeelekeza nguvu yetu katika suluhisho la muda mfupi sana badala ya muda mrefu. Kinachonisikitisha ni...
  6. JamiiForums Tanzania Yawezekana Mkoa wa Kilimanjaro ndio Mkoa mzuri kuliko yote Tanzania

    Katika siku zangu hapa Tanzania nimefanikiwa kuishi mikoa ifuatayo Dar Morogoro Iringa Mbeya Njombe Kagera Manyara Mwanza Lakini katka mikoa hyo sikuona mambo makubwa ya kufurahia mpaka nilipofika mkoa wa Kilimanjaro Aisee huu mkoa n mzuri hali ya hewa yake n nzuri , uchumi mzuri warembo...
  7. JamiiForums Tanzania Je, Binadamu Hana Shukrani Kuliko Hata Tumbo?

    Ukiachana na msemo kwamba tumbo halina shukrani; hata lipewe chakula kizuri na kitamu kiasi gani, ni lazima baadaye litahitaji tena, Ni kitu gani kingine unadhani hakina shukrani? Umewahi kukutana na mtu asiye na shukrani? Umetenda wema kwa uwezo wako wote, ukajitolea kadiri ulivyoweza Lakini...
  8. JamiiForums Tanzania Ethiopia & Tanzania Zina Uchumi Mkubwa(GDP) Kuliko Uganda Lakini Bajeti Zake ni Ndogo Kuliko ya Uganda.Hii Inatokana na Nini Kiuchumi?

    1.Kenya 2.Uganda 3.Tanzania 4.Ethiopia 5.Rwanda 6.Burundi. My Take Wachumi tusaidieni kudadavua.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Wazanzibar ni watu wema sana, Uislamu wao umewafanya wawe hivyo

    1. Kuna watu wanapoteza mamilioni ya fedha ,zinaokotwa na kutangaziwa wenyewe na kukabidhiwa 2. Wakati wa Ramadhani, wanakula nje, wakipita wengine wanakarabishwa. Wakiristo wengi wanakula-Ushahidi wa hili nenda msikiti shurba kidongo chekundu mwezi wa ramadhani 3. Wakiristo wengi hasa J2...
  10. JamiiForums Tanzania Mnaowaita ombaomba wana maisha mazuri kuliko nyie

    Hao wadada mnaowaita ombaomba humu ambao kiukweli huwa mnawatumia vihela vidogo vidogo mnapokuwa na upwiru wana maisha mazuri kuliko nyinyi mnaohisi wao ni mafukara Hii ni baada ya kuona wengi wa michepuko yangu wamenikaushia kwa sasa maana washajipata wengine washajenga mahekalu wengine...
  11. JamiiForums Tanzania Peter Msigwa: Taifa ni kuu kuliko Rais; Mahakama ni kubwa kuliko Jaji Mkuu na Bunge ni kuu kuliko Spika. Uzalendo ni kulipenda taifa sio serikali..!

    Katika demokrasia: 👉Mahakama ni kubwa kuliko Jaji Mkuu. 👉Bunge ni kubwa kuliko Spika. 👉Taifa ni kubwa kuliko Rais. 👉Katiba ni kubwa kuliko chama tawala. Hii ni kwa sababu taasisi zinapaswa kudumu, wakati viongozi ni wa muda. 1. TAIFA NI KUBWA KULIKO RAIS Rais ni kiongozi wa muda. Taifa ni la...
  12. JamiiForums Tanzania Ukiangalia 'Nyash' kuliko tabia utakuja kuliona balaa lake

    Kuna ile umetoka kzn na stress mishe zimebuma halafu unarudi hm mke kanuna / kelele nyingi. Hapo ndo utajua umuhimu wa kuangalia tabia kuliko Nyash. Unakuwa na battle nyengine nyumbani
  13. JamiiForums Tanzania Mzazi anaona bora mtoto alipwe laki 3 akiwa ameajiriwa kuliko kupata million 1 ya kujitafutia

