kuliko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mke wangu anatazama Cartoon kuliko Watoto wetu

    Habari wana JF, poleni na majukumu ya hapa na Pale 🤝. • Kuhusu hili suala, naona kama ni uraibu wa mke wangu kutazama katuni na watoto kila dakika. "[uende - urudi ni katuni kwenda mbele na michezo ya hapa na pale.] " • Mke wangu huwa anafurahia sana kutazama na kuimba pamoja na watoto wetu...
  2. Umaskini wa asili ni rahisi kuuondoa kuliko umaskini bandia (umaskini wa kutengenezwa na watawala)

    Anaandika, Robert Heriel, Mtibeli. Hakuna kazi rahisi kama kuuondoa Umaskini. Rahisi Sana. Ukisikia mtu anakuambia kupambana na umaskini na ikazidi ngumu basi jua huyo ni muongo au anazungumzia, Siasa. Matatizo ya asili yanakabiliwa kwa urahisi na kanuni rahisi kuliko matatizo ya kutengenezwa...
  3. M

    Picha: Wananchi wa kijijini wakisherehekea sikukuu kwa furaha kuliko wa Dar

  4. Mtu Kwao: Zanzibar inaenda kuwa na maendeleo kwenye michezo kuliko TZ Bara

    Viwanja vya kuandaa Afcon 2027 vimefikia hatua gani Arusha na Dodoma? Au bado vipo kwenye upembuzi yakinifu? Zanzibar inaenda kasi sana kusema miradi yote inategemea pato lake ni ngumu kuamini, yote kwa yote pongezi kwao kwa Amani Sports Complex
  5. Tathmini: Sherehe za Christmas 2023 zadorola kuliko mwaka wowote. Wananchi wakabiliwa na dhiki kubwa, haijawahi kutokea

    Baada ya kufanya Tathmini kabambe huku D'Salaam na Mkoani Mbeya , kwa kweli tumegundua kwamba Sherehe za Christmas ni kama hazipo kabisa kutokana na dhiki kuu iliyosababisha Ugumu mkubwa wa Maisha ambao Wazee wengi wanadai haujawahi kuwepo kwenye nchi tangu wapate akili. Mishahara duni ya...
  6. Askofu aliyesema Bora abariki Jiwe kuliko ndoa za jinsia moja kaongea kauli ileile ya Papa kwa Lugha tofauti

    Kwa mujibu wa wachambuzi wa kauli za Papa. Wanadai hajasema ndoa za jinsia moja zibarikiwe, bali vitu vya hawa watu akija mmojammoja na anavitu vyake basi wasisite kuvibariki. Kusema bora ubariki jiwe ni sawa na kusema kilekile alichokisema Papa kuwa bora ubariki Sofa au Mradi au nyumba ya...
  7. Unajisikiaje mara ghafla mke wako anavyoanza kuonekana mkubwa zaidi kuliko wewe?

    Habari wana JF, Poleni na majukumu ya hapa na pale 🤝, • Nimekuwa nikifikiria na kufuatilia hili kwa miezi kadhaa sasa, nimeona mke wangu si tena yule mrembo niliyemkuta na kumtongoza. • Atafikisha miaka 35 hivi karibuni, na tumepata watoto wawili pamoja, Lakini ni kwa nini ghafla anaonekana...
  8. Huku Hizbullah ikizidisha mapigo, Israel yasema ni bora kufanya mazungumzo kuliko kuendelea kupigana

    Huku baadhi ya vikosi vya jeshi la Israel vikishangilia kuondoshwa Gaza baada ya kipigo,kule kaskazini ya Israel mpakani na Lebanon wanamgambo ya Hizbulla hawajaonesha dalili ya kuathiriwa na mashambulizi ya anga ya jeshi la Israel. Baada ya kipigo cha jana na leo kulenga maeneo ya vikosi vya...
  9. Wanaume walipwe zaidi kuliko wanawake kazini

    Mke wangu ni mwalimu lakini hela yake anaona haistahili kutumika yote kwenye familia. Kule jeshini wakati tuko kwa mwaka mmoja kwa mujibu wa sheria baada ya kumaliza form 6 tulikuwa tukilipwa wote wake kwa wanaume sh, 300 (kichele) kila mwezi, lakini siku ya malipo wanawake wanaomba matumizi...
  10. Yanga mmeingizwa bure ila mmeingia wachache kuliko Simba walioingia jana kwa pesa zao

    Hivi hii Yanga ina mashabiki kweli au tumekuwa tunadanganyana tu muda mrefu. Inakuwaje Simba iliyotoka katika kipindi kigumu iingize mashabiki wengi jana kuliko nyie mlioambiwa mtaingia bure leo tena katika mechi ya kihistoria? Nasema ya kihistoria kwa sababu leo mlitegemewa mpate ushindi...
  11. Tanzania ni bora kuliko Kenya, Lissu apingwa na Wakenya kwa ushahidi, anatia aibu.

