Gen Z ni kizazi ambacho kitakuja kuwa na mafanikio kuliko sisi millennia

Prakatatumba abaabaabaa

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2022
Posts
2,162
Reaction score
7,364
Unajua kizazi cha leo kukuta dogo under 30 anamiliki kampuni au yuko financial freedom ni simple sana, wakati sisi millennia tulipata stable economy 40+

Millennia waliamini kusoma ni ufunguo wa maisha, matokeo yake wameshika viti ofisini hawataki kwenda kusoma kuongeza elimu, akipata likizo hataki kuondoka.

Millenia walikua wabinafsi sana hasa kwenye biashara zao, mbaya zaidi waliwabania mpaka watoto zao kwenye michongo ya biashara, waliwaweka mbali sana na biashara, ila hawa GEN Z wanaforce Sana kwenye harakati naamini watakuwa wazazi bora kwa watoto wao hasa kuwapa elimu ya tofauti na shule.

Gen Z ni wamoto hawanyenyekei watu kazini, wanaamini kuna kupata kwa kujitafutia, ni rahisi kumkuta daktari aliyegraduate muhimbili akifanya harakati zake mtaani akifanya kile anachokiamini, nimeona Gen z akiaacha kazi mwaka mmoja baada ya kuajiriwa na kuingia mtaani kufanya mitikasi yake..

Ni kizazi kichachojua haki zao, sio kizazi cha kupewa kanga na T-shirt then wapokee mateso ya miaka 5, ni watj wa mabadiliko.

Gen Z ni kizazi chenye ufaulu mkubwa kuliko millenia , millenia walishindwa shule option yao wakakimbilia biashara Ila Gen Z wanafaulu sana na wanafanya mitikasi mingine

Nb. Wapo Gen Z wachache ni watu wa hovyo kuliko kizazi chochote kile.
 
Hawa Gen-Z wanakamata pesa sababu wengi hawana mindset za kuajiriwa. Ni go-getters.
Gen z hata wakitaka kuajiliwa kazi zenyewe zipo wapi mkuu. Mbaya zaidi ( mindsset ) nilikuwa namazungumzo na affisa mmoja bank, akaniambia sasa hivi bank yao hawataki Gen z wa hapa bongo maana mfumo wa elimu ulio wafikisha hapo ni mmbovu, wanarudi kuajiri milleniumu waliochakaaa
 
Hayo mambo mbona yapo toka enzi na enzi, we ndio unayaona leo. Ndo maana tunasema siasa zikiwa safi hizo fursa za kumilki mali ukiwa kijana zipo toka zamani.
 
Mkuu umegusia point muhimu, but i think unawapa credit kubwa sana Gen Z kwa sababu tu ya social media visibility.

Ni rahisi kuona success ya kijana wa miaka 23 lakini huzioni zile thousands ambazo ziko kwenye mzunguko wa uncertainty.

Millenials walijenga systems ambazo hata hawa Gen Z wanao-hustle wamezikuta.

Swali langu ni hili: Unaposema Gen Z ni kizazi chenye mafanikio kuliko Millenia, unatumia yardstick gani?

Ni net worth ya muda mfupi, au sustainability ya maisha yao miaka 20 ijayo?
 
Gen z hata wakitaka kuajiliwa kazi zenyewe zipo wapi mkuu. Mbaya zaidi ( mindsset ) nilikuwa namazungumzo na affisa mmoja bank, akaniambia sasa hivi bank yao hawataki Gen z wa hapa bongo maana mfumo wa elimu ulio wafikisha hapo ni mmbovu, wanarudi kuajiri milleniumu waliochakaaa

Muongo huyo,

Ukweli ni kua Gen Z hawapelekeshwi kama hakuna Culture nzuri, wala Work life balance utashangaa mtu kaacha kazi hata mkataba wake wa kwanza hajamaliza.
 
Back
Top Bottom