    Nadhani hili mentality ipo sana kwa wazazi wetu hasa ambao. Hawakufika shule nadhani, waliishi katika dunia ambayo waliamini kuajiriwa ndio kila kitu. Week iliyopita nilikua kwenye mji mmoja unaitwa Msalala geita hapo, kuna harakati sana za madini, nikakutana na homeboy wangu mmoja...
  14. JamiiForums Tanzania Gen Z ni kizazi ambacho kitakuja kuwa na mafanikio kuliko sisi millennia

    Unajua kizazi cha leo kukuta dogo under 30 anamiliki kampuni au yuko financial freedom ni simple sana, wakati sisi millennia tulipata stable economy 40+ Millennia waliamini kusoma ni ufunguo wa maisha, matokeo yake wameshika viti ofisini hawataki kwenda kusoma kuongeza elimu, akipata likizo...
  15. JamiiForums Tanzania Naombeni jibu: Je, viongozi wa harakati za uhuru wanapewa sifa kubwa kuliko hali halisi ya kisiasa iliyokuwepo wakati huo?

    Nikisomaga historia za uhuru wa nchi za Afrika inaonekana kwamba ilikuwa ni mapambano makubwa sana yaliyohitaji juhudi za ajabu kutoka kwa viongozi kama Julius Nyerere, Jomo Kenyatta na wengine wengi. Lakini nikiangalia kwa karibu, miaka ya 1950 na 1960 ilikuwa kipindi ambacho tawala nyingi za...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Dkt. Nchimbi anazidi kukubalika na kuonekana ana busara kuliko wanachama wote wa CCM

    Nipo kwenye basi natoka Chato na kuelekea huko ninakokwenda. Nimefika Bwanga nikaanza kujiuliza juu ya hili suala.
  17. JamiiForums Tanzania Yericko Nyerere adai yeye ni mkubwa kuliko Chadema, Je amerukwa na akili?

    Akihojiwa na vyombo vya habari mitandaoni, Mamluki huyo ametamba kwamba yeye ni Taasisi na ni Mkubwa kuliko Chadema. Ikumbukwe kwamba Yericko hana Cheo chochote CHAUMA Bali ni mbeba begi wa Salum Mwalimu Kwa kauli yake hiyo mnadhani ana akili timamu au ni kichaa kamili?
  18. M

    JamiiForums Tanzania Pasi ya maji hulinda nguo zako na kuzitoa smart kuliko pasi kavu, pasi za maji sio mbovu, zitumie kwa namna hii na hutafikiria tena kutumia pasi kavu

    Watu wengi wamekariri kutumia pasi kavu bila kujua zinachangia pakubwa kuharibu nguo zao Pasi kavu huchosha kitambaa, huchosha nyuzi na fabrics, huondoa mwonekano mzuri wa nguo na kufanya zifubae mapema. Ndio maana mara nyingi utaona nguo za mtumba zimetumika miaka mingi huko zilipotoka lakini...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Millennials tukaze buti, hawa Gen Z wanaijua pesa vizuri, bado wadogo lakini wako very sharp kwenye kutega pesa.

    Millennials tukaze buti 😅. Hawa Gen Z wanaingia kwenye game wakiwa na uelewa mkubwa wa kutengeneza pesa kuliko vizazi vilivyopita. Vijana wa 2000 wao bado wadogo lakini honestly wako very sharp kwenye kutega pesa na kuona opportunities . Wamekua kwenye era ya internet, apps na fast information...
  20. JamiiForums Tanzania Wanaume wengi mshukuru mfumo umewabeba. Wanawake wangewatesa Sana kwa sababu wanawake wengi wanaakili na wanajitambua kuliko wanaume wengi

    WANAUME WENGI MSHUKURU MFUMO UMEWABEBA. WANAWAKE WANGEWATESA SANA KWA SABABU WANAWAKE WENGI WANAAKILI NA WANAJITAMBUA KULIKO WANAUME WENGI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli 1. Zamani nilikuwa nakataa kwamba wanawake wanaakili kuliko wanaume. Kwa sababu sisi Watibeli Wanaume hatuwezi zidiwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…