    Lisu ana matatizo sana jamani, msikie anavyopingwa na wakenya kwa ushahidi. Anaitangazia ubaya Tanzania huko nje ya mipaka, ni hatari sana huyu mtu. Hataki wawekezaji waje hata kidogo. ni mtanzania gani? https://www.youtube.com/watch?v=FPYkc2W3ZVc
  12. M

    CCM wapo tayari kujenga ofisi za kisasa kuliko kujenga shule za kisasa

  13. D voice ndio msanii aliyefeli kuliko wasanii wote waliowahi kutambulishwa na WCB

    Dogo amepoa sana kama uji wa sembe, hana amsha amsha, mziki wa bongo unahitaji uandishi mzuri na drama kwa wingi ili uende mjini. Diamond platnumz licha ya uandishi wake mzuri alikuwa na drama nyingi, rejea harmonize, rayvann, mbosso, zuchu hawa wote wimbo wao wa kwanza tu uliwapeleka mjini...
  14. W

    Swali fikirishi; Hivi kwanini wanaoponda sana mikoani ni watu wa mikoani zaidi kuliko wa Dar?

    Hili linanishangaza sana! Kutana na mtu wa Arusha au moshi umsikie anavyoponda Kanda ya Ziwa na mikoa mingine. Nenda Ruvuma ukutane na mhehe umsikie anavyoponda Ruvuma. Nenda kusini ukutane na mwalimu ajira mpya kutoka kigoma au nzega huko na aliyeisotea ajira kwa miaka mitano huku macho...
  15. R

    Kazi yenye thamani kubwa kuliko zote Duniani

    Salaam, Shalom!! INTRODUCTION. Sifa kuu ya KAZI, ni iwe halali, pili iwe na malipo ya kuweza kukusustain maisha Yako, yaeza kuwa umejiajiri au umeajiriwa, KAZI ni KAZI, ilmradi mkono uende kinywani. KAZI pia Si Kwa ajili ya kujipatia kipato pekee, KAZI pia ni Kwa ajili ya AFYA pia, ndo maana...
  16. N

    Naomba kuuliza, kwanini bei maji ya Uhai 1.6L na Afya 1.6L ipo juu kuliko Masafi 1.6L na Pangani 1.6L

    Mwenye kufahamu sababu ya tofauti ya bei ya maji ya Uhai 1.6L na Afya 1.6L kuuzwa 700.00 wakati ujazo huohuo kwa Masafi 1.6L na Pangani 1.6L yanauzwa 500.00. Pia kwanini maji ya Pangani 1.6L hayana Stempu ya kieletronic juu ya mfuniko?
  17. S

    Wivu siyo asili yetu afrika, Bali ni janga linalotutafuna kuliko bangi

    Kuna misemo na nahau nyingi sana tuliwahi kujifunza huko shule ya msingi ambayo ilitosha kutupatia msingi wa maisha yetu hata leo! Mfano wa msemo! "Kutokujua kutumia kilicho bora; ni mwanzo mzuri wa kutumia kibovu" "Watu wengi huangamia kwa kukosa maarifa" "Mkataa pema, Pabaya panamuita"...
  18. B

    Tanzania Tulikuwa salama zaidi Mikononi mwa Ujamaa kuliko Tulivyo sasa Mikononi mwa Ubepari/Ubeberu

    Amani iwe nanyi nyote. Kwa wale wazee wenzangu mtakubaliana na mimi kwamba Tanzania ingekuwa mbali zaidi kimaendeleo endapo ingeendelea na mfumo wa Ujamaa chini ya chama kimoja kuliko ilivyo sasa. Uchumi wetu ulianza kuyumba mara tu awamu ya pili chini ya Mzee Ruksa, Alhaji Ali Hassani Mwinyi...
  19. ACT Wazalendo wana busara kuliko CHADEMA. Walimpisha Rais mafuriko ya Hanang

    TULIMPISHA RAIS SAMIA. "Nilifika Manyara jana, lakini, kwa kutambua Mh. Rais ana ratiba Katesh, hekima ilitutuma kusogeza mbele ratiba yetu ili kumpisha kisha sisi tuje leo kuona athari ya mafuriko, kuwaona wahanga na kutoa mchango wetu," Ado Shaibu, Katibu Mkuu ACT Wazalendo Katibu Mkuu wa...
  20. Huwa ni rahisi mtu kuwa na Tabia mbaya kuliko kuwa na Tabia nzuri.